Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Nyinyi nchadema hovyo kabisa. ZITTO SIYO SIZE YENU, Wakati nyie mna viongozi wenu mmekimbilia DUBAI, UBELIGIJI NA CANADA Zitto yupo anashiriki kujenga nchi. Wajukuu wa mabebebru nyie kaeni kimya haiwahusu
 
Hii mada inahusiana vipi na Chadema? Au kutotumia akili ndio kunawaponza.
 
Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Umejuaje kuwa ameongea tu kutoka hewani bila ya kuwa na ushahidi wa kitaalaam, au yeye mwenyewe amesema hivyo wakati anaongea?
Wewe ulihitaji Zitto awe mtaalamu wa mambo ya chakula ndiyo uamini kuwa anaweza akaongelea mambo ya chakula akiwa na ushahidi wa kitaalamu?
Je, unamaanisha kuwa watu nje ya taaluma zao, hawawezi kuongelea mambo yaliyo nje ya taaluma hizo, na wakiwa na ushahidi wa kitaalamu, kama alivyofanya Zitto?
Hujui kuwa wanasiasa ni watafiti na wachokonozi wa taarifa sahihi za kwenye taaluma zingine na mara nyingi wanapokuwa wanaongea huwa wanakuwa tayari wana ushahidi wa kutosha?
 
Amepima mahindi akakuta hayana sumu?
Wewe unayejadili hii taraaifa, ulimsikia Zitto akiongea mwenyewe au umesoma kwenye mtandao? Nauliza hivi kwa sababu swali lako linalazimisha Zitto awe mtaalamu wa chakula. Je, wewe unayehoji na ku-support the opposite, umeyapima hayo mahindi na kukuta kuwa yako kama yanavyodaiwa? Kama hukuyapima na una taarifa ambazo ubongo wako umeamua kuzichakata, je,wewe pekee ndiyo mwenye haki hiyo na siyo Zitto au mtu mwingine yeyote yule?
 
Uharo kama huu unapost wa nini? Kwani nini maana ya Kenya kuwa na mamlaka za kupima ubora wa chakula. Zitto ni mamlaka ya kupima chakula hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom