Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali ya Tanzania imezungumzia suala la utapeli mitandaoni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea kudhibiti usajili wa laini za simu kwa umakini mkubwa. Kauli hiyo imetolewa...
1 Reactions
4 Replies
876 Views
AFISA MTENDAJI - PUGU KINYAMWEZI AHUKUMIWA KWA RUSHWA Mnamo tarehe 30/08/2024 imetolewa hukumu ya kesi ya Jinai namba 96/2023 mbele ya Mheshimiwa Hakimu Mkazi Mwandamizi Bittony Mwakisu.*...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Jimbo la Louisiana limekuwa la kwanza nchini Marekani kuidhinisha sheria inayoruhusu kuhasiwa (kuwakata korodani) kwa wabakaji wa watoto, walio chini ya umri wa miaka 13 kama adhabu ya jinai...
2 Reactions
4 Replies
440 Views
Nchi ya Uganda ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na maziwa mengi barani Africa. Ikiwa na maziwa 69. Ziwa linahesabiwa iwapo eneo la maji kwa kiwango cha chini ni ekari 5 na wakati mwingine kuanzia...
2 Reactions
3 Replies
861 Views
Mimi naanza. •Alaaniwe kiongozi aliyeuza nyumba za serikali kwasababu yoyote ile. Nyumba zile ni za watumishi wa kawaida, wakaziuza kisha watumishi wakaanza kuishi kifukara lakini wao wenyewe...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Si mtu mwenye kitambi, ila sina fikra potofu na unyanyasaji juu ya wale wenzetu wenye vitambi (kwa lugha za vijana "watu wenye mgeni"). Bali ni mchambuzi tu wa kina kwenye maswala ya...
24 Reactions
123 Replies
24K Views
Mko salama nimepata wasaa mzuri Sana wa kuandika kisa hiki nimekaa nacho miaka mingi Mnisamehe sio mwandishi mzuri Nimesoma shule flani ya kata huko kijijini kwetu nakumbuka tulikuwa na mkuu...
22 Reactions
222 Replies
10K Views
Ni sawa kuwa na mtazamo tofauti lakini huyu dada wa kipindi cha nyuzi 360 huwa anapenda sana kutetea viongozi hasa pale wanapokua wametoa matamshi tatanishi. Hata kama ni uchawa huu sasa utakua...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna ajali mbaya sana imetokea baada ya kuvuka Njiapanda ya Tabata kwenda Buguruni kwenye daraja Dereva wa daladala kagonga lori, yadaiwa dereva kafariki na watu waliokuwa wamekaa mbele pia...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Surah Al-Kahf (18:9-26): Katika aya hizi, Mwenyezi Mungu anasimulia kisa cha Ashab al-Kahf, ikiwemo hadithi yao ya kuingia pango na kulindwa na Mungu kwa miaka mingi. Hapa kuna baadhi ya aya...
1 Reactions
8 Replies
567 Views
By JF Senior Member IN efforts to ensure that Tanzania successfully implements the four goals of achieving a Generation Equality program, the Forum for African Women Educationalists, Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
581 Views
Nchi hii sijui inakoelekea kila sehemu huduma ni mbovu. Niko CRDB tawi la USA-RIVER, Arusha tangia saa 3 asb, wateja ni wengi yuko mhudumu moja tu wakati madirisha yako zaidi ya 5. Wahudumu...
1 Reactions
6 Replies
756 Views
Wafanyakazi wa SGR - Lot 1 wameamua kufanya mgomo wakishinikiza malipo yao ya NSSF kuingizwa kwenye akaunti Pia soma ~Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wazima kama swali linavyo uliza wakristo nitaomba majibu yenu kwanini YESU kristo aitwe Simba na si Mnyama mwingine mfano Tiger, Chui, Tembo au Nyati. Najua humu kuna wataalam watakao tujibu...
0 Reactions
3 Replies
532 Views
Kama swali linavyo uliza kwanini mji wa Jerusalema kila mtu anaulilia kuna siri ipi iliyopo jerusalema wakati ukiangalia duniani Kuna miji iliyo jengwa kuzidi jerusalema. Naandika haya nikijionea...
1 Reactions
0 Replies
275 Views
Hivi kama shirika ambalo liko chini ya naibu waziri mkuu iko hivi nani ataogopwa nchi hiii. Nilitaka kulipia kuunganishiwa umeme, nikajisajili, kufanyiwa survey na mwishowe nikatumiwa control...
3 Reactions
6 Replies
858 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Jana nilipoteza kadi yangu ya NMB. Naomba kujua Taratibu zikoje nikitaka kuirudisha.
0 Reactions
8 Replies
684 Views
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero, Said Nguya amewasisitiza wazazi kuwa hakuna akili za kurithi kwa mtoto, sababu uwezo wa akili hutokana na lishe bora tangu mama anapopata ujauzito. Nguya...
0 Reactions
6 Replies
561 Views
Wasalaam wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada, suala la walimu kama wametengwa ni jambo la kusikitisha sana. Bahati mbaya watu wameamua kwa makusudi kuwakejeli na kuwaona ni daraja la mwisho...
2 Reactions
2 Replies
492 Views
Wakuu Mr. Price yamewashinda kwa mara nyingine tena, wanafunga duka moja kwa moja. Pia soma: Nakumat yainunua Shoprite Tanzania Mazingira ya biashara bongo ni magumu sana au wenyewe ndio ndio...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…