the son of massay
Senior Member
- Apr 18, 2013
- 123
- 16
Ukiona watu wanaongelea mambo yako, ujue unawapa shd wapinDr. Slaa kala pesa za chama, lakini hajaulizwa chochote kwa sababu ni mtiifu kwa Mtei.
Habari kamili kesho Serena Hotel...
Ukiona watu wanaongelea mambo yako, ujue unawapa shd wapinDr. Slaa kala pesa za chama, lakini hajaulizwa chochote kwa sababu ni mtiifu kwa Mtei.
Habari kamili kesho Serena Hotel...
hiyo ilikutwa kwenye laptop ya mwigamba
Ukiona watu wanaongelea mambo yako, ujue unawapa shd wapin
Si alikusanya sahihi nyiiiiiiingi bungeni za kumngóa mtotot wa mkulima kwenye uwaziri mkuu?au mmesahau?Aeleze tokea 2010 kwa nafasi yake ya unaibu katibu mkuu amekifanyia nini chadema kitaifa. Asieleze ya PAC,BINAFSI wala ulezi wa KANDA.
aeleze ametumia vipi ofisi yake na vikao ktk kusimamia na utekelezaji wa shughuli za chama
Akiri makosa yake kuanzia usaliti wa uchaguzi 2010,PM7,CHAUMA,ya madiwani Arusha na waraka wa MM
Asitafute huruma kama alivyolia kwenye kikao cha wabunge wa chama kule Morogoro na alivyotisha watu uchawi na kwamba anaonewa na viongozi wenzake alipopambana na Ben saanane hapa JF
Afanye hata leo tumeshamchoka
[h=5]Zitto Kabwe
[/h]Mkutano na waandishi wa habari: Mhe Zitto Kabwe na Dk Kitila Mkumbo
Taarifa inatolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili tarehe 24 Novemba 2013. Watatumia nafasi hii kutoa maoni na msimamo wao kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya hivi karibuni.
Mkutano huu na waandishi wa habari utafanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kuanzia saa5.00 asubuhi.
Imetolewa na ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe, Dar es Salaam.
Jumamosi, 23 Novemba 2013.
Dar es Salaam.
Anataka kuongea nini tena wakati alishakili kosa na kuomba msamaha
Nikiwa kama mmoja wa wanasiasa wanaochipukia kutoka KASULU (KIGOMA) sishangazwi na yaliyomkuta ZITTO KABWE,Hiyo ndiyo historia ya wanasiasa wa kigoma wakishapata umaarufu tu wanajiona wao ni maarufu zaidi ya chama na kuanza kulewa sifa za kijinga. Alianza WARID KABURU alizicheza vyema siasa za upinzani akavimba kichwa na sasa alishakufa kisiasa.
Akaja DANIEL NSANZUGWANKO kupitia NCCR-MAGEUZI mwaka 2000, alitikisa sana na akapata umaarufu mkubwa hapa KASULU akaishia kutusaliti wapiga kura wake lakini laana ya usaliti inamtafuna hadi leo.
NA LEO HII NI ZITTO KABWE,,JE KUNA CHA AJABU HAPA????Wanaomlilia ni watu wanaonufaika naye tu either kisiasa n.k ila kiukweli ZITTO alikuwa ameshakuwa mzigo kwa chama,,bora avuliwe na uanachama akafie mbali tu,, huo ndiyo unafiki wa wanasiasa wa mkoa wetu wakishapata umaarufu.
Kamanda hata wewe,ule Waraka unatatizo gani
Kwa maoni yangu hivi hiyo paragraph ya kwanza katika e-mail hii yenye maelezo kuhusu hao vijana wanaopongezwa kwa kazi nzuri halafu na hilo li Tume la Warioba kusitishwa.......???asikose kuongelea na hili
hana jipya mnafiki huyo labda anataka kurudisha kadi ya uanachama ..
jitekenye tu ndugu,Kesho utaelewa tu,wewe na Mtei wako