Zuma's Revenge tamu nyieeeeeee!!! Asikwambie mtu....!!!

Mi nimecheza zuma deluxe,ila na wenyewe ni mtamu usipime.sasa huo wa revenge unaupataje?coz kwa kuuangalia tu unanitamanisha.

yap Blue G, me nazijua Zuma Deluxe na Zuma Pyramids.
Aisee hizi game ukianza huachi,bora umalize kazi ndo ucheze.
Afu kuna ile game inaitwa Bubble Shuttle Acha Kabisa.
 
Last edited by a moderator:
dogo link yako mbona napata trial ya dk 60?

Sio trial mkuu...since wewe sio premium member unatakiwa kusubiri kwa muda kadhaa kabla ya kupewa download link kutokea...normaly huwa ni 20-30 sec sasa sijui hiyo dakika 60 umeipata wap.
 
daah, hizi zuma zote mbili nimezimaliza...hii revenge niliimaliza mwaka 2011 oktoba.

Hongera mkuu kwa hilo...mimi niliicheza sana kipindi flani nikiwa SAUT ila nikaiacha maana niliona SUP inaanza kunukia...ila sasa nimeirudia tena kwa ari mpya...nguvu mpya...na kasi ya ajabu.
 
yap Blue G, me nazijua Zuma Deluxe na Zuma Pyramids.
Aisee hizi game ukianza huachi,bora umalize kazi ndo ucheze.
Afu kuna ile game inaitwa Bubble Shuttle Acha Kabisa.
Yaani we acha tu unaweza ukaunguza mboga,huo wa buble shuttle pia nimeucheza, aisee na wenyewe wa kucheza huna kazi,vinginevyo unaweza hata kulaani wageni waliokutembelea muda huo.
 
Yaani we acha tu unaweza ukaunguza mboga,huo wa buble shuttle pia nimeucheza, aisee na wenyewe wa kucheza huna kazi,vinginevyo unaweza hata kulaani wageni waliokutembelea muda huo.

ha ha haa!!! hadi kulaani wageni mkuu?
 
play this thing so hard at my work place hadi supervisor kuweka desktop password. but still had it in my PC. It real a cool stuff to waste your time.
 
Nimeshacheza games za aina nyingi sana lakini hii Zuma ina utamu wa aina yake...hata kama wewe sio mpenzi wa games ukiicheza hii lazima utaipenda tu utake usitake...Je wewe umeshawahi kuicheza hii?

543915_269948879800141_1970888914_n.jpg

Kwa wanaoitaka hii game wajipakulie wenyewe kwa raha zao HAPA
Mkuu umesababisha nisitishe kucheza game yangu hiyo hiyo ya Zuma nipitie uzi wako, nilidhani ni mambo ya Zuma yule rais wetu ameanza tena. Sasa ngoja nirudi kwenye game langu, hili nililipata miaka mitatu iliyopita, yaani mademu wapo tayari washinde nyumbani kwangu wakicheza kuliko kuikosa. Tehetehetehetehetehetehe nafaidi miye.
 
Nimeshacheza games za aina nyingi sana lakini hii Zuma ina utamu wa aina yake...hata kama wewe sio mpenzi wa games ukiicheza hii lazima utaipenda tu utake usitake...Je wewe umeshawahi kuicheza hii?

543915_269948879800141_1970888914_n.jpg

Kwa wanaoitaka hii game wajipakulie wenyewe kwa raha zao HAPA
Unaifahamu ile ya Draft yakheeee.
 
Mkuu umesababisha nisitishe kucheza game yangu hiyo hiyo ya Zuma nipitie uzi wako, nilidhali ni mambo ya Zuma yule rais wetu ameanza tena. Sasa ngoja nirudi kwenye game langu, hili nililipata miaka mitatu iliyopita, yaani mademu wapo tayari washinde nyumbani kwangu wakicheza kuliko kuikosa. Tehetehetehetehetehetehe nafaidi miye.

ha ha haaaa!!! Kwa hiyo wewe unajipatia faida kwa sababu ya zuma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom