Zodiac killer; Muuaji aliyetamba miaka 1960 San Franciso Marekani

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,723
Vimbwanga duniani vipo kama sisi tunaotaka kuwafahamu wasio julikana.

Kwa huyu bwana zodiac killer ni moja ya watu waliotamba miaka 60 na wengine kama jack ripper na watu waliofanya vitendo viovu na kesi zao mpaka leo zijatatuliwa (unsolved criminal).

Kesi ya muuaji huyu kwa jina alilopewa zodiac killer kulikuwa na mfululizo matukio, ambaye aliua watu watano mwishoni mwa miaka ya 1960 kabla ya kuwadhihaki polisi kupitia barua alizokuwa anatuma kupitia kwenye kwa vyombo vya habari.

Mpaka zimebaki bila kutatuliwa kwa zaidi ya miaka 52.na kufungwa kwa kesi yake maana ilichukua mda mrefu.

Na hizi moja za barua alikuwa anatuma zilizokosa tafsiri
IMG_1093.jpg

IMG_1092.jpg

IMG_1091.jpg


Baada ya miaka nursu karne imekuja kugundilika muuaji huyo ambaye
IMG_1087.jpg


kwa jina gary francis ndiye muhusika aliyewapa shida miaka 60.

ila mtuhumiwa huyu alifariki 2018.timu ya wataalamu iliweza kupata viashiria vya ushaidi vilivopatikana nyumbani kwake.


nchini marekani kuna kesi ambazo mpaka leo zimeshindwa kutatulika na kufutwa kwenye kesi zilizoshindwa kutatuliwa
 
Huyu Serial Killer kawasumbua sana FBI aisee. Na alikua anatuma barua kabisa kwenye radio station na police. kuna movie yake tamu sana.
 
Back
Top Bottom