Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,549
- 113,735
- Thread starter
- #641
sCOTLAND WILL NEVER LEAVE THE uk! mARK MY WORDS .... NA NIMESEMA HAYA LEO. iKIWA TOFAUTI i will send 500,000/- kwenye mfuko wowote ambao utautaka (NGO,curch ..etc)
Ninaweza kukueleza sababu ... but that will take long. Holla at me if you want us to "Discuss" Scotland.
oKAY MY APOLOGIES ...
This is an offer (subject to condition precedence
This is an acceptance, hivyo hii sass ni agreement, ikisainiwa ni contract!Kobello,
Kwa hili:
Rusha hiyo laki tano Tigo pesa tukawape NGO ya kina mama wajane "mwawode" pale mwananyamala, Nitakupa namba after the outcome of the referendum.
Sent from my iPhone using JamiiForums
I will be a witness to this manna hizi betting za humu jf, kuna watu hawachelewi kuhamisha magoli!
Hii mode haina tatizo, mode yoyote tuu inaweza kutumika, muhimu ni subject mater tuu iwafikie walengwa.No problem. Ila TIGO pesa,sidhani kama nitaweza kuitumia. Moneygram au Western Union ...?
Nitashauri uongeze hapo kidogo kwa kuichangia jf as a causative agent wa this deal, na pia ndio negotiation zilipofanyikia na ndio place of contract!, has to be paid some fees!.
Thanks.
Pasco