Zoezi la utambuzi wa mifugo kielektroniki mwisho Oktoba 31, 2022

Safari hii watu wanafirisiwa Kwa lazima,
FB_IMG_1665260959019.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa na Wizara ya mifugo , Ewe Mfugaji kabla ya kukumbana na faini hiyo Sajili mifugo yako mapema .

Chanzo : Habari Leo

USIJE KUSEMA HATUKUKUAMBIA .
Malisho na dawa ni kitendawili hiyo sajili ikoje Nini Serikali inasaidia?
Mifugo inakufa Kwa kukosa malisho na maji!
Huu ni uchochezi kwa wafugaji wanaohangaikia malisho kutwa kucha.
Wengine wamewafungua hadi waende kuhemea majani wawaletee kutokana na sehemu za kulishia hakuna. Acheni mzaha.
 
Wazee wa kuvuta shati nyuma,nchi inachanja mbuga we baki kupingapinga tuh na kusaka kosamoja
 
Back
Top Bottom