Kuna Wakati utasikia Fulani amekamatwa na Polisi.
Unaweza pia kusikia Fulani Katiwa Nguvuni na Vyombo vya Dola.
Kadhalika waweza sikia Fulani Katekwa na Watu Wasiojulikana.
Naomba kujua tofauti...
Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali.
Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati...
Leo nimesikitika sana baada ya kusoma uzi wa jamaa anayetaka wahudumu wa mgahawani kwa mshahara wa Tsh 2000/= kwa siku kwa hoja kwamba watakula bure mgahawani. Watu wengi kwenye ule uzi wamempinga...
JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha...
1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025.
Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji...
Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi FM Mh Nasib ameshawalipa Watumishi wake wote mshahara wa mwezi December
Amezitaka Taasisi nyingine ziige mfano wake Ili kuwapunguzia watumishi wao ugumu wa maisha...
Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa
Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo...
Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya...
Imekuwapo miradi mingi inayoanzishwa kama strategic kufikia dira ya Taifa 2025 pia Malengo ya kidunia 2030 lakini inashindikana kuwepo kwa muendelezo mzuri wa usimamiaji wa hiyo miradi kutokana na...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza kutengeneza sera na miongozo ya matumizi ya teknolojia ya akili mnemba ili kuhakikisha teknolojia hiyo inatumika kwa faida.
Makamu Mkuu wa chuo hicho...
Katika uchunguzi wangu nilioufanya kwa miaka kadhaa nimegundua yafuatayo:
Wengi wao wanapenda kushidia chipsi/yai
Nguvu hawana wamekaa kama mrendamrenda watoto wa mama
Hapa na pale tu usafiri...
Wakati napita katika eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, nilikumbuka kampeni kubwa ya Ng’arisha Katavi Tunza Mazingira iliyolenga kupanda miti...
Wanabodi (kwa sauti ya paskali),
Leo tarehe 4 nimefanya uzinduzi wa kupanda treni yetu pendwa ya SGR. Kwa bahati mbaya leo asubuhi kulikua na shida kwenye gridi ya taifa hivyo kujikuta treni...
Umhimu wa Kujua Historia
Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili...
Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini.
Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale...
Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni...
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu, siku za hivi karibuni imeendelea kuibuka tabia ya baadhi ya Watu ambao ujitambulisha kama waamini wa dini mbalimbali wameufanya kama utaratibu rasmi kuingia...
Utotoni ni kipindi ambacho watoto hupokea taarifa mbalimbali, zikiwemo Potofu na Sahihi, na mara nyingi huziamini hadi ukubwani.
Je, kuna Taarifa yoyote uliyoambiwa utotoni inayokupa shaka sasa...
Sio kila vita unapaswa kupigana, sio kila ushindi huja na furaha, vyote nitakavyopoteza vinaweza kupatikana ukipambana tena.
Anamshukuru Mungu kwa kumpa Adui anayemfahamu ila bado jambo moja tu...
Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?
Halafu...