Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jamani kwema? My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Msaada ndugu zangu Mwenye kujua vidonge vinavyoweza kupunguza mapigo ya moyo yaendayo mbio naomba anisaidie kunitajia kuna kipindi nlipewa vidonge vilikuwa vidogo vidogo rangi ya kahawia ila...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za mda huu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimekuja hapa kupata ushauri. Nimekuwa nikisumbuliwa na kuumwa kwa tumbo Mara tu nilapo vitu vilivyotengenezewa unga wa ngano (...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Jioni hii wana JF Kama kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni Mvulana mwenye umri wa miaka 32 nasumbuliwa na tatizo la kujichua yaani Kupiga PUNYETO. Nimeanza tatizo hili bado nikiwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kutokwa na harufu mbaya kwenye makwapa hata kama umekoga.
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Nine pharmaceutical drugs that can cause chronic fatigue (NaturalNews) There are many different factors and underlying health conditions that can affect energy levels from day to day, as well...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu Naam karibuni katika somo hili adimu kabisa sababu ni somo lenye faida kubwa sana kwa wale wenye kupenda kujifunza baadhi ya mambo leo tutaangalia namna ya...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu kuna mwanamke anataraji kufunga ndoa kesho kutwa na anajisikia dalili za kupata hedhi na huwa anapata maumivu makali hivo anahitaji kujua ni dawa gani itayomsaidia kuzuia asipate hedhi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mala nyingi mtu kutoa mkojo WA manjano na apimapo anakutwa Hana tatizo lolote na kushauliwa kutumia maji ya kutosha ila hata atumiapo maji hayo hakuna mabadiriko. Ila cha ajabu wakati wa baridi...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
wakuu habari za wakati huu? Mke wangu ana ujauzito wa wiki ya 38 na siku 2. Anatakiwa kusafiri kati ya Dar na Morogoro. Sababu ya kusafiri ni madai ya kua sitaweza kumtunza atakapo jifungua, ni...
0 Reactions
10 Replies
25K Views
Wakuu mnisaidie, nimejaribu sana hospital na dawa za hapa na pale. Mwanangu ana miaka miwili. Anajisaidia bila kusema kila baada ya nusu saa, tena kinyesi kidogo sana! Mwanzoni alikuwa akitaka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalam wana bodi. Naomba ushauri, mke wangu analalamika vichomi vimezidi, mwili mzima. Hana amani na kwa kulalamika kwake nahisi vinammaliza. Sijui vinaumaje but i can emargine. Naomba kujua...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari waungwana wa jukwaa hili Nimeanza kukohoa ni wiki ya nne hii Mwanzo hali ilikua mbaya sana nilikua nakohoa mpaka nakosa usingizi hususani wakati wa usiku Nilikua nakohoa sana mpaka koo...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wadau wa jf nilikuwa naomba kujua kuhusu hii genetic inayoitwa (eve gene) ambayo inasemekana ipo kwa mwanamke mweusi na pia wanasema mwanamke huyu mweusi ndio anaweza kuzaa mtoto mwenye...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Habari wana Jamvi kutokana na uzoefu wa kupiga nyeto takriban mwaka mmoja sasa nimeamua kujikana mwenyenyeeee kabisa. Nina kama niezi mitatu sasa tangu niache ponyeto lakini cha kushangaza usiku...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
I hope you are doing well and heloing people i need your help last night was chating to my cousi brother and he was diagnosed since 2014 hiv possitive and when am talking with him the speck of his...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za kazi wanajamii nauliza swali na tunahitaji majibu mimi na rafiki yangu tulikuwa tunazungumza kwa mbali kidogo kama umbali wa menza ya kulia chakula basi wakati anaongea nikahisi tembe ya...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari za maisha? Nilimpeleka mke wangu hospitali hivi karibuni. Alikua na vipele vidogo vidogo pembeni na kwa ndani ya sehemu zake za siri. Kabla hatujaenda hospital tuli-google kidogo tunajua...
0 Reactions
43 Replies
36K Views
Jamani kwema? My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Jamani kwema? My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…