Zomea Zomea Ndio Dawa Ya Magamba

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Wakuu tumechoka na ufisadi wa magamba. Siyo mawaziri,Siyo midomo michafu kama Ben Mkaa-Hapa, Siyo wazinzi kama yule wa Morogoror aliyelizwa na CD na takataka zote. Hatuwezi kuzidi kukaa kimya. Wanayafanya maisha kuzidi kuwa magumu kwetu, huku wakifuja jasho zetu. Dawa sasa ni kuanza zomea zomea kila tunapokutana nayo. Kwenye kampeni popote pale tuanzeni zomea zomea kwa hawa magamba !

Haya yote yatakaposhindikana tutaanza People's power
 
nakuunga mkono mkuu.Magamba wamekwisha kabisaa,tumefunguka macho sasa.TUZOMEE HAO WACHAFU,WALAFI,WASIO ONA MBELE,KAZI KUUZA WANYAMA ILI WATALII WASIJE HUKU NYUMBANI ETI ,WANAKUZA UCHUMI ,HAHAHAHAAAAAAA,WACHUMI UCHWARA HAOOO.
 
yaani hii imekaa vizuri kweli. dawa ya magamba ni zomea zomea, kila kona. wataiona nchi chungu. inabidi tuanzishe ka movement ya zomea zomea kila wanakopita. jamani sambazeni ujumbe huu wa kuwazomea magamba
 
kuzomea basi kazi ndogo! Kesho naenda darasani kufundisha namna kufikisha ujumbe kwa viongozi wanaohujumu mali za uma kwamba haturidhi kwa mnayotenda
 
kuwaopoa mawe ni hatu ya mwisho, kwanza tuanzeni na zomea zomea. wakina changudoa adam malim ndio tuanze nao
 
Naunga mkono hoja. na hoja hii ni nzuri sana mheshimiwa spika.
 
Wakuu tumechoka na ufisadi wa magamba. Siyo mawaziri,Siyo midomo michafu kama Ben Mkaa-Hapa, Siyo wazinzi kama yule wa Morogoror aliyelizwa na CD na takataka zote. Hatuwezi kuzidi kukaa kimya. Wanayafanya maisha kuzidi kuwa magumu kwetu, huku wakifuja jasho zetu. Dawa sasa ni kuanza zomea zomea kila tunapokutana nayo. Kwenye kampeni popote pale tuanzeni zomea zomea kwa hawa magamba !

Haya yote yatakaposhindikana tutaanza People's power
nyie zomeeni mtaani sisi tutajibu mapigo bungeni
 
Tungepata style moja ya kuzomea itumike kote ungekuwa safi sana.

Mfano huku Arumeru tukiona Gari za chama chao watu wanapiga Ukunga (uwiiiiiiiiiiiiiiii)
 
kila ikipita kijani hiloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Ni kweli zomea zomea, lakini tusije kujikuta tunazomea tu bila kutangaza sera zetu za kuikomboa tanzania ya wenye hekima.
 
Wagumu kuelewa hao,watatafsiri kuwa wanashangiliwa.Dawa ni box la kura tuu,zikiwa nyingi hata kuiba inakuwa shida
 
zomea zomea bila kufanya kweli kwenye kupiga kura haitasaidia! dawa pekee ni kuwaadhibu kwenye kura
 
Mimi nawazomea kimya kimya kwa kuwafundisha wanangu kuwa ccm ni dudu moja baya sana, kuliko hata shetani! Nawaambia wasitoke nje usiku ccm atawameza! Somo wamelielewa vizuri manake wanapoangalia Cartoons likitokea jini wanasema linatisha kama ccm...
 
Hiyo ya arumeru ya leo ndio mwanzo. Ikikidi tuongeze pipooooooooooooo...........pawa
 
Wakuu tumechoka na ufisadi wa magamba. Siyo mawaziri,Siyo midomo michafu kama Ben Mkaa-Hapa, Siyo wazinzi kama yule wa Morogoror aliyelizwa na CD na takataka zote. Hatuwezi kuzidi kukaa kimya. Wanayafanya maisha kuzidi kuwa magumu kwetu, huku wakifuja jasho zetu. Dawa sasa ni kuanza zomea zomea kila tunapokutana nayo. Kwenye kampeni popote pale tuanzeni zomea zomea kwa hawa magamba !

Haya yote yatakaposhindikana tutaanza People's power

mkuu uliona mbali sana. sasa hivi magamba wanahaha. zomea zomea kila kona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom