JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"?
Anaandika, Robert Heriel.
Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na...
Wakuu salaam,
Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini...
Wadau,
Katika kupambana na 45 Million sasa kuna benk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum. Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi...
Hello floor no. 31
Tarehe kama ya Leo Amadala aliivuta pumzi ya Duniani kwa mara ya kwanza.
Nashukuru Mungu na wazazi wangu kwa kunifikisha hapa nilipo.
Asante Mungu kwa ajili ya Kila kitu...
Binafsi huwa haipiti siku nisisome vitabu. Napenda novels, short stories na vitabu mbalimbali. Ifuatayo ni orodha ya vitabu nilivyosoma kwanzia mwezi wa kwanza 2022 mpaka mwezi wa sita 2022.
1...
Habari wana JF
Habari,
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu...
CHUKUA HIZI 11, KAMA ZITAKUFAA
1. SIRI YA KWANZA
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni...