Zitto, Shibuda na Mahusiano yao na CCM

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Wana CCM wawili ambao hawaaminiki chadema ni Zitto na Shibuda. Kauli na vitendo vyao vinaonyesha wanaipenda CCM au wana maslahi CCM au wametumwa na CCM.

Pamoja na matatizo yao yote moja lipo wazi CCM wanataka wawatumie walete migogoro chadema. Njia nzuri ya hekima kupambana nao si kuwafukuza, we cannot afford, maana focus yetu ni kujenga chama, bali tuwapuuze. Wakipuuzwa hawataweza kuleta migogoro bali tukilumbana nao watatusumbua.

Sioni hata sababu ya kumhoji Shibuda. Ni rafiki yangu, namfahamu sana , ni mtu hata ukimweleza vipi haelewi, ni matatizo binafsi zaidi kuliko ya yeye kuipenda CCM. Hata ndani ya CCM alikuwa hivyo hivyo, mara anagombea uenyekiti, mara urais nk. Tusipoteze muda nae, tumpuuze ila tukihangaika nae CCM itamtumia kutuumiza
 
ibange naomba uongee kwa hoja na uthibitisho bila kuhusisha jungu,wapi na lini kwa mantiki zip unaweza ukamlinganisha ZITO na SHIBUDA?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu utakuwa hujamtendea haki Zito kumlinganisha au kumfananisha na Shibuda. Tunafahamu zito kama mwanadamu yeyote ana matatizo yake lakini si kiasi cha kufikia kufananishwa na shibuda. Zito amesaidia sana katika ujenzi na uimarishaji wa chama tofauti na shibuda ambaye tangu aingie hajawa na mchango wowote zaidi ya ujinga tu.
 
Watu wa majungu mtawajua tu, yaani ulikuwa unasubiria JF ifunguliwe line uyaanike hapa muda wa wa majungu ulishaga ishaga ni kazi tu:eek2:
 
Wana CCM wawili ambao hawaaminiki chadema ni Zitto na Shibuda. Kauli na vitendo vyao vinaonyesha wanaipenda CCM au wana maslahi CCM au wametumwa na CCM. Pamoja na matatizo yao yote moja lipo wazi CCM wanataka wawatumie walete migogoro chadema. Njia nzuri ya hekima kupambana nao si kuwafukuza, we cannot afford, maana focus yetu ni kujenga chama, bali tuwapuuze. Wakipuuzwa hawataweza kuleta migogoro bali tukilumbana nao watatusumbua. Sioni hata sababu ya kumhoji Shibuda. Ni rafiki yangu, namfahamu sana , ni mtu hata ukimweleza vipi haelewi, ni matatizo binafsi zaidi kuliko ya yeye kuipenda CCM. Hata ndani ya ccm alikuwa hivyo hivyo, mara anagombea uenyekiti, mara urais nk. Tusipoteze muda nae, tumpuuze ila tukihangaika nae CCM itamtumia kutuumiza

Kama Shibuda ni rafiki yako si ujifichue basi ili tukujue na wewe ni nani rafiki mkia wa fisi, embu tupishe kule tuletee vitu vya maana
 
Wana CCM wawili ambao hawaaminiki chadema ni Zitto na Shibuda. Kauli na vitendo vyao vinaonyesha wanaipenda CCM au wana maslahi CCM au wametumwa na CCM. Pamoja na matatizo yao yote moja lipo wazi CCM wanataka wawatumie walete migogoro chadema. Njia nzuri ya hekima kupambana nao si kuwafukuza, we cannot afford, maana focus yetu ni kujenga chama, bali tuwapuuze. Wakipuuzwa hawataweza kuleta migogoro bali tukilumbana nao watatusumbua. Sioni hata sababu ya kumhoji Shibuda. Ni rafiki yangu, namfahamu sana , ni mtu hata ukimweleza vipi haelewi, ni matatizo binafsi zaidi kuliko ya yeye kuipenda CCM. Hata ndani ya ccm alikuwa hivyo hivyo, mara anagombea uenyekiti, mara urais nk. Tusipoteze muda nae, tumpuuze ila tukihangaika nae CCM itamtumia kutuumiza

Upo sahihi kabisa Mkuu
 
Hiyo ni kweli kabisa hawa watu wawili ni kuwa nao makini tu zaidi kuwapuuza
 
nawaheshimu sana wakuu wangu wote ila kwanini kunakua hakuna hoja za mashiko kwa zito kumuoanisha na ccm unajuatunaweza tukampunguzia morali wa juhudi zake katika kuendeleza taifa letu pia watu wanaouangalia mtndao wetu huu wanaweza kuona ya kua hatuna mchango wowote sisi kwa juhudi za watu wengine na naogopa kuzarauliwa baadae.
 
Anayofanya Shibuda kayafanya kwa muda muafaka,maana tumepata muda wa kujifunza tunapoelekea uchaguzi mkuu 2015.Najua watakuja wengi sana na tutakuwa tumejifunza kutoka kwake.
 
Wana CCM wawili ambao hawaaminiki chadema ni Zitto na Shibuda. Kauli na vitendo vyao vinaonyesha wanaipenda CCM au wana maslahi CCM au wametumwa na CCM. Pamoja na matatizo yao yote moja lipo wazi CCM wanataka wawatumie walete migogoro chadema. Njia nzuri ya hekima kupambana nao si kuwafukuza, we cannot afford, maana focus yetu ni kujenga chama, bali tuwapuuze. Wakipuuzwa hawataweza kuleta migogoro bali tukilumbana nao watatusumbua. Sioni hata sababu ya kumhoji Shibuda. Ni rafiki yangu, namfahamu sana , ni mtu hata ukimweleza vipi haelewi, ni matatizo binafsi zaidi kuliko ya yeye kuipenda CCM. Hata ndani ya ccm alikuwa hivyo hivyo, mara anagombea uenyekiti, mara urais nk. Tusipoteze muda nae, tumpuuze ila tukihangaika nae CCM itamtumia kutuumiza

huyo chibuda anaweza akawa rafiki yako, na zito je? Mtake radhi Mh. Zito hawezi kuwa kama shibuda
 
i hate mnaomchukia zitto.. Katika sahihi70 mlimpongeza leo mnamlinganisha na makapi ya juisi? Kweli?
Wanajf kama wewe hamtufai
 
Wana CCM wawili ambao hawaaminiki chadema ni Zitto na Shibuda. Kauli na vitendo vyao vinaonyesha wanaipenda CCM au wana maslahi CCM au wametumwa na CCM. Pamoja na matatizo yao yote moja lipo wazi CCM wanataka wawatumie walete migogoro chadema. Njia nzuri ya hekima kupambana nao si kuwafukuza, we cannot afford, maana focus yetu ni kujenga chama, bali tuwapuuze. Wakipuuzwa hawataweza kuleta migogoro bali tukilumbana nao watatusumbua. Sioni hata sababu ya kumhoji Shibuda. Ni rafiki yangu, namfahamu sana , ni mtu hata ukimweleza vipi haelewi, ni matatizo binafsi zaidi kuliko ya yeye kuipenda CCM. Hata ndani ya ccm alikuwa hivyo hivyo, mara anagombea uenyekiti, mara urais nk. Tusipoteze muda nae, tumpuuze ila tukihangaika nae CCM itamtumia kutuumiza

Hebu tulia, utueleze vizuri taka lini Zitto ni mwana CCM? Halafu utushawishi ni kwa vipi tunaweza kumfananisha Zitto na Shibuda.
Najua mnamuogopa sana Zitto kwa sababu the guy is very smart and organized. Lakini huoni kumtaja taja ni kuonesha kwamba ni mkali?
Acha majungu mkuu!!
 
We ndo mjinga kweli,yaani mtu kugombea ndo ujeuri? sasa nini maana ya demokrasi.
 
nawaheshimu sana wakuu wangu wote ila kwanini kunakua hakuna hoja za mashiko kwa zito kumuoanisha na ccm unajuatunaweza tukampunguzia morali wa juhudi zake katika kuendeleza taifa letu pia watu wanaouangalia mtndao wetu huu wanaweza kuona ya kua hatuna mchango wowote sisi kwa juhudi za watu wengine na naogopa kuzarauliwa baadae.
Zitto nakubaliana na wote kuwa ni mtu shupavu na mhimili mkubwa chaema. Lakini mtanikubalia pia kuwa ni controversial, mifano ipo mingi moja wapo ni kutomuunga mkono Dr Slaa wakati wa uchaguzi na kumuunga mkono JK kwa madai kwamba JK amefanya mengi kwenye jimbo lake. Sasa anatofautiana vipi na Shibuda kuhusu usaliti?
 
Jamaa wanatangaza nia tu lakini hamlali kuwalaani akina Shibuda na Zitto kila siku,je CHADEMA ina wenyewe? Je CCM wakijivua GAMBA na kuvaa GWANDA si mtakufa kwa presha? maana wote wana nia ya kugombea URAIS 2015,lakini wanasubiri mchujo tu !

Bado EL hajatua mnaogopa ati asipokelewa,chama gani cha UKOMBOZI hiki?" Sasa hivi hamtapata kura za CCM kwa vile ni wanafiki na waoga.Tutaendelea kumtumia CAG na kuwatengeneza akina Utouh wengi ndani ya serikali ili tufikie malengo na si kujaribu chama mbadala cha kipuuzi kama CHADEMA.

CCM tushikamane,tukubali kuwajibika kwa wananchi na kuondoa wabadilifu wote bila kujali cheo chake..!
 
greenstar, hivi umeshatoa singo ya mashairi yako uliyotoa hapo juu, maana naona utauza kwa mazuzu wengi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom