Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

mnajitahidi sana kumpaisha lakini wapi!
Khaa!! Nimekaa na kupiga domo na Slaa, Mbowe, Sugu, Lissu,Lema na viongozi wengi wa CDM. Lakini katika wote hao hakuna mwenye vission kama ZZK. Huyu jamaa amebarikiwa. Nadhani hii ndiyo ya sababu ya CEO kuogopa kustaaf mapema. Labda nikwambie nothing can stpp ZZK as long as he live. Na soon mtaiona hii. Bora mkomae hukohuko kwa mliowakataa mwanzo waendelee kuwabeba kwa pumzi zao kwani nyie mkisimama wenyewe tu ndiyo mwisho wa kampuni
 
Hivi nafasi hiyo imeshindaniwa au kapendekezwa na ccm au serikali ya Tanzania? Vinginevyo kung'ara unakokusema hakuna maana.
 
Kuna nini cha ajabu? Kuna watanzania elfu ngapi wanafanya kazi za kimataifa? Nafasi kama hiyo siyo za kujisifia maana mara nyingi hutolewa kwa nchi. Kilichompa nafasi hiyo Zito ni nafasi yake ya umwenyekiti wa PAC na siyo uzito wa CV yake. Wanaotaka kuwaaminisha watu kuwa nafasi hiyo ni kitu cha pekee, ni mbumbu. Hawa ni sawa na wale wanaoweza kumpongeza Rais kuwa mwenyekiti wa AU wakati nafasi hiyo ni ya mzunguko na hutolewa kutokana na nafasi yako ya urais na siyo kutokana na uwezo binafsi.

Wewe utakua ni either babu slaa au mr zero....mbna wivu wa kike!!!!.....embu mpevuke banaa....
 
kati ya wewe na Zitto nani kanyea kambi??we unafikiri kua katibu wa AFROPAC ni swala la kitoto??jamaa yako mbowe na slaa hawatapata bahati hiyo mpaka wanaingia kaburini!
Siyo hao tu mkuu, nadhani hata kinana, mangula, nape na kikwete hawatapata bahati hiyo mpaka wanaingia kaburini.
 
Ilikuwa ni zamu ya Tanzania!!! Hata hivyo hakukuwa na mwingine mwenye sifa stahiki, Zitto amekumbana na bahati plus ushawishi wa Wajerumani waliomuandaa kwenye mipango yao hapa Africa... I wish angekuwa na chembe ya uzalendo maana jamaa anakipaji lakini tatizo lake kubwa kama ilivyo kwa wasomi wengi wa Kiafrica ni tama ya madaraka na mapande ya fedha zilizowajaa... Chenge, Rostam, Prof Muhongo et al wanaonekana wa hivyo kutokana na kutumiwa na mataifa ya ulaya kutafuna nchi yetu ... "UZALENDO" Unakosekana kwa ZITO et al..

ni nadra sana kiongozi afrika kutokuwa ally na westerners! Sio afrika tu hata Asia. Ndio ukweli mchungu huu tuubebe! Mbona wengine wameruka juzi juzi kutafuta support huko kwa hao wamagharibi! RockSpider
 
Muda mfupi uliopita Mbunge kutoka Chadema Zitto Zuberi Kabwe emetoa taarifa ya kupata nafasi ya kuwa katibu mkuu kamati za mahesabu ya serikali kwa nchi kusini mwa Africa.

Ni jambo zuri na sifa kwa nchi yetu na chama chake cha Chadema.

Kwani huyu si alirudi ccm??
 
Ukweli utabakia kama ulivyo zitto ni mwanasiasa mwenye leval ya juu hapa africa
Well, huwezi kuwa mwanasiasa wa nchi zaidi ya moja ukawa wa chini..ila kuwa juu si kiwango ila njia za kukufikisha si makini.
 
Acha kuudanganya umma mchana kweupe, Zitto ni mbunge wa mahakama kama ilivyo kwa kibaraka mwenzie wa ccm Hamad Rashid.
 
Hongera sana Zitto,
Haya sasa nyie watu wa chadema;
mkisema wa nini wengine wanasema tutampata lini; dadadadeeeeeki zenu nyie machadema.
 
Last edited by a moderator:
Ujue BAVICHA na CHADEMA nzima hapo wivu mwili mzima hadi wanatetemeka. Sasa lini na lini akina Msigwa, Lema, Wenje, Mbowe wanaweza kujitikeza kimataifa!!
 
Hzo nafac wanangalia vigezo gani?naona ni km ishu imesukwa nahao hao ccm ili kumpromote zzk,
 
Hivi hizi nafasi si huwa zinatolewa kwa mzunguko kwa kila nchi wanachama bila kujali weledi?
 
Back
Top Bottom