Zitto vs Spika bungeni leo

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Leo asubuhi Mh. Zitto kamchachafya kidogo spika wa bunge

Zitto: Mh. Spika kuna kiti kiko wazi kwa maana kwamba mwenzetu mmoja ameamua kubwaga manyanga kwa taarifa tulizonazo. Sasa tungependa kujua kama ushamwandikia barua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kumjulisha aitishe uchaguzi ili tukachukue jimbo letu.

Spika: Hata mimi hizo habari nimezisikia kwenye mtandao tu bado sijazipata rasmi, kwa hiyo usitupotezee muda.

My take,
Chadema wanataka jimbo, je itawezekana??
 
nini kuna maswali matatu yananishanga kuhusu huyu mama
  1. ana watoto ? tabia zake kama wale wasio na watoto wanapenda sana kugombagomba
  2. ana mume naona kama nakosa hudumu muhimu ?
  3. ni dikiteta? ana heshima na watu kweli?
 
ANA UGILIGILI. Ni ugonjwa wa wanawake au wanaume waliokosa huduma ya muhimu ya jinsia tofauti muda mrefu.
wana chuki za hovyo hovyo. Ukitaka kuona nenda kwenye maconvent.
 
Spika: Hata mimi hizo habari nimezisikia kwenye mtandao tu bado sijazipata rasmi, kwa hiyo usitupotezee muda.
QUOTE]

Huwa wanasema dawa ya moto ni moto, lakini naomba niseme dawa ya moto ni maji na ndio maana moto ukitokea magari ya zima moto yanakuja na maji. Mama Makinda kutimia maneno 'usitupotezee muda' ni kelelezo tosha cha kufilisika kwa busara na quality katika leadership kitu ambacho kinaishushia hadhi bunge. Kama hajapata habari rasmi kuhusu kujiuzulu kwa mbunge angeweza kujibu swali KISTAARABU bila kutumia huu 'UHUNI' nasisitiza ni UHUNI aliotumia.

Usitupotezee muda!- nani? anawaongelea nani hapa?
 
Ni kweli Rostam ameachia ngazi lakini ni lazima aandike barua rasmi ofisi ya Bunge kama barua bado haijafika basi Spika amejibu vizuri, tuache ushabiki usio na maana.
 
Na wewe uliyeanzisha hii thread naona kama unatupotezea muda tu. Kiutaratibu CHAMA lazima kiridhishwe na maoni ya Rostam Aziz ya kujiuzulu nyadhifa zake kabla ya kuiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao kimsingi ndiyo wenye mamlaka ya kutangaza uwazi wa jimbo. Taarifa zilizopo ni kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM hajaridhia kung'atuka kwa RA, kupelekea uwezekano mkubwa wa kuendelea kuhodhi kiti chake. Lakini hata kama itatokea vinginevyo, ni ndoto za mchana kwa CHADEMA kushinda hilo jimbo na wala wasianze kuhesabu mayai kabla hayatotolewa.
 
Mtu huvuna alichpanda, majibu yasiyo na hekima kama ya haya ya spika ndio hupelekea hata wakati mwingine wabunge kutomuheshimu na kuamua kuzungumza bila kufuata taratibu. Duuu!! Kazi pale iko kazi.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Na wewe uliyeanzisha hii thread naona kama unatupotezea muda tu. Kiutaratibu CHAMA lazima kiridhishwe na maoni ya Rostam Aziz ya kujiuzulu nyadhifa zake kabla ya kuiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao kimsingi ndiyo wenye mamlaka ya kutangaza uwazi wa jimbo. Taarifa zilizopo ni kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM hajaridhia kung'atuka kwa RA, kupelekea uwezekano mkubwa wa kuendelea kuhodhi kiti chake. Lakini hata kama itatokea vinginevyo, ni ndoto za mchana kwa CHADEMA kushinda hilo jimbo na wala wasianze kuhesabu mayai kabla hayatotolewa.

rostitamu asusa hawezi kula matapishi yake...! CDM twendeni tukalichukue jimbo..!
 
Naweza sema sentesi ya "usitupotezee mda" mleta thread kachapia.

Mweneye nilikuwa nasikiliza but hiyoo kauli hajatamka

Kwa upande mwingine bibi kiroboto anaendesha bunge kwa mipasho, alafu anachekacheka tuu...yaan mbunge anauliza swali yeye anatoa kicheko cha kebehi.

Tutaona mwisho wake
 
tuambie basi ulichosikiliza ma kauli iliyotolewa na makinda
 
Back
Top Bottom