Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili
Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa...
Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba...
Serikali ya Tanzania inategemea sana fedha za msaada na mikopo kujiendesha. Ingawa serikali haijawahi kuweka wazi hii hali ila baada ya Marekani mfadhili mkuu kujitoa kwenye baadhi ya mambo...
Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao...
#TANZANIA:TUNDU LISSU:KWENYE NCHI HII HAKUNA HAKI MAHALI POPOTE
“Nchi hii haina haki mamilioni ya wananchi hawatendewi haki, kwenye vituo vya polisi hakuna haki, kwenye mahakama zetu hakuna haki...
Kwa jinisi raisi wangu Mama Samia Suluhu Hassan anavomwaga ajira kwa graduates imenibidi namimi mgonga ulimbo nizidishe maombi kwake awe na afya njema.
Maana naona mwanga wa kulamba ajira ndani...
Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la...
Hello!
Naomba kuuliza hii imekaaje kwa wale wanaojua mambo ya spiritual, kuhusu kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwezi kuigawa solution ni kuchoma, je unaichoma tu moto au kuna manuizi...
Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
Wasalaamu kwa wanaJF wote!
Nimepata fursa ya kuhudhuria mkutano mkuu wa madaktari viongozi katika sekta afya jijini Dodoma ulioanza leo tarehe 20 mwezi agosti 2019.
Pamoja na ukweli kuwa...
Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil.
God and devil are the same
Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki
Wanampa mtu utajiri na umasikini
Wanatoa...
Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo
To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza...
Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa
lakini sasa...
Utangulizi
Katika ulimwengu wa leo, ambapo maendeleo ya kiteknolojia yanapiga hatua kwa kasi isiyowahi kushuhudiwa, ni wazi kuwa sayansi inaendelea kusukuma mipaka ya yale tuliyoyazoea. Swali la...
Barabara ya Silent Inn kuelekea kanisani Kiranyi na freedom lodge Sakina Arusha,iko kwenye hali mbaya mkandarasi aliyepewa kazi ya matengenezo anasua sua sana tangu mwaka jana ameshafanya kazi ya...
Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025...
Products keys za bure unaweka kwenye Windows 10 & 11
Je ulikua unasumbuka kupata product keys za windows 10 na windows 11 kwa ajili ya kompyuta yako. Leo nimekuletea products za bure kabisa...
Ni kama vile imekuwa ni vigumu kukabiliana na changamoto ambazo Wenzetu huko nje hawana shida nazo, na kwa kuwa wameshakuja na matumizi ya taa za kuongozea Magari wakaishia hapo nasi tumebaki hapo...