Mwangendage
Member
- Jan 11, 2012
- 69
- 2
wapi kuna msafi? na ni nani?
tatizo la chadema hawajijui rasilimali waliozonazo zikishawatoka ndio watajua makosa waliofanya kama awaliofanya ccm walipomfukuza seifsheriff hamad end of the day ndio huyu hamad aliwatesa ccm hadi wamekaa naye chini kumrudisha madarakani .kwa upandewa chadema hawaelewi waislamu are very suspicious na chama hichi kwa kutokua na many leaders who are muslim like cuf is very much dominated by muslim leaders.in tanzania in order to get power or to win teh power you need this to religions to support you cuf is strugling with chrstians as well chadema is strugling with muslim. They need muslim vote in order to get power in tanzania
uliona mbali saanalane:Nimeona watu wengi wanatumia muda wao mwingi kujadili upuu zi wa Zitto.
Ninaita upu uzi kwa kuwa niliusoma kwenye blog yake na kuutafakari. Kwa upeo wangu naona hana lengo la kugombea Urais, ila ana nia nyingine labda kujiweka juu ya viongozi wote CDM au kuonyesha kuwa yeye ndie kawalea kina Mnyika, Mdee nk na kwamba Dr Slaa hana umuhimu kwake, au pengine lengo lake ni kuonyesha kuwa Januari ni mtu wa muhimu zaidi kwake kuliko wanachama wenzake wa CDM.
Lakini inaleta maana kudhani kuwa lengo lake ni kuivuruga Chadema wakati huu mgumu wa Kampeni Arumeru.
Kuwajulisha tu mnaopoteza muda kwenye hoja za ndugu zitto ni kuwa, huyu Bwana yupo idara ya usalama wa taifa, na alikubali kununuliwa baada ya sakata la buzwagi. Yupo upinzani kama kibaraka wa CCM, anatumika kila inapobidi.
Wanaomjua zitto wanakili kuwa kwa sasa hana unuhimu kwa taifa, na hivyo hana umuhimu kwa Chadema.
Zitto ni mtu anayenunulika kirahisi, anajijua kuwa kwa sasa hakubaliki, na hiyo kutangaza nia kwake ni kwa lengo la kukivuruga CDM.
Ila kama hujanielewa unaweza kwenda Zitto na Demokrasia utasoma alichoandika na pengine kujua nia yake.
Nimeona watu wengi wanatumia muda wao mwingi kujadili upuu zi wa Zitto.

Tatizo la chadema hawajijui rasilimali waliozonazo zikishawatoka ndio watajua makosa waliofanya kama awaliofanya CCM walipomfukuza SeifSheriff Hamad end of the day ndio huyu Hamad aliwatesa CCM hadi wamekaa naye chini kumrudisha madarakani .Kwa upandewa Chadema hawaelewi Waislamu are very suspicious na chama hichi kwa kutokua na many Leaders who are Muslim like CUF is very much dominated by Muslim Leaders.In Tanzania in order to get power or to win teh power you need this to religions to support you CUf is strugling with Chrstians as well Chadema is strugling with Muslim. they need Muslim vote in order to get power in Tanzania
uliona mbali saanalane: