Zomea zomea yamkumba Sitta kwenye harusi

Binafsi nilikua namheshim sana Sitta lakn kwa upupu anaoufanya sasa mh! Namshauri apumzike na mambo ya siasa akalee wajukuu huko kwake
 
Nilikuwa kwenye harusi ya Jaquline Mjengwa, binti wa Kanali Mjengwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Rujewa, Kanali Joel Ramadhan Mjegwa. Kituko nilichokiona kwenye harusi ile ambayo ilikuwa ikiendeshwa na MC Ephrahim Kibonde (Mtu wa Kujipendekeza sana kwa viongozi wa CCM), akaanza kuwaita Martin Shigella, Katibu mkuu wa UVCCM kuja kusalimia na kisha Samuel Sitta. Alipoinuka tu Mh. Sitta meza moja ya vijana ikaanza kumshangilia kwa kuimba CCJ, CCJ, CCJ na kudakiwa na meza nyingine kitendo kilichomfanya Mh. Sitta asite kwanza kusema lolote mpaka hali ilipotulia, kwa aibu akatoa nasaha zake chache za kizamani na kurudi kukaa akijichekeshachekesha kwa Aibu.
Umefika mwisho au unaendelea
 
Hili lizee hovyo kabisa: lili i-personalize issue ya richmond kwa maslah yake matokeo yake jamii zote zimekalia kujadili mijadala ya ufisadi isiyoisha na isiyokuwa na majibu.
 
Hili lizee hovyo kabisa: lili i-personalize issue ya richmond kwa maslah yake matokeo yake jamii zote zimekalia kujadili mijadala ya ufisadi isiyoisha na isiyokuwa na majibu.
hapa kuna mawili,either huna elimu hata kidogo,au umetumwa na EL,chagua moja hapo!
 
Safi sanaaaaaaaaaaaaa!!!simpendi huyu baba juzi tu kanikera sana kwa kauli yake ya kinafki ati wabunge wa upinzani ni wanafki.akome kuringa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom