ZITTO,mwenyekiti wa kamati ya bunge PAC alivuta hela za IPTL,asisome ripoti bungeni

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
kwa mujibu wa document zinazosambaa mitandaoni zitto kabwe na kamati nzima ya PAC ilikuwa inapokea pesa kutoka kwa singasinga,je ana uhalali upi kusoma taarifa wakati naye ni mtuhumiwa?nashauri jumatatu spika aivunje kamati ya zitto
 
Mshaanz kuwachafua watu.Hakuna kurudi nyuma.Tutasikiliza huu uzushi baada ya mjadala wa Escrow.
 
kwa mujibu wa document zinazosambaa mitandaoni zitto kabwe na kamati nzima ya PAC ilikuwa inapokea pesa kutoka kwa singasinga,je ana uhalali upi kusoma taarifa wakati naye ni mtuhumiwa?nashauri jumatatu spika aivunje kamati ya zitto
Kama na yeye yumo si atajisoma...
 
Zitto hachafuki jamani hiyo ni stori ya kuchafuana lakini ukweli utajulikana the coming week tusubiri
 
Weka hizo documents hapa jamvini huu siyo muda wa blah blah.
 
Kasom wewe usiye na tuhuma na mwenye uhalali
kwa mujibu wa document zinazosambaa mitandaoni zitto kabwe na kamati nzima ya PAC ilikuwa inapokea pesa kutoka kwa singasinga,je ana uhalali upi kusoma taarifa wakati naye ni mtuhumiwa?nashauri jumatatu spika aivunje kamati ya zitto
 
kwa mujibu wa document zinazosambaa mitandaoni zitto kabwe na kamati nzima ya PAC ilikuwa inapokea pesa kutoka kwa singasinga,je ana uhalali upi kusoma taarifa wakati naye ni mtuhumiwa?nashauri jumatatu spika aivunje kamati ya zitto
Unashauri kama nani?
Kama Zitto na kamati yake walivuta pesa sasa kwa ninibwaibe report ambayo wanajua haitasomwa?

Kina Zitto hawawezi vuta pesa katika hatua kama hii huo ni uzushi hata kwa akili tu ya mtendaji wa kijiji ana akili ya kukataa rushwa ikiwa mazingira ya kufanikisha jambo litakwalo yapo vibaya Sembuse kina Zitto kabwe ambao wamekomaa kiasi hicho? This is fiction.
 
Last edited by a moderator:
"Mti wenye matunda ndio unaopigwa nawe siku zote!" Njama nyingi sana zimefanyika kudhoofisha ishu ya #Escrow ikiwa ni pamoja na kutengeneza doc fake kama hiyo. Kwa yeyote mwenye akili, akiisoma hiyo doc, pamoja na mambo mengine, yafuatayo yanadhihirisha propaganda za kitoto:

1. Sijawahi kuona invoice inaandikiwa malipo pasipo invoice number.

2. Sidhani kama kuna invoice inaandaliwa na kusainiwa na wahusika bila kuweka majina yao.

2. Haiingii akilini kuniambia kuwa invoice inashindwa kuonesha "seal" ya kiofisi!

Huu ni uhuni wa kitoto na inaashiria jinsi Mungu anayahukumu maccm...
 
Back
Top Bottom