Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Serikali zinapaswa kutoa elimu yenye ubora na kuhakikisha kuwa watoto wote wanaipata bila ubaguzi wowote. Hili ni jukumu la kisheria kimataifa, na serikali zinaweza kuwajibishwa kwa kushindwa...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga...
7 Reactions
87 Replies
3K Views
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa...
5 Reactions
69 Replies
2K Views
Kunguni wanakera sana, unakosa usingizi wakati mwingine unadhalilika! Basi bwana kuna hii dawa inaitwa diazinone, niliitumia mwaka 2015 na nikafanikiwa kuwaangamiza hawa wadudu korofi. Ghafla...
14 Reactions
122 Replies
28K Views
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa. Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu...
50 Reactions
553 Replies
16K Views
Siku ya kuapishwa Trump alitangaza uwepo wa gender mbili tu, yaani mwanaume na mwanamke. Suala hili lilitafsiriwa kama Trump anapinga mapenzi ya jinsia moja hali iliyomfanya apate umaarufu kwa...
2 Reactions
3 Replies
579 Views
A man used to give a beggar $1000 every month. The man continued in this state for a period of time. One day, he gave the beggar only $750. The beggar was surprised by that, but he said to...
3 Reactions
10 Replies
722 Views
Hellow wakuu, Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wanaume ni;- 1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako. 2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako. 3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Tanzania ni mshiriki wa jumuia kadhaa za kimataifa na kikanda. Hivyo tumesaini mikataba kadhaa wa kadhaa kwa shinikizo la mabwana zetu. Hao mabwana zetu ambao hugharamia Kila kitu tunapokwenda...
2 Reactions
17 Replies
803 Views
Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini...
1 Reactions
10 Replies
606 Views
Ni kifaa Cha matumizi ofisini kwangu kina thamani ya 200,000 tu
3 Reactions
6 Replies
435 Views
Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu Mwalimu Akiipenda kazi anajituma sana. Na huwa ANAUMIA mwanafunzi wake Wakifeli. Sema hurudishwa nyuma na maneno ya kashifa kutoka kwa viongozi wa juu yake...
2 Reactions
0 Replies
253 Views
Nimezaliwa miaka ya 90 mwanzoni, jijini Dar es salaam katika kata ya Sinza. Baba alifariki kipindi nina mwaka mmoja hata sura yake siikumbuki nimeziona picha zake tu na mama alifariki wakati nipo...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii barabara sasa hivi ujenzi wake umekuwa kero maana hatuwezi kwenda kwenye majumba yetu, kumezibwa kote sehemu zote za kuingia
2 Reactions
5 Replies
320 Views
Dunia imekwisha. Vijana hawafanyi chochote zaidi ya kushinda kubet Jijini Dar es salaam ndio kazi anakula analiwa jioni anarejea na unga na dagaa
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…