Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

Status
Not open for further replies.
Waungwana mlioangalia Bunge leo...Zitto kaongea vizuri kuhusu mswada lakini Mr.Speaker akamponda alipotaka naibu waziri kuomba radhi baada ya kumuambia Mh.----- hajui hesabu.Angalia waziri wa serikali anavyomtukana mbunge...na walikubaliana kupitisha katiba isemayo kusoma na kuandika yatosha..sasa kabla haijapita wanaanza kukashifu...jamani ....jamani na hiyo katiba yao MUNGU atawaonesha hapahapa.
 
Zitto kiherehere chake kimemponza
 
Ndg. Wananchi, ni takribani wiki mbili sasa tangu Mwanasheria wa CHADEMA (TUNDU ANTIPASI LISSU) alipotangaza kumvua Zitto Kabwe uanachama. Mengi yamesemwa, na yataendelea kusemwa. Jambo la ajabu hapa na kujiuliza, ni ile hali ya wana CCM akiwemo Mwigulu Nchemba kuonesha masikitiko yao kutokana na kufukuzwa Zitto Kabwe. Je, tuamini moja kwa moja kile ambacho kimekuwa kikisemwa na baadhi ya makada wa CHADEMA kuwa jamaa huyu (Zitto Kabwe) alikuwa ni msaliti? Au Zitto Kabwe alikuwa mwana CCM ndani ya CHADEMA aliyetumwa kukisambaratisha chama hicho kikuu cha Upinzani Tanzania?
Nawasilisha!
 
hata mi najiuliza je siku mbowe,slaa au sugu wakifukuzwa watasikitika hivi,kunani
 
Ishu ya zzk kuwa msaliti haikuanza jana au juzi na evidence zipo
 
Eti imekusikitisha!

I don't believe you one bit.

Usikute moyoni unafurahia mfarakano wa wenzio.

You opportunistic fool.

Mpaka kufikia OCTOBER TUTAKUWA TUSHAJUA WHICH IS THE CCM WAY TO GET INFORMATION FROM CHADEMA.ndio maana CCM Wanalia sana.UKIMFUKUZA hOUSE Girl wako watakao lalamika ni wale waliokuwa wanafaidika nae ukiwa kazini.
 
Nimda wavijana kutuliza fikra na kupima mazito aliyoiafanyia nchi yake huyu kijana na pia kuangalia sababu wanazozitoa cdm kumfukuz uanachama....vijana tusiwe walev wa vyama ndani yakipind hiki cha harakati za kidemokrasia,...thaman ya zitto kwa taifa nikubwa mnoo....nitakuw wa kwanza kubeba bendera ya zitto mtaani ili kuleta mabadiliko yakweli dhidi ya akili ndogo zinazotak kutokomeza demokrasia ndani ya vyama vya upinzani mana ccm walishindwa mda kuteketea demokrasia ya kweli hivyo demokrasia yakweli tutaipata nje ya Ccm....nawasilisha
Kwanini asikirie kuwataka radhi watz na wa CDM kwa kufanya vitu bila kushika wajibu kwa matendo na matamshi yake achilia mbali nia yake ovu.Zitto hajawahi kuwa na maadili,aibu wala hisia zozote za matendo yake,matamshi yake na nia yake .Muda waote alikuwa aki take advantage kwa vitu vyenye kuchanganya taifa.Vitu vyenye kuvuta hisia hata km vina hasara kubwa na isiyorekebishika kiasi gani kwake yeye km anaweza jiingiza na kujionyesha kuwa yeye nadie aliyeona mbali,yeye ndie aliyeibua haoni shida.Na ikishaharibi hayupo tayari kukiri,kutubu na kuanza msiha mapya akiwa na nia ya kutorudia tena.Yeye aliamua jificha ktk udidi,ukabila, kuwa mhanga etc kwa muda kabla hajarudi tena kujikweza.ndio shida ya watoto wa mama...huwa hawawezi tenganisha ujiga wao na kuonewa.Wamezoe kujificha ktk kujiliza kudaoa kuonewa.Km hisia za mama zao zinajichanganya na kumwajibisha mtoto.ZItto kazoea abuse huruma na utu wa watu.Ndio maana hakuweza tafsiri heshima waliyompa chadema akadhani wanamwogopa,akadhani kuwa yeye ndio anawaongoza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom