International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Maneno hayo ya secretary wa US- Antony blinken yanakuja baada ya Russia kushikilia moja kwa moja miji ya bandari na viwanda ya Odesa na mariupol. Russia ilizuia usafirishaji wa bidhaa za Chakula...
15 Reactions
124 Replies
9K Views
Baba wa mtoto wa miaka 10 aliyeuawa Texas katika shambulizi la lililoua watoto 19 na watu wazima wawili anataka kuishitaki Kampuni ya Daniel Defense ambayo silaha zake ndizo zilizotumika. Alfred...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila nikijaribu kufatilia adha zinazotokea Mashariki ya Kati huwa nasikitika sana, Israel inafanya mauaji ya kutisha kwa Wapalestina, inakadiliwa kila siku Wanajeshi wa Palestina wanaua mtu huko...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Check majigambo ya Colonel hapa then baada ya kukutana na moto🤣🤣🤣🤣
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Wanajeshi wa Urusi, mambo yanazidi kwenda ndivyo sivyo, sasa ni rasmi Wanajeshi wa Ukraine wanaoilinda Kharkiv wafika mpaka wa Urusi. Hii hatua kubwa sana kwa Jeshi la...
9 Reactions
58 Replies
6K Views
Kwa mara nyingine nchini Nigeria mwanafunzi wa chuo mkristo ameuawa na Wanafunzi Waislam. Waislam mna shida sana mnatakiwa kujitafakari, pamoja na kashfa nzito na udharilishaji mnaotufanyia...
7 Reactions
85 Replies
7K Views
Urusi ilianza kwa mbwembwe za kutieka Kyev na wakampa rais wa Ukraine masaa aondoke akimbie la sivyo wanakuja kumpindua, Zelensky akawa jeuri akasema haondoki katu, akaomba apewe silaha, hapo...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Russia could go to war with the USA any day now. What are your thoughts on this? I truly hope not as the war wouldn’t be fought in US but in Europe. But there is something that our American allies...
10 Reactions
90 Replies
6K Views
Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana umezuka katika ghala la kuhifadhia makontena Sitakunda, kusini mashariki mwa Bangladesh, na kuua takriban watu 16 na kujeruhi zaidi ya 170...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka...
7 Reactions
77 Replies
7K Views
Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
27 Reactions
288 Replies
16K Views
Nimeshikwa na butwaa kusikia mwandishi wa habari za saa 1 jion leo anatangaza kwamba AU waionya Russia kuhusu Vita ya Ukraine, hivi Afrika wanawezaje kumuonya Russia ,Hawa watangazaji lazima...
1 Reactions
8 Replies
788 Views
Kijana huyo ambaye alikua mtangazaji wa habari na alitokea kwa familia ya kitajiri amesababisha taharuki maana kifo chake hata haikuchukua zaidi ya wiki moja tangu igundulike anacho kirusi...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Rwanda imelaumu Jeshi la MONUSCO la Umoja wa Mataifa kwa ukimya wake wakati huu ambapo mgogoro wa taifa hilo dhidi ya DR Congo ukiendelea. Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Dkt. Vincent Biruta...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vimeigharimu Ukraine $564.9bn (£429.3bn) kufikia sasa katika uharibifu wa miundombinu, kupoteza ukuaji wa uchumi na mambo mengine, kulingana na waziri wa uchumi wa...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Haya majitu wamevamia mataifa mengi, wameua marais wengi wa mataifa mengi hususani raisi akipingana na sera zao zakinyang’anyi, wamedumaza maendeleo ya mataifa kama vile Iraq, Afghanistan, Syria...
89 Reactions
261 Replies
17K Views
Rais wa Senegal na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Macky Sall amesema Rais Vladimir Putin ameonesha utayari wa kuruhusu mauzo ya nje ya nafaka za Ukraine ili kupunguza makali ya janga la...
3 Reactions
2 Replies
745 Views
Chombo cha habari cha Uingereza,The Guardian, kinasema kuwa Russia inashinda mechi zake za vita vya kiuchumi, na Putin hana dalili ya kuondoa majeshi yake nchini Ukraine licha ya msururu wa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…