Zomea zomea yamkumba Sitta kwenye harusi

Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
256
Nilikuwa kwenye harusi ya Jaquline Mjengwa, binti wa Kanali Mjengwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Rujewa, Kanali Joel Ramadhan Mjegwa.
Kituko nilichokiona kwenye harusi ile ambayo ilikuwa ikiendeshwa na MC Ephrahim Kibonde (Mtu wa Kujipendekeza sana kwa viongozi wa CCM), akaanza kuwaita Martin Shigella, Katibu mkuu wa UVCCM kuja kusalimia na kisha Samuel Sitta.

Alipoinuka tu Mh. Sitta meza moja ya vijana ikaanza kumshangilia kwa kuimba CCJ, CCJ, CCJ na kudakiwa na meza nyingine kitendo kilichomfanya Mh. Sitta asite kwanza kusema lolote mpaka hali ilipotulia, kwa aibu akatoa nasaha zake chache za kizamani na kurudi kukaa akijichekeshachekesha kwa Aibu.
 
Nilikuwa kwenye harusi ya Jaquline Mjengwa, binti wa Kanali Mjengwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Rujewa, Kanali Joel Ramadhan Mjegwa. Kituko nilichokiona kwenye harusi ile ambayo ilikuwa ikiendeshwa na MC Ephrahim Kibonde (Mtu wa Kujipendekeza sana kwa viongozi wa CCM), akaanza kuwaita Martin Shigella, Katibu mkuu wa UVCCM kuja kusalimia na kisha Samuel Sitta. Alipoinuka tu Mh. Sitta meza moja ya vijana ikaanza kumshangilia kwa kuimba CCJ, CCJ, CCJ na kudakiwa na meza nyingine kitendo kilichomfanya Mh. Sitta asite kwanza kusema lolote mpaka hali ilipotulia, kwa aibu akatoa nasaha zake chache za kizamani na kurudi kukaa akijichekeshachekesha kwa Aibu.
Safi sana, malipo ni hapa hapa duniani!
 
Ache kuangalia vibanzi kwenye macho ya wengine wakati kwake kuna maboriti makubwa! CCJCCJ............................................!
 
upupu umeiiingiiiiaaa aaahhh upupu umeingiiia aaaha wachaa nichomoke yekekkee kula yekeke yekeyeke
 
Kila muosha maiti za wenzake na yeye yake itaoshwa tu .So atajionea sasa alidhani yeye ni Mungu ? Kesha jimaliza mzee wa tamaa na fisadi mkubwa .Kala pesa za Bunge sana kwa safari zake za ajabu yule .
 
Jamni hivi siku ile sita ilikua amekunyawa konyagi? This guy sold his reputation so cheaply!
 
Hivyo ndivyo alivyo Sitta. Mlimshangilia sana alipokuwa akihangaika na Lowassa.
 
Mwisho wa ubaya ni aibu. Alitenda dhambi kubwa saaaaaaaaaaaana ya kulizima sakata la Richmond kihuni kule bungeni, na dhambi hii itamtafuna sana mpaka siku anaingia kaburini. Kifo chake kisiasa kiko mlangoni kama kilivyokufa chama chake kipenzi CCJ
 
Unajua kirefu cha CCM ni Chama cha mafisadi, matapeli na kwa upande wa CCJ ni chama cha jambazi 6. Huo ndio ukweli. Aibu gani hiiiíi 6 unafanana na jina lako 6 sita?
 
Ha ha ha kweli tz tupo pazuri sasa hata barabarani wakipata mayai viza si mbaya ili watuelewe watz tumechoka,
 
Ukisoma alama za nyakati utagundua kuwa huu ni wakati wa mabadiliko Tz na CCM na wanafiki wake hawatakiwi tena wakati wao umepita! Tuendelee na mwendo huu mambo mazuri yaja.
 
Haaaaaa haaaaa! Siku hizi Jambazi la Monduli lenye nywele kama manyoya ya kondoo linatetewa sana humu JF kiaina!
kawatumbukiza mamluki humu ndani si mchezo,na Lowasa alivyo na akili inayofanana na hayo manywele yake maupe km ya kondoo,anaimani tosha kuwa yeye ndo rais 2015.
 
Unajua kirefu cha CCM ni Chama cha mafisadi, matapeli na kwa upande wa CCJ ni chama cha jambazi 6. Huo ndio ukweli. Aibu gani hiiiíi 6 unafanana na jina lako 6 sita?
ccm ni chukuwa chako mapema 6 kwatama hakutosheka naalicho chukuwa akaanzisha ccj chama cha jambazi hiki kingekuwa kibaya zaidi kuliko ccm aibu 6 unajidhalilisha unajivuwa nguo hadhalani umezeekea ccm unaijua az ataukijipendekeza ni wataramu wa kutumia utatumiwa utatupwa kama tishu ulijijengea heshima tukakuona kama mpambanaji mtetea wanyonge kumbe ni munyongaji mgeukie muumba wako ukatubu
 
Nilikuwa kwenye harusi ya Jaquline Mjengwa, binti wa Kanali Mjengwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Rujewa, Kanali Joel Ramadhan Mjegwa.
Kituko nilichokiona kwenye harusi ile ambayo ilikuwa ikiendeshwa na MC Ephrahim Kibonde (Mtu wa Kujipendekeza sana kwa viongozi wa CCM), akaanza kuwaita Martin Shigella, Katibu mkuu wa UVCCM kuja kusalimia na kisha Samuel Sitta.

Alipoinuka tu Mh. Sitta meza moja ya vijana ikaanza kumshangilia kwa kuimba CCJ, CCJ, CCJ na kudakiwa na meza nyingine kitendo kilichomfanya Mh. Sitta asite kwanza kusema lolote mpaka hali ilipotulia, kwa aibu akatoa nasaha zake chache za kizamani na kurudi kukaa akijichekeshachekesha kwa Aibu.

.......mimi namjua Col Edmund Mjengwa kama mbunge wa zamani
 
Hivyo ndivyo alivyo Sitta. Mlimshangilia sana alipokuwa akihangaika na Lowassa.
Hivi ww umetumwa na manywele humu Jamvin? fikiria unalosema kama linasound machoni kwa watu,wewe haujui Lowassa alifanya uhuni gani juu ya Richmond,huo ni uhuni sasa
 
Back
Top Bottom