Zitto Kabwe kukutana na Waandishi wa Habari tarehe 24 Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Siku za mwizi arobaini! Wasaliti wate hawatakuwa Na pa kujificha.
Bahati nzuri watanzania wengi wameanza kujitambua wanaelewa ukweli Na uwongo hawafuati propaganda
 
Tutahakikisha chadema inakufa zaidi ya nccr. Baada ya uchaguzi wabunge wenu watakuwa wa kaskazini tu.
 
Hakuna kipya zaidi ya kutoa shutuma kibao zisizo na ukweli.

Zitto, japo sijui utakalozungumza hiyo kesho jumapili ili watu waamke nayo jumatatu magazetini, naomba nikuwahi mapemaaa kwa swali hili;

Mbona hukuwahi kuyasema haya yote wakati hali ikiwa 'shwari' ndani ya chama? Je, nikisema ni unafiki utakataa!?




Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kuna mambo mawili hapa
  1. tusimsemee zzk atayasema kesho.
  2. ni kweli ofisi ya mbunge kigoma kaskazini ipo dsm kwenye ofisi ndogo ya bunge dsm kila mbunge ana ofisi (au zaidi ya mmoja) ana ofisi pale;
 
Kweli humu kunamambulula unategemea mawasiliano nyeti namnahiyo yatafanyika hivyo acheni kutufanya wajinga watanzania. Huo upumbavu wa namnahiyo wanaweza kuamini watu wachache kama machadema matusi tu vitu hivyo watu wanazungumza Ana Kwa Ana. Hujui kwamba kunaudukuzi wa NASA sikuhizi

Unakimbia kivuri chako mwenyewe (sorry kama wewe si mhusika)
 
Tuachane na fikra za MUASISI WA CHAMA, BABA MKWE ndipo tujenge umoja wa kitaifa
 
[h=5]zitto kabwe

[/h]mkutano na waandishi wa habari: Mhe zitto kabwe na dk kitila mkumbo

taarifa inatolewa kuwa mheshimiwa zitto kabwe pamoja na dk kitila mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho siku ya jumapili tarehe 24 novemba 2013. Watatumia nafasi hii kutoa maoni na msimamo wao kuhusu maamuzi ya kamati kuu ya chadema ya hivi karibuni.
Mkutano huu na waandishi wa habari utafanyika katika hoteli ya serena jijini dar es salaam kuanzia saa5.00 asubuhi.

Imetolewa na ofisi ya mbunge zitto kabwe, dar es salaam.
Jumamosi, 23 novemba 2013.
Dar es salaam.
acha mboga imwagwe.
 
Kila la heri , kuna mawili kujiteketeza au kujiokoa , Tukumbuke kwamba hata mwigamba naye aliitisha press conference kama hivi , lakini imemsaidia nini ?
 
CHAGGA DECISION MAKING organ kesho inawekwa uchi! Kutokana na tabia yake ya kufanya maamuzi yasiyo na tija yanayopendelea wachaga akina Lema
 
Dear Dr. Mkumbo,
I respect you Sir.
My advice to you at this moment is ask you to be wise and don't rush into reactions. We may not know the whole truth but I believe deep within your heart you know what is really going on.

I know you have scheduled to have a meeting with journalists tomorrow but my doubt is whether you had enough time to think through thoroughly. Otherwise you may end up being crushed in dirty games of politics or being used!

Sir, I'm not trying to judge, but to be frank I'm smelling a rat in this issue. Please take you time and think twice before being pushed by emotions or people.

God knows what really happened and your conscience knows as well. Sir, I dont think you are making a right move!

Everyone makes mistakes but its only the true leader who can apologize. Arrogant people will do whatever it takes to protect their image. Sir, this is my humble advice to you on behalf of all who trully love you.

May God give you wisdom.
Tena kama kuna muda walipaswa kuwa watulivu ni sasa!!!Kwa Kidogo wanachoweza kujisahihisha nacho ni ni sasa TO CALM DOWN and let the wind flow in a natural way!!!.
Sometimes USOMI sio SIASA.nilishalalamika tabia ya wasomi kukimbia siAsa haya ndio matokeo.Vijana hawa ni kwangu mimi BINAFSI ni wasomi wazuri kabisa sina shaka nalo,lakini huku kwingine Am NOT SURE kama wako kwenye RIGHT WAY THEY HAVE NO TRUCK WITH!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom