Zumaridi hana kesi ya kujibu

Wakala wa Shetani atafunguliwa, atoke kifungoni mwake; naye atatoka kuwadanganya mataifa walio katika Kanda ya ziwa.Kanada yenye kusanyiko kubwa la wajinga na wapumba.vu
 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu...
Kidooogo wewe umejitahidi kuelezea!

Kichwa cha habari hakisadifu uhalisia, ni biashara ya kuvutia wasomaji wateja.

..." hana kesi ya kujibu"... wakati bado yumo ndani kang'ang'aniwa?

Hapo ulitakiwa uchambue mashitaka gani aliyofutiwa na mashitaka gani bado anaendelea nayo.

"Hana kesi ya kujibu" maana yake ni kuachiwa huru na sasahivi angelikuwa uraiani akiabudiwa Mungu mtu chini ya jua.
 
Back
Top Bottom