Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama ilvyoripotiwa na TRC kwamba hitilafu ya umeme iliyotokea tarehe 30/07/2024 majira ya saa 4:20 usiku kwenye kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) husababishwa na wanyama (ngedere) au...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba msaada, Nataka kuanza safari ya kwenda Namibia kwa njia ya basi. Je inawezekana kwanza? Pili niwe na document zipi ili nisisumbuliwe njiani na niandae kiasi gani njiani na...
3 Reactions
109 Replies
20K Views
Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni. Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku...
1 Reactions
1 Replies
555 Views
Hakika vita ni inatisha sana na ugomvi sio kitu kizuri maana mwisho wa siku wanao umia ni watoto. Pichani ni picha za watoto wa kiongozi wa hamas Ismail hanneiya hapo jana watoto wake watatu na...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Hii ni kwa watumiaji wa Mabasi ya Mwendokasi tuu jijini DSM. Kwa kuwa Serikali haina mpango wa kupunguza adha inayotukabili abiria wa mabasi haya. Na kwakua sisi abiria hatuna mpango...
2 Reactions
6 Replies
507 Views
Mvutano wa kisheria unaoendelea Kuibuka katika shauri lililofunguliwa na Wakili Steven kitale katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya mjibu maombi wa nne, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)...
1 Reactions
5 Replies
702 Views
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu. Nimekuwa...
33 Reactions
241 Replies
6K Views
Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu...
26 Reactions
344 Replies
17K Views
Wajinga bado wapo. Hii ni story ya kweli kabisa nimesimuliwa na mtu maskani. Ipo hivi kuna boda boda alipigiwa simu na namba ngeni. Namba ngeni: Xx aloo Boda boda: Haloo niaje Namba ngeni: Eh...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Sina uzoefu mwingi wa matumizi ya mitandao ya kijamii, bado mshamba kiasi, na neno KARMA nimelipata humuhumu jamii forums. Katika kutafutatafuta maana ya KARMA kwa kutumia kamusi za humuhumu...
3 Reactions
3 Replies
555 Views
Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa...
15 Reactions
114 Replies
5K Views
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya uchomaji wa taka kwenye soko la sabasaba jiji Dodoma, nyakati za usiku. Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Nazani elimu ya degree kwa Tanzania inatosha sana , kukufanya uishi vizuri na ufanye mambo Yako kwa amani, kusoma zaidi ya degree ni matokeo ya hofu ya maisha, na hofu ikipitiliza humfanya mtu awe...
27 Reactions
115 Replies
3K Views
Habar wanajf Napenda kufahamishwa mazingira ya hii kata ya dakawa morogoro kiutafutaji. Napanga kuhamia hapo ila si mbaya nikapata machache km vile huduma za kijamii upatikanaji wake, Binafsi...
0 Reactions
2 Replies
612 Views
Hii hospitali ipo Iringa-Karibu na Shule Ya TOSAMAGANGA kata ya Kalenga imekua na matukio mengi kama hujashuhudia basi kusimuliwa na yaliowahi wakuta. Usiku Anakuja Muhudumu anakuita mtoke nje au...
11 Reactions
83 Replies
7K Views
Salaam, shalom!! Leo natoa ushauri huu ambapo ndio kwanza mkurugenzi mkuu mpya ameteuliwa hivi karibuni. Wataalamu wa KILIMO Huwa wanalima kitu kinaitwa SHAMBA DARASA. Huwa wanafanya hivi Ili...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari JF!!! Nimekuwa nikitumia Bank X kwa muda wa miaka kadhaa kuweka savings zangu na kupitishia miamala mbali mbali. ila nikiacha tu hata week. hayo makato yake sio mchezo, makato inaeza...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Ningekuwa mimi leo viss wa NIDA Kawe asingerudi ofisini tena kesho Leo nimesikitika sana nikamkumbuka Magufuli mno Ajabu sana kuona ofisi kubwa kama Kawe NIDA haina genereta Huko huko ndani...
0 Reactions
3 Replies
504 Views
Hatua zilizochukuliwa na Serikali katika kukabiliana na ongezeko la gharama ya kusafirisha makontena zimezaa matunda baada ya gharama hizo kushuka na kurudi katika bei ya awali ambayo ni Dola 3...
2 Reactions
7 Replies
730 Views
Habari? Mimi ni mtumishi nataka nivute kimkopo changu na hii ni baada ya kupandishwa daraja, sasa nikiingia kwenye mfumo wa ESS nakuta kuna bank tofauti tofauti na asilimia zao. Kila nikiangalia...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…