Zuma hits back at UK media reports

In an interview with the Star, Zuma said that the coverage was disrespectful of his Zulu culture and echoed the views of South Africa's former colonial masters.

"When the British came to our country they said everything we are doing was barbaric, was wrong, inferior in whatever way ... I don't know why they are continuing thinking that their culture is more superior than others," he said.
There you have it in Zuma's own words

Hawa jamaa eti, a polygamist mbona its common practise in the middle east and they say nothing.

Huyu jamaa ni the first president ambae anataka mabadiliko ya kweli not the two previous puppets in their strings who could care less for the wellbeing of a black south african.

They can say what they want africa is waking up as a continent ni kizazi cha mwisho madarakani, kuendelea kumdekeza mzungu.
 
Watu bwana!

1. Why culture ya Mzungu ya monogamy ionekane ndo njia inayofaa?? Mababu zetu walikuwa na wake wengi na kuishi kwa amani na upendo na wengi wetu tumezaliwa ktk monogamous families?
2. Kuliko kuwa na 'nyumba ndogo' kwa wakiristo si bora kuwa wake wengi ila wanajulikana? Nakuambia over 60% ya wanaume wakiristo SSA wana vimada au 'nyumba ndogo'..na wanajificha ktk dini

Why unafiki wote huu? Tuwe realists!
 
Mzalendohalisi, hongera kwa kusema ukweli. Kwanza hata hao wazungu wenyewe tu asilimia si haba ni 'polygamists' by nature, wanao wake na wanawake. Angalia hao waigizaji na watu maarufu siku zote unasikia scandals zao. Ila sheria za kwao haziruhusu hivyo ndio maana wanakuwa na mke mmoja wa ndoa.

Na hapa kwetu Tz ndio usiseme, mwanamme mmoja mke mmoja + nyumba ndogo kibaao halafu eti wanasema wao ni monogamous. Na kwa upande mwengine, mwanamke mmoja lakini wanaume wa nje kibaao ijapokuwa yuko kwenye ndoa!
 
Watu bwana!

1. Why culture ya Mzungu ya monogamy ionekane ndo njia inayofaa?? Mababu zetu walikuwa na wake wengi na kuishi kwa amani na upendo na wengi wetu tumezaliwa ktk monogamous families?
2. Kuliko kuwa na 'nyumba ndogo' kwa wakiristo si bora kuwa wake wengi ila wanajulikana? Nakuambia over 60% ya wanaume wakiristo SSA wana vimada au 'nyumba ndogo'..na wanajificha ktk dini

Why unafiki wote huu? Tuwe realists!

Kwasababu
Ukiwa na wake zaidi ya mmoja
1.probability ya kupata ukimwi ni almost 1. Na ndio maana unaona sie waafrika tumeathirika kwa ukimwi sana.

2.kwa vile condom ni culture ya mzungu, probability ya kuitumia kwa mtu mwenye mtazamo tofauti ni ndogo na pia uzazi wa mpango ni culture ya mzungu vilevile probability ya ku-praktsi ni ndogo sana, hivyo basi probability ya kupata watoto beyond of control ni kubwa sanaaaaaa almost 1.

3.Kutoka na point ya 2, probability ya kushindwa kuwahudumia walio ktk pointi ya 2 ni kubwa,kielim,kiafya na kimiundo mbinu.

4.Kutokana na pointi 3, probability ya kuwa masikini ya watu kutoka pointi 2 ni kubwa mno almost 1.

5.kutokana na pointi 1 hadi 4 kinachopatikana ni kizazi cha kulalama tu ,kilicho masikini wa kutupwa hata kuwanunulia nguo za shule watu wa pointi 2 hakiwezi, na kikitegemea serikali yao ndo ifanye hivyo.
 
Monogamy sio culture ya mzungu, na polygamy sio culture ya mwafrika. Kuna wazungu wengi sana wana polygamist tendencies, na kuna waafrika wengi wanapractice monogamy. Utaratibu wa Zuma si utamduni wa mwafrika, ni ujinga na tamaa zake mwenyewe. Nadhani hata hapa Tanzania wanaume wengi wana-onja onja nje, lakini they are far better than Zuma.
 
Mkuu nakupata kabisa. Kushika adabu yangu kwanza ni kupinga polygamy, na adabu yangu kunishika ni kutomuunga mkono Zuma. So far sijaona wisdom yoyote ya polygamy zaidi ya patriarchal tendency ya baadhi ya watu. Kuna watu wanaona kuwa uanaume ni kuwalala wanawake as many as possible, na wengine wanaona kuwafanya wanaume wazae watoto wengi as possible huo ndio uanaume.

KUna wengine, wanaendelea kuwa adolcent hata wanapokuwa adults, senior adults, kutokana na mazingira waliokua nayo. Kama kweli waafrika kusini wanautamaduni wa Zuma basi ni taifa lililooza.Mandela kutopinga tabia ya Zuma hakumaanishi kuwa ni tabia nzuri. Kiongozi mmoja kuwa na wake wengi sio ishara ya kusema hiyo ni tabia nzuri.

Still polygamy ni ishara ya primitiveness ya mtu. Kama mtu unaipenda kwa weakness zako binafsi sio justification ya kuifanya iwe morally right kwa wote.

Arragance is truly foly and lead deep into foolishness, blindness of the yes and deafness of the eatrs, you still don't get the point.

I fear that people like you, as for your masters British and Western bunch of swollen headed arrogants will never be able to inspire people to change for the better of themselves, instead they forced them and they leave the people worse off than their forefathers and always leave behind hatred and antagonistic ill feelings not only against them but worst of against each other among the divided natives of those lands.

They occupied and colonised the land for decades and centuries, but still when they leave, no one capitulates to their moralities except that those who do blindly do so, face and suffer moral dilematous destructions in their communities.

You know why???, it is because you are simply arrogant, disprespectful and most certainly and covertly your morals are worse than them. What can Jacob Zuma or Zulu people learn from you and them??? His are modearte forms than yours and your masters' ones. Just little stubburness and pride of his encestral culture which anyone can have. And it is the British colonial occupation and Westerners in general to blame for introducing justifications of free sex, adulterous, fornication and other deviant and despicable sex behaviours everywhere on earth where such justifications would otherwise never be thought of.

Do you get the point??? Unajaribu kutoa kijiti kwenye jicho la mwenzio wakati mtaimbo umezama kwenye jicho lako??? si unafiki huo
 
I happen to be born after colonialism, nor have been to Britain, Europe or whatever. Never gone through civilization process of "masters". I am a master of my self, and a slave of my own, neither traditionalist nor modernist, not a polygamist or a monogamist. A normal person, I believe in freedom, (with limitations) and human dignity, including not treating women as fucking machines.

Mkuu i like this..........
"Do you get the point??? Unajaribu kutoa kijiti kwenye jicho la mwenzio wakati mtaimbo umezama kwenye jicho lako??? si unafiki huo........

lakini ukweli ni kwamba, my conscious does not want to believe in Zuma, he may be a good politician, certain not good man ( in my opinion). Am not suprised to some people trying to justify his action in the name of Zulu culture. I know a good number of Zulus who are monogamists, who feel sick when they hear what Mr president has done.
 
Kwasababu
Ukiwa na wake zaidi ya mmoja
1.probability ya kupata ukimwi ni almost 1. Na ndio maana unaona sie waafrika tumeathirika kwa ukimwi sana.

2.kwa vile condom ni culture ya mzungu, probability ya kuitumia kwa mtu mwenye mtazamo tofauti ni ndogo na pia uzazi wa mpango ni culture ya mzungu vilevile probability ya ku-praktsi ni ndogo sana, hivyo basi probability ya kupata watoto beyond of control ni kubwa sanaaaaaa almost 1.

3.Kutoka na point ya 2, probability ya kushindwa kuwahudumia walio ktk pointi ya 2 ni kubwa,kielim,kiafya na kimiundo mbinu.

4.Kutokana na pointi 3, probability ya kuwa masikini ya watu kutoka pointi 2 ni kubwa mno almost 1.

5.kutokana na pointi 1 hadi 4 kinachopatikana ni kizazi cha kulalama tu ,kilicho masikini wa kutupwa hata kuwanunulia nguo za shule watu wa pointi 2 hakiwezi, na kikitegemea serikali yao ndo ifanye hivyo.

Point no. 1: ukiwa na wake: Mke, awe mmoja, wawili mpaka kikomo cha wanne (kwa waislamu) au zaidi ya idadi hiyo kwa mujibu wa vikomo vya mila za hao wengine wasio waislamu, hufanywa kimaadili kwa misingi ya mila/sharia husika. Ni tofauti kabisa na zinaa (mwanamke na mwanamme wasiooana) na aina nyengine za maasi ya kiuvundo pale spirituality inapotenganishwa na jimai (sex), mfano sodomites na lesbianisms.

Vitendo hivyo wanavyovipiwa debe na hao wazungu na kuigwa kama mitindo na baadhi ya wapuuzi miongoni mwetu, ndivyo vilivyo/vinavyochangia kuenea kwa maradhi ambayo vizazi vyetu vilivyopita hawakuwahi ku-experience kama vile ukimwi na mengineyo kinyume na takwimu zako za kipuuzi na kukosa kwako heshima juu ya taasisi za kimaadili kama ndoa, iwe ya mke mmoja au mitara. Taasisi takatifu ya Ndoa ni victim tu katika hili, na haina mchango wowote katika kusababisha wala kueneza maradhi-adhabu ya zinaa kama ukimwi, n.k. Washutumiwa kwa haya ni Zinaa na uchafu mwengine wa liwati. Jua vizuri tofauti hizi.

Ama kuhusu sisi waAfrika kuwa waathirika sana ni kwasababu ya kwamba daima mwenye kuiga upumbavu basi ni mpumbavu zaidi, na athari za upumbavu humkumba zaidi aliye bora katika upumbavu. Ashakumu si matusi, sisi kupenda kuiga maadili ya kipumbavu ya kizungu (zinaa, liwati nk kuwa mambo ya kawaida badala ya kuwa maasi ya nadra) utatufanya kuwa mbele zaidi kiupumbavu kuliko waanzilishi wa upumbavu.

Pointi no. 2: Uzazi wa mpango ni culture ya mzungu: Hii ni absolute crap. Kwa mujibu wa maadili yangu mimi, na mimi ni Mtz labda tu tofauti na baadhi waTz wenzangu wengine wasio waislamu, ni kwamba mimi ni miongoni mwa waTZ walioukubali uislmau na kuwa muislamu na kujaribu niwezavyo kuufuata. Uzazi wa mpango (sio kuzuia kizazi) ni jambo lililo ndani ya uislamu. Misingi, taratibu na mipaka ya uzazi wa mpango iliyo ndani ya uislamu (tofautisha na uarabu) ni bora zaidi kuliko ile inayoletwa na mzungu ambazo zimekoza mwelekeo na kuwa ni kuzuia uzazi kutokana na hiyana(selfishness), unbilief (ukosefu wa imani), greed (uroho), maonyesho, majigambo badala ya ukweli wa mambo (fashion badala ya reality)na kuleta maradhi mapya katika jamii. Jaribu wewe kuhesabu na kupima faida (zipo, sikatai kwa maana wao vilevile ni binadamu) zake na hasara zake uone mwenyewe kama una macho ya imani, elimu, busara na hekima za kibinadamu na makusudi ya kuwepo kwetu ulimwenguni.

Chemsha bongo/scenario/hypothesis: "Matumizi na ufahamu wa faida na matumizi ya condom worldwide yameongezeka maradufu ukilinganisha na miaka ya 70s' na 80's. Kinyume na matarajio yaliyokusudiwa idadi ya wanaoambukizwa virusi vya ukimwi na kufa kutoka na maradhi yatokanayo ime/inaongezeka maradufu vilivile. Bila ya kutaka figures, hii ni reality unless hukubaliani nayo. Vile vile idadi ya watu (world population) ina/imeongezeka. Kwanini hivi kitakwimu???"
 
Back
Top Bottom