Itashamgaza kama bado wakati sura zao zimeshafahamika!
1. Wameshakamatwa?
2. Wako wapi?
3. Watakamatwa?
4. Polisi wanahitaji usaidizi wowote?
PIA SOMA
- Dar: Inasemekana tukio hili la...
Inaonekana ni kati ya mazao yanayouzwa ghali sana. Sisi tunaoishi mikoa ya mbali na korosho inakolimwa, tumekuwa tukiuziwa korosho za kutafuna kwa bei isiyobadilika, miaka nenda miaka rudi. Kwa...
TABORA - MWALIMU Dotto Elias (29) wa Shule ya mchepuo wa Kiingeza ya Mtakatifu Doroth iliyopo maeneo ya kidatu Manispaa ya Tabora anayedaiwa kumnajisi mwanafunzi wa darasa la pili chooni...
Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje.
Picha linaanza...
Habari wanaJF,
Kutokana na changamoto za maisha .
Mwanadamu ana-adapt mazingira ndio huzaa hulka yaani tabia.
FURAHA NA UTULIVU; Hii ndio hisia za asili za Mwanadamu.
Ndio maana ukiwa na furaha...
Je Wajua ya Kuwa Bugger Kwa Kiswahili fasaha uitwa "SANGWEJI ?"
Ndiyo,chukua hiyo kama ulikuwa haujui!
Kumekuwa na tatizo la waastafu wengi kupata shida kurudi mikoani,wilaya kwao kuanza maisha...
Kupitia andiko hili kwenye Biblia, mfano alioutoa Yesu dhidi ya tajiri mkulima aliye fikia kilele cha mafanikio ilimchukiza Mungu na kuamua kumuua.
Nimetafakari namna tunavyo ishi sisi...
Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta.
nimefuatilia masomo yako nimefanikiwa kuwa mtu angalau kwa...
BWANA YAWEZEKANA KUPITIA MACHOZI 😭 HAYA KESHO YANGU HAITAKUWA HIVI TENA
Mungu wangu nakushkuru kwa neema hii ya majira haya ya usiku. Ni mapenzi yako tu mimi kuendelea kuwa hai. Asante kwa neema...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA,.
Katika maisha ya kila siku ya binadamu amekuwa ni mwenye kupitia mambo mbalimbali,.
Yaani kutenda na kutendwa, kusaidiwa na kusaida, kukosea na kukosewa.
Ndipo...
Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu...
Kuna shida gani ukitumia vidonge vya protein powder ukiwa hufanyi mazoezi?
Ninavyo hapa na muhusika kaenda nje ya nchi, jee nikivitumia na sifanyia mazoezi itakuaje?
Vinaitwa protein gym powder
Kila mtu Kuna kitu huwa anaangalia na kumvutia mjini you tube binafsi huwa navutiwa na video.
1. Wakata samaki
2. Masuala ya mazoezi
3. Chakula Bora
Wewe unaangalia nini zaidi YouTube.
Kero: Tamisemi Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama.
Watumishi wanahangaika Huko na huku bila msaada ,ikiwa mtu amepata UHAMISHO halali kwa Nini zoezi tena...
Hello
Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia...
"Yanga, ah Yanga! Kumfukuza kocha inakuwa ni kama hafla ya kila mwaka,si lazima yawe matokeo mabaya, lakini inajikuta ikichukuliwa kama 'desturi' ya mabadiliko.
Kocha anapochukua mikoba...