Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.
Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya...
Kama wazazi wenu hawa muambii Ni vyema na haki mkaachana na biashara ya udangaji kwani ni hatari Kwa afya zenu na Kwa jamii pia.
Leo kwenye saa6 mchana mdada wawatu kidogo achinjwe.
IKO...
Kuna watu wanadanganyana eti kwenda mbinguni ni kubet.
Hivi logic ya mpako wa wagonjwa nini? Kwamba unaweza kubet dakika za mwisho ukapaa kwma kwa zari?
Logic ya kutubu dhambi ni nini? Kwamba...
WAZIRI wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewatembelea na kuwafariji waathirika wa mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo JAnuari 3, 20255 katika Manispaa ya...
Kumekuwa na huu utaratibu wa kuweka mashine ambapo mteja anatakiwa kuchukua coupon na kusubiri kuitwa ndio apate huduma; Naomba kupata maoni yako
1. Kama unazipenda au kama huzipendi na kwa nini...
Na WAF - Bukoba, Kagera
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii vyenye thamani ya Shilingi Milioni 674.3 kwa mikoa Saba ambayo ni Njombe...
Kuna mtu mmoja alieleza kuwa katika ukuaji wake aliwahi kuambiwa neno ambalo lilimfanya ajisikie vibaya kwa muda wa miaka zaidi ya kumi.
Alieleza hayo wakati akifanya mahojiano na chombo kimoja...
Familia Iliyotembea Uchi wa Mnyama ‘Tunatii Mizimu’
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bakari Msulwa amelazimika kuitembelea familia ya Seleman Mpange, mkazi wa Kijiji cha Lukulunge Kata ya Mvuha...
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar.
Mkurugenzi Msaidizi wa...
Abdul aliona mama yake anakosolewa vikali na upinzani ameamua naye kuingia kwenye michezo michafu mbaya Sana zaidi hata ya Hayati Magufuli kuipasua CHADEMA
Hadi sasa amefanikiwa kuivuruga chadema...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Serikali inatenga kiasi cha Shillingi Billioni 300 kwa mwezi kwa ajili ya kulipa madeni...
Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza...
VISA INTERVIEW QUESTIONS
1. What is the purpose of your visit?: Be prepared to explain the reason for your trip, whether it's for tourism, business, education, or visiting family and friends...
Hii kauli ya wenje naipenda sna ni kauli yenye kutueleza ukweli wa jambo na Watu walipokee
kwa mikono miwili
Mtoto pendwa wa rais ni mtu muungwana San ana ushawishi ndani ya serikali na ndani ya...
Waziri wa Afya,Jenista Mhagama amezitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari ya magonjwa ya msimu ambayo yamekuwa yakiibuka kwa nyakati tofauti hususani ugonjwa wa kipindupindu ambao amedai umekuwa...
Nipo safarini,tena safar ndefu imeanza saa kumi nafika kesho asubuhi inshallah,sasa kwa safari kama hii unatarajia seat mate wako atakuwa mwanamke,nimechill dirishani kabisa natarajia jirani...