Siku hizi kuna foleni ya kutisha maeneo mengi ya Dar. Yaani Hali ni tete
Jinsi ya kupunguza makali
Kwanza: Beba vitu vya Kula, bites zisikosekane kwenye gari au kama ni wa public transport kwenye...
DAWASA KINYEREZI WAHUJUMU UCHUMI…
Hii ni habari ni inayopaswa kuchukuliwa na kufanyiwa kazi na Mamlaka nyingine za nchi kwa haraka sana.
Ni hivi, kutokana na uhitaji wa maji kuongezeka na...
Nimeikuta barabarani nikainama kuokota, sasa nashindwa ama nasita kufanya matumizi isije ikawa mtego wa ufalme wa giza.
Wabobezi wa masuala ya kiroho naomba ufafanuzi
Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Rihiwani Kikwete amesema Serikali imekamilisha uandaaji wa mpango kazi wa Taifa...
Kwa sasa Moshi ndo sehemu bora kabisa ya kuishi hapa Tz pana viwango vyote vinavyopaswa
Hapa nazungumzia Moshi kuanzia Rombo hadi Siha kule Sanya juu
Maeneo yenye huduma zote za kijamii za...
Great thinkers,
Naona huyu Mkurugenzi wa SGR anachezea serikali ya Dkt Samia, inakuwaje AC za Jengo la Abiria Magufuli hapo Dar AC hazifanyi kazi?
Nashauri Dkt Samia tumbua huyu Mkurugenzi maana...
Kiongozi wa Kimila wa Kabila la Wamanyema Sultan Hamza Othman Malilo II wa 'Usultani wa Kienembonwe wa Ujiji' wenye makao yake Busaidi Kigoma ametoa tamko kunako kutekwa kwa Abdul Nondo.
Anasema...
Tafakuri ya leo.
Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa??
Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki...
Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa litaangamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana...
FALSAFA #1
: Anaandika
mwanafalsafa mmoja ya kwamba,
Katika hii dunia hakuna kitu kikubwa,kushinda mtu
Na ndani ya mwanaume hakuna kitu kikubwa
kinachoshinda FIKRA na UFAHAMU
NENO
Hapo...
Katika mgawanyo wa vipato duniani kuna madaraja yanayoainisha makundi tofauti kutegemea na vipato vyao
Kwa marekani hapa chini ni mchanganuo wa hayo madaraja kwa mwaka (Annually income classes)...
Salaam, shalom!!
Nitaeleza Kwa ufupi.
Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko...
TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.
Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.
Maana ni mazuri na unakuta watoto...
Ni swala la muda tu kabla ya hali ya sasa ya kutekwa na watu wasiojulikana kugeuka na kuanza kuathiri hata wale wa ndani ya CCM. Dalili hizi si nzuri kwa mustakabali wa chama na taifa. Kutoruhusu...
Muungano wa vilabu vya waandishi wa Habari nchini(UTPC),wameingia kwenye mvutano mkali la waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro baada ya kuzuia mkutano wao usifanyike.
Mkutano huo uliokuwa...
Msimu wa mvua umeanza ndani ya jiji la Dodoma.
Katika mchakato wa kuweka hali za barabara zetu katika hali nzuri serikali ya mkoa/halmashauri ya jiji la Dodoma ilimwaga kifusi katika barabara...
Ndugu wanajamvi,
Pokeeni salamu zangu kutoka huku kwetu ORKEJU LOONGISHU wilayani Longido mpaka ulio karibu kabisa na Kenya.
Leo usiku uliopia tumemshuhudia Mwaandishi wa Vitabu mashuhuru na...
Tatizo kubwa Afrika lipo katika kuweka mfumo na sera sahihi za kukabiliana nalo
"We've got tons of land but unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large...
Kitongoji cha Njoka kinapatikana katika Kijiji cha Kizuka wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma. Wanafunzi hawa wanakumbana na hadha kubwa sana ya kutembea takribani zaidi ya km 10 kuzifuata shule ya...
N:B: Waajiriwa wa serikalini
Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi...