Zitto Zuberi Kabwe Kiboko

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Jana akiwa anahojiwa na waandashi wa Alasiri alisema endapo watamchukulia hatua yoyote kwa yale aliyoyasema Bungeni basi watazomewa na wananchi kama walivyozomewa katika lile sakata la Buzwagi!!!
 
Jana akiwa anahojiwa na waandashi wa Alasiri alisema endapo watamchukulia hatua yoyote kwa yale aliyoyasema Bungeni basi watazomewa na wananchi kama walivyozomewa katika lile sakata la Buzwagi!!!

Kweli, tunamsubili aje mtaani tumpokee shujaa wetu, Ole wao walikoroge!
 
Tunawazoea while nchi inadidimia, hawa wakubwa kile kichocheo ndani ya bongo zao kinachoshughurika na aIBU kimekufa. Hawaoni sONI wala hAYA na kwenye nyumba za ibada wanakaa viti na safu za mbele ati, kiboko yao kABURI na Mbele ya Mtoa hAKI.
 
Hii watainyamazia, kutoa adhabu itawapeleka pabaya hadi mwakani. Sana sana, Sita atakuja na msemo wa "KUMPUUZA KWANI BADO NI MDOGO NA HAJUI AFANYALO" Si tunakumbuka ya Adam Malima Vs Mengi!
 
Eti jana Waziri Mkuu aliwataka Wabunge wawaheshimu Mawaziri na wachangie bila jazba lakini alisahau kuwa mawaziri ndio chanzo kwa kujibu maswali kwa style ya mipasho. Respect ni two ways directions na siyo one way direction. Ni kweli kabisa watanzania sasa hivi wanajua kinachoendelea Bungeni, hivyo kama CCM watajaribu kumfungia Zitto basi wajue "wameula wa chuya"
 
huyo waziri mkuu hajasahau chochote kama miwaziri yake ndiyo inayofokafoka ovyo bungeni, kajitoa akili tuuuu na kujifanya kipofu kwamba hakuona na kusikia miwaziri yake inavyoropoka kwa jazba
 
Mugo"The Great";501544 said:
Eti jana Waziri Mkuu aliwataka Wabunge wawaheshimu Mawaziri na wachangie bila jazba lakini alisahau kuwa mawaziri ndio chanzo kwa kujibu maswali kwa style ya mipasho. Respect ni two ways directions na siyo one way direction. Ni kweli kabisa watanzania sasa hivi wanajua kinachoendelea Bungeni, hivyo kama CCM watajaribu kumfungia Zitto basi wajue "wameula wa chuya"

Maana yake hawawezi kumfanya chochote na imebidi kumuomba Zitto asitumie wanchokiita jazba. Mbona safari ile hawakuomba walienda moja kwa moja kuleta hoja afungiwe.

Wafanye tena waone. Tena wakati ule ilikuwa hivihivi wakamfungia Zitto miezi miwili baadaye Slaa akatoa list ya mafisadi iliyofanya sasa matajiri tusiwasifie tena kwa ujanja wao bali tuwaite mafisadi.

Wamfungie halafu Slaa aibuke na jingine. Mwembeyanga inawasubiri na midomo y watanzania ina mwaka haijazomea.
 
Hii watainyamazia, kutoa adhabu itawapeleka pabaya hadi mwakani. Sana sana, Sita atakuja na msemo wa "KUMPUUZA KWANI BADO NI MDOGO NA HAJUI AFANYALO" Si tunakumbuka ya Adam Malima Vs Mengi!
kauli mbofuuuu sanaaa hizoo spika huwa anatoaa kujikosha kuwa yeye ni mwerevu wa kucheza na akili za wadanganyikaaa..ananiboaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Jana akiwa anahojiwa na waandashi wa Alasiri alisema endapo watamchukulia hatua yoyote kwa yale aliyoyasema Bungeni basi watazomewa na wananchi kama walivyozomewa katika lile sakata la Buzwagi!!!

Huo ndio ukweli. Bungeni kumezidi vitisho, Mbunge wa CCM akiongea utumbo wala hachukuliwi hatua lakini Mbunge wa upinzani akihoji utumbo ulio ongewa na Mbunge wa CCM vitisho vimekuwa vingi.

CCM eleweni kuwa vitisho vimepitwa na wakati, Mwl Nyerere aliondoka navyo, sasa hivi watanzania tumechoshwa na nyinyi (CCM).
 
Back
Top Bottom