Zitto kugombea urais wa tanganyika , dr slaa urais wa tanzania

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Katika mikakati inayopangwa chini chini ndani ya Chadema kama serikali haitaifumua basi 2015 utakuwa mwisho wa CCM na serikali yake yani CCM itapoteza yote urais wa Tanzania na Urais wa Tanganyika na kubakiwa na Urais wa zanzibar Pekee.

Serikali zuieni mipango hii ya Chadema la sivyo hakuna tena CCM mwaka 2015.
 
Sasa hiii tahadhari ni kwa wananchi au CCM?... mbona umeshindwa kutazama maslahi ya wananchi badala yake unatazama maslahi ya chama... ndivyo tunavyotakiwa kufikiria? Au ndio upo kazini umetumwa kuimaliza Chadema kwa kusambaza fear!
 
kwa jinsi CCM kilivyopoteza mvuto na kubaki kuwa chama cha magumashi na mafisadi lazima nikisaidie, kwani kisije kuuza na wananchi kupata fedha za kuibia kura 2015...Chadema mnakibomoa sana CCM sijui kwanini
 
Katika mikakati inayopangwa chini chini ndani ya Chadema kama serikali haitaifumua basi 2015 utakuwa mwisho wa CCM na serikali yake yani CCM itapoteza yote urais wa Tanzania na Urais wa Tanganyika na kubakiwa na Urais wa zanzibar Pekee.

Serikali zuieni mipango hii ya Chadema la sivyo hakuna tena CCM mwaka 2015.

Masaburi at work!
 
Mbona Zitto 2015 atakuwa bado hajafikisha miaka 40 ya kugombea u Rais ka katiba ya sasa inavyodai?! Af una uhakika gani kama kutakuwa na serikali tatu '15?!
 
​hatogombea urais wa jamhuri ambao utabaki ni miaka 40 lakini urais wa Tanganyika kigezo cha umri kitawekwa ni miaka 35 kwenye katiba mpya ambayo CCM wameshaiandika bado muda tu kuitoa hadharani
 
hakuna kitu kilichoharibu vijana wetu kama bangi kama serikali ingedhibiti basi tusingekuwa na watu kama wewe

Tumepoteza watu mashuhuri sana nchi hii ila wamebakia wapuuzi km wewe,try to think before making any decision
 
Katika mikakati inayopangwa chini chini ndani ya Chadema kama serikali haitaifumua basi 2015 utakuwa mwisho wa CCM na serikali yake yani CCM itapoteza yote urais wa Tanzania na Urais wa Tanganyika na kubakiwa na Urais wa zanzibar Pekee.

Serikali zuieni mipango hii ya Chadema la sivyo hakuna tena CCM mwaka 2015.
Kwani CCM ikiondoka kuna tatizo gani? Unajitahidi kutunga habari! Au ndo upo Kazini?
 
kwa jinsi CCM kilivyopoteza mvuto na kubaki kuwa chama cha magumashi na mafisadi lazima nikisaidie, kwani kisije kuuza na wananchi kupata fedha za kuibia kura 2015...Chadema mnakibomoa sana CCM sijui kwanini
Mkuu unazungumza vitu gani? Yaani Chadema tunakibomoa chama cha CCM of thei own doing? Sisi tunaeleza madudu ambayo tayari wamekwisha yafanya na wala sii zaidi maana sii uongo unaotungwa.

Ya Jairo tulimwambia sisi? Ya Richmond, Rada, Kagoda, Meremeta, TRC na Rites, ATC na SouthAfrica, Tanesco na Ngao, Dawako na maji yaani yote haya tunayazungumzia baada ya CCM kufanya maamuzi ambayo tuliyapinga na sasa matukio ya hasara na adha zake tunapozisema inakuwa tunawabomoa CCM..

Hivi kweli wewe unajua vizuri hali halisi ya nchi yetu kiuchumi? Hivi kweli mtu akikwambioa hatuna kitu kabisaaa usidanganyike na uvaaji suti huu ni wivu kaa kuna ukweli!. Tumeshindwa hata kuuza hifadhi ya bonds zetu nje utafikiria nini zaidi kinafuata?.. Mkuu kinachofuatia wala sii muda serikali itabidi ichapishe fedha maana tumekauka kama bwawa la mtera na rais wako hajui kwa nini sehemu kibao za utumishi tumelimbikiza madeni tunayodaiwa ktk matumizi ya ndani na ya nje..
 
Tumepoteza watu mashuhuri sana nchi hii ila wamebakia wapuuzi km wewe,try to think before making any decision
​usipende sana kusikia habari zinazokufurahisha wewe tambua si kila mtu anapenda wewe uwe huru na ujue haki zako wengine tunanufaika na kukandamizwa kwako , kwahiyo punguza jazba
 
Godwine,
Umekunywa nini leo?
 
Unaongea nini sasa

Back
Top Bottom