RugeWashington
Member
- Dec 7, 2020
- 12
- 12
Watanzania tuwaamini viongozi wetu,
Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli ya kinywa chake alinena na watanzania,
Pili Makamu wa Rais kwa kauli thabiti ya kinywa chake naye alinena, Sasa sioni wapi Tatizo lilipo, Cha msingi kama ambavyo Mh.Zitto umekuwa mstari wa mbele kuguswa na ni haki yako na ni sahihi kuhoji yote hayo ikiwa ndivyo ilivyo katika kuongozwa na nia iliyo njema,
uzalendo huo tuuelekeze katika kumuunga mkono Rais wetu na viongozi wote kwa ujumla katika kuliombea Taifa letu, Zaidi ya yote tupate kuvuka Salama katika hichi kipindi Cha Covid19.
Lakini pia Watanzania tujenge utamaduni wa kuwaza jema kwanza kabla ya baya kwa Kiongozi wetu, Kwani nani asiyejua kuwa Rais wetu ni muumini kama wananchi Wengine anaweza pia kujifungia katika wakati huu wa Mfungo kwa ajiri ya kuliombea Taifa letu,Je, ikiwa hivo kuna tatizo? Na kama hivyo, ni kipengele kipi cha katiba atakuwa amevunja kwa kutoonekana mbele umma wa Watanzania kwa muda huo?
Ni Mawazo tu.
Ila Kama kuna Mwanasheria au anayeijua katiba vizuri atusaidie ibara hiyo ambayo imebainisha muda max.ambao Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaruhusiwa kutoonekana Public.