Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,629
- Thread starter
- #21
Temba ambaye ni mwakilishi wa wananchi amesema imefika wakati mtu apewe kazi kama anaweza na sio kwa kufuata misingi ya chama tawala ametoa mfano Lipumba ni mtaalamu wa uchumi kwa nini Rais asimteue kuwa mbunge na ampe wizara ya Fedha? Nape anajibu hoja hiyo kwa kulinganisha muungano wa CCM na CUF zanzibar kuunda serikali moja.