Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko. Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina...
9 Reactions
93 Replies
4K Views
Aliyekuwa msajili wa Vyama vya michezo nchini Riziki Majala afariki . Chanzo cha kifo inasemekana ni ugomvi kati yake na mwanae ambae inadaiwa ana shida ya akili baada ya kukataa kumpa hela...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Vipi waliiacha makusudi?? Helikopta ilishindwa kuitungua?? Nyumbani kwa Netanyahu Nb:Muda utasema!
1 Reactions
3 Replies
622 Views
Salamu wakuu Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri...
6 Reactions
32 Replies
950 Views
Habari zeni wa-TAMISEMI, Katika harakati zangu huku kwa Biden nikakutana na vijana wanacheza mchezo wa hiki kidude. Nikaona mtu mweusi hashindwi kitu. Nikaomba na mimi niwaoneshe jinsi wabantu...
2 Reactions
1 Replies
412 Views
Habari zenu! Mada inajieleza. Wazazi wengi bongo hawana cha kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba au Yanga. Jitahidi ufanye chini juu uache urithi wa kueleweka.
3 Reactions
11 Replies
462 Views
TANZANIA YANYAKUA TUZO NNE ZA UTALII KENYA Kwa mara nyingine tena, Tanzania imeibuka Mshindi kwa kujinyakulia tuzo nne katika Tuzo za Utalii zinazotolewa na World Travel Awards ya Nchini...
1 Reactions
2 Replies
474 Views
Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea...
8 Reactions
72 Replies
5K Views
Habari za jumamosi jamii forum, Ni weekend nzuri kabisa ya mwisho wa mwezi,ambayo bila shaka bidhaa na shopping kibao zitafanyika huku kesho jumapili tukipunguza michango na zaka kwa kiasi...
6 Reactions
9 Replies
808 Views
1. Vitu unavyopost vinaonesha wewe ni mtu wa aina gani, kumbuka kuweka safi ukurasa wako kila wakati 2. Page na magroup unayo follow yanaonesha wewe ni mtu wa aina gani, rafiki zako wanaona vitu...
10 Reactions
1 Replies
701 Views
Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa, yaani NFRA ni Taasisi iliyoanzishwa mahsusi kuhakikisha kuna kuwepo na Hifadhi ya Mazao ya Chakula muda wote Nchini. Hununua mazao ya Chakula, kuyahifadhi...
2 Reactions
3 Replies
659 Views
Namna ya Kulinda Usalama wa Watoto Mtandaoni 1. Zungumza na mtoto juu ya matumizi sahihi na salama ya mtandao 2. Mfundishe mtoto kuhusu taarifa binafsi na namna ya kuzilinda 3. Weka mipaka ya...
4 Reactions
3 Replies
592 Views
Chanzo cha picha,AP Ndege isiyo na rubani ilirushwa kuelekea nyumbani kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika mji wa Caesarea kaskazini mwa Israel siku ya Jumamosi, msemaji wake...
2 Reactions
10 Replies
909 Views
Bibi yangu ilikuwa ukizira kula atatuma wajukuu wengine wakukamate,utakula mboko mpaka utakula huku kamasi na machozi vikikutoka. Mama yangu ulikuwa ukizira yeye hana time na wewe ila...
13 Reactions
61 Replies
2K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayoweza kunyesha maeneo ya Kaskazini Mashariki katika Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara, ambayo inaweza kuleta athari kama...
4 Reactions
9 Replies
756 Views
🚨 Mchezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid raia wa Brazil 🇧🇷 Vinicius Tobias imebainika kuwa sio baba mzazi wa mtoto ambae awali alidhani ni wake aliyekuwa amezaa na mpenzi wake Ingrid Lima mara...
19 Reactions
65 Replies
3K Views
Levis Gervas Mahenge mkazi wa Ngiu Halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe ameiomba serikali kuingilia kati ili kupata matibabu kutokana na majeraha pamoja na kuvunjika kwa mkono baada ya...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Chanzo cha picha,AFP Raia Milioni 10 wa Cuba wako gizani baada ya kiwanda chake kikuu cha nishati kukumbwa na hitilafu. Gridi yake ya umeme iliacha kufanya kazi mwendo wa saa tano usiku (15:00...
4 Reactions
21 Replies
663 Views
Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…