Zitto kufunguliwa mashtaka endapo...

Nachelea kusema tz hakuna upinzani kwa vyama vya kisisa. Waliopo wanatuchezea akili watz tu wanatujaza uongo jioni wako na selikari.
 
Wamshitaki maalim seif anaemdharau shein tena toka siku ya kupiga kura.

Wawashtaki ukawa walio mdharau shein, pale alipo ingia bungeni alafu ukawa wote wakaanza kumzomea na huku wakiimba wimbo wa kumtukuza seif ambae ni raia wa kawaida.

Wamshtaki lowassa na viongozi wenzie wa ukawa, ambao walio mkataa magufuri kua sio raisi halili wa tz na wanamtaka mara moja arudi kwao chato akalime nanasi, bila kusahau washafungua kesi mamtoni.

Wawashtaki wannachi wote walioko ndani na nje ya nchi wanao sema shein sio rais halali.

Nyinyi akina tadea kama hamuwezi siasa, ebu fungueni mradi wa kufuga kuku na mgawane kazi wengine wazoe mavi na wengine msafishe mabanda acheni siasa za maji ya ugoko.. Shwain!

Eti zitto hiv, mara zitto vile... Jamani muacheni rais atakae mrithi magufuri afanye yake na wala msimbuguzi.

MIND YOU:kila mnapo mzungumzia zitto ndio mnampqndisha chati ktk vile viwango ambavyo wenyewe hamvitaki.

I'll be back....
 
Hawa jamaa hamjawaelewa, wanataka kutumia kauli ya zito ili mahakama itoe ufafanuzi wa kifungu 28.1.a kama kinatoa uhalali wa sheni kuendelea kuwa rais.
Na watapeleka ushahidi mbovu ili zito ashinde baadae waseme mahakama imesema sheni hana uhalali wa kuwa rais
 
Hawa jamaa hamjawaelewa, wanataka kutumia kauli ya zito ili mahakama itoe ufafanuzi wa kifungu 28.1.a kama kinatoa uhalali wa sheni kuendelea kuwa rais.
Na watapeleka ushahidi mbovu ili zito ashinde baadae waseme mahakama imesema sheni hana uhalali wa kuwa rais
kama ndo wana nia hiyo watakuwa wameshafeli tunasubiri Maalim Seif atangazwe mshindi.
 
Zitto umeona faida kuropoka hadharani ovyo ovyo jiandae kuomba msamaha unafiki hata siku Shein anaingia bungeni ulibaki wakati huku nyuma ulikuwa unampinga.
 
Last edited by a moderator:
Zitto umeona faida kurupuka ovyo ovyo jiandae kuomba msamaha unafiki hata siku Shein anaingia bungeni ulibaki wakati huku nyuma ulikuwa unampinga.

Washamba wa siasa ni wengi mno
 
Last edited by a moderator:
Ndio maajabu hayo. Pili kwani zitto alitoa kauli zile akiwa bungeni? au hata kabla hajaapa? sasa kama ni kabla hajaapa Speaker anaingiaje hapo? yaani hizi ni dalili za wanasiasa uchwala

Jibu lako hili hapa chini.



Ukishangaa ya yamoto kuwa band pasipo kuwa hata na gitaa utayona ya diamond kushinda tunzo America pasipo kuwa hata na single wanayoijua.

Hahaaa..hahaa usanii mtupu, ila sio mbaya sababu zitto ni mwenzao hao jamaa isipokuwa yy yuko bara
 
Back
Top Bottom