Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

Status
Not open for further replies.
Ni suala la muda tu, nadhani hamumjui ZZK vizuri. Hapa kuna kitu kakitega kwa maadui wa chama chake na serikali. Ukitaka kugundua hili kumbukeni statement yake kuwa hii ni vita yake na maadu zake ndani ya chama na nje ya chama.....nasema tena More issues are coming away,stay tunned

hakuna lolote ukisha kula kiapo.huwezi kula kiapo kwa kusema hili si sahihi halfu kesho yake unasema ni sahihi. mbona kwenyec mkutano tabora alisema mmoja ni mwanajeshi mstaafu na mwingine ni waaziri wa ulinzi mstaafu. ni dhahiri anawajua kwa majina sasa iweje ndani ya kiapo ashindwe kuwataja kwa majina? acha utoto wewe zitto is finished na siasa zake za majitaka
 
huu pia unaweza kuwa mtego kwa CDM siku yakitajwa haya majina sidhani kama litakosa jina la mkuu wa yaasisi na hapo ndo mtaanza kuyakana siyo yenyewe
 
nadhani alitumwa na magamba wenzake na labda na uwt atoke na single ya mabilioni ya uswiss ili wamwongezee umaarufu aweze kuwapindua viongozi wa chadema.

Zitto ashajenga umaarufu xo ya uswiswi yangemuongezea tu, mbona viongozi wengine wanategemea umaarufu wa maandamano
 
Namuamini Zitto katika hili la mabilioni ya uswis, serikali imeona fursa ya Zzk kuwa na mgogoro na chama chake sasa wameamua kuitumia.

Ni vyema pia Zzk akajifunza kwamba heshima alizokuwa anapata ni kutokana na Chadema. Hata nguvu ya hoja zake zilitokana na yeye kuwa chadema. Ccm wamemtumia sasa taratiiibu wanamuacha.
 
Lema ni chaka la kabaaaaang
again, wrong target, wrong outcome...

I was referring to Zitto, who is referred to in the title of this thread, i didnt want to get out of context for obvious reasons... maturity, sadly mwapumbavu kama wewe mnaoshabikia ujinga wa siasa za mipasho ya chadema, mnadhani na sisi tuko kwenye huo ushenzi wenu wa mipasho

to me Zitto and Lema are all frauds to, but i will stick to Zitto at the moment... the golden boy of egoism and silly fantasies

he is committing political suicide kwa ujinga mmoja tu, kudhani he is all that

narejea tena, upumbavu wako wa mipasho ya chadema bakini nao, na mjue nani hapa ni chadema kabaang au chadema mini kabaang

sheeenzy type
 
huu pia unaweza kuwa mtego kwa CDM siku yakitajwa haya majina sidhani kama litakosa jina la mkuu wa yaasisi na hapo ndo mtaanza kuyakana siyo yenyewe

acha kujifariji na huyo zitto

Wiki chache zilizopita Waziri Mkuu Pinda alisikitishwa na tabia ya uwongo ya Mh.Zitto baada ya kulidanganya taifa kuhusu mishahara mikubwa mikubwa ya Rais, Makamu na PM. Wakati Zitto akiliambia taifa ni kati ya Sh.20-32 milioni kwa mwezi wakati Pinda akidai ni kati ya Sh.6-7 milioni pekee kwa mwezi.

Mwanasheria Mkuu Jaji Werema leo amepasua jipu kuhusu tabia binafsi ya Zitto. Ameelezea kusikitishwa na kauli ya Zitto kuwa serikali haina dhamira ya dhati kufuatilia mabilioni ya Uswisi huku baada ya kuihadaa na kuikwepa kamati maalum ya kufuatilia fedha hizo, alikiri mbele ya kamati na huku akiwa chini ya kiapo kuwa hajui mtu yeyote aliye na mabilioni huko nje. Werema alishangazwa na tabia ya Zitto huku akidai haiakisi heshima ambayo jamii imejenga kwake. Hivyo, Werema ameliarifu Bunge kuwa hatua za kisheria dhidi ya Zitto kwa tabia yake hiyo ya kulidanganya Bunge na kamati pia itachukuliwa.

Lukuvi nae alimalizia kwa kusema serikali inamshangaa Zitto kwa kupotosha kwa makusudi kuwa Tume ya Uchaguzi inanunua Biometric System ya kupigia kura na yenye ufisadi mkubwa wakati system hiyo sio ya kupigia kura bali ni ya kuandikisha wapiga kura tu. Pia, mifano ya Malawi, Kenya, nk ambayo Zitto ameitolea sio ya kweli na amelenga kusema uwongo.

Viongozi hawa wa serikali na CCM wameuthibitishia Umma kuwa Mh.Zitto ni mwongo na hafai kuwa kiongozi kwenye jamii ikiwa ni mwendelezo wa tuhuma za uwongo akishirikiana na Deo Filikunjombe kuwa baadhi ya vyama vya siasa vimekataa kukaguliwa na CAG wakati kamati yao imethibitisha kuwa sio kweli bali CAG ndiye hakuwa na fedha za kutosha kufanya ukaguzi.

My take:
Ni wakati muafaka kwa CHADEMA kumfukuza Zitto uanachama ndani ya masaa 48 akiwa na wafuasi wake wakati wananchi wameujua ukweli katika kipindi hiki.
 
Hata mimi bado sielewi elewi hii movie....Hii u-turn ya ghafla namna hii imenishtua hata mimi....especially kwa jinsi ambavyo wengi wetu tunaamini kwamba alikuwa mtu wao. Pamoja na hayo lakini nadhani Chadema wamshughulikie kwa kufuata taratibu za Chama bila kuangalia what is happening.....Ningefurahi zaidi angefukuzwa moja kwa moja, kwa sababu kwa usaliti alioufanya sioni namna nyingine ya kudeal naye....

Hata kama CCM watatusupport kwa hili (hata kwa unafiki) sisi tumpige chini tu....Inawezekana wakajifanya kutu-support halafu sisi tukajaribu kuwa waangalifu sana na kuona may be there is something behind it, halafu tukasema hatufanyi kama CCM wanavyotaka, tukamwacha halafu ikala kwetu......

Mimi ninachosema, Zitto hastahili kuwa Chadema kwa usaliti alioufanya....afukuzwe....wether CCM inasupport au hai-support
Mkuu mimi naona hili ni dili la kumwokoa Zitto.(sijui labda ubongo wangu mdogo). Inawezekana CCM wamesha-sense kuwa Zitto atafukuzwa kutoka Chadema sasa wanamwandalia umaarufu wa kumwinua baada ya kuondoka Chadema. Hapa umeshaona kabisa kuwa IMEKUWA KAMA ccm na Chadema wanashirikiana kumsulubu Zitto. Na mara baada ya Chadema kumfukuza basi Zitto ataibuka na listi na atajitetea kuwa alipokula kiapo hakuna na uhakika na hiyo listi/au atatoa sababu nyingine yyt. Hapo sasa kitakachofuatilia ni publicy ya nguvu na Chadema wataambiwa kumbe wanamwonea Zitto...
 
mwanasheria mkuu wa serikali amethibisha kuwa zitto ni mnafiki na muongo baada ya kuliambia bunge kuwa zitto alikri mbele ya kamati ya kufustilia mabilioni ya uswisi kwamba zitto alitamka chini ya kiapo mbele ya kamati hiyo kuwa hakuwa na jina wala account number ya mtanzania yoyote mwenye fedha nje ya nchi.

Kwa mujibu wa ag werema,zitto alitoa tamko hili chini ya kiapo tarehe 18/06/2013.hata hivyo,werema alitoa mlolongo wa tarehe ambazo zitto alitakiwa kufika mbele ya kamati lakini akawa anapiga chenga na kutoa visingizio mbalimbali ili kukwepa kukutana na kamati hiyo mpaka alipobanwa kufanya hivyo wakati wa vikao vya bunge katika hiyo tarehe.

Katika hatua nyingine,ag ameliambia bunge kuwa zitto lazima achukuliwe sheria kwani haiwezekani aseme uongo na akaachwa hivi hivi.ag kwa maneno yake amesema "kweli zitto ni mzito".
.

kwani ya kapuya mmefikia wapi.?
 
again, wrong target, wrong outcome...

I was referring to Zitto, who is referred to in the title of this thread, i didnt want to get out of context for obvious reasons... maturity, sadly mwapumbavu kama wewe mnaoshabikia ujinga wa siasa za mipasho ya chadema, mnadhani na sisi tuko kwenye huo ushenzi wenu wa mipasho

to me Zitto and Lema are all frauds to, but i will stick to Zitto at the moment... the golden boy of egoism and silly fantasies

he is committing political suicide kwa ujinga mmoja tu, kudhani he is all that

narejea tena, upumbavu wako wa mipasho ya chadema bakini nao, na mjue nani hapa ni chadema kabaang au chadema mini kabaang

sheeenzy type

Lini umemaliza english course?
 
Namuamini Zitto katika hili la mabilioni ya uswis, serikali imeona fursa ya Zzk kuwa na mgogoro na chama chake sasa wameamua kuitumia.

Ni vyema pia Zzk akajifunza kwamba heshima alizokuwa anapata ni kutokana na Chadema. Hata nguvu ya hoja zake zilitokana na yeye kuwa chadema. Ccm wamemtumia sasa taratiiibu wanamuacha.

zitto mtu wa ajabu sana marekani pamoja ubabe na technolojia ya hali ya juu walishindwa kujua nani anakwepa kodi na kujirimbikizia pesa uswis sembuse yeye?
 
Mkuu mimi naona hili ni dili la kumwokoa Zitto.(sijui labda ubongo wangu mdogo). Inawezekana CCM wamesha-sense kuwa Zitto atafukuzwa kutoka Chadema sasa wanamwandalia umaarufu wa kumwinua baada ya kuondoka Chadema. Hapa umeshaona kabisa kuwa IMEKUWA KAMA ccm na Chadema wanashirikiana kumsulubu Zitto. Na mara baada ya Chadema kumfukuza basi Zitto ataibuka na listi na atajitetea kuwa alipokula kiapo hakuna na uhakika na hiyo listi/au atatoa sababu nyingine yyt. Hapo sasa kitakachofuatilia ni publicy ya nguvu na Chadema wataambiwa kumbe wanamwonea Zitto...

kuwa na list siyo tija kwa sheria za uswisi .Tija ni pale mahakama zote mbili ya tanzania na ile ya uswizi kuthibitisha pasipo shaka kuwa kuna wamiliki wapesa kwenye mabenki yao zikiwa ni haramu. Lazima kesi zifunguliwe watuhumiwa wahojiwe na wawe convicted.
 
hakuna lolote ukisha kula kiapo.huwezi kula kiapo kwa kusema hili si sahihi halfu kesho yake unasema ni sahihi. mbona kwenyec mkutano tabora alisema mmoja ni mwanajeshi mstaafu na mwingine ni waaziri wa ulinzi mstaafu. ni dhahiri anawajua kwa majina sasa iweje ndani ya kiapo ashindwe kuwataja kwa majina? acha utoto wewe zitto is finished na siasa zake za majitaka

Mkuu anaweza kujitetea kuwa hii listi ilikuwa haifanyiwa authenticity hivyo nikaone nikauke kwanza..... Mimi naona kuna dili linaandaliwa hapa. Haiwezekea mara baada ya AG kusema hivyo wachumia tumbo wooooote wa Lumumba wamekuwa kama walikuwa wamesetiwa kuandika comments za kumgeuka Zitto....
 
yaani nimechoka, maana nimetoka kutweet nikimtetea, infact nimekua nikiamini siku zote kwamba zitto ni kiongozi makini sana, sasa hivi napata uoga sana

nilianza kumshtukia zitto tangu 2010.wewe unamjua leo mkuu.?ukitaka kuwajua wanasiasa bogus uwe na tabia ya kuchunguza sana kauli zao na matendo yao.tunasubiri kauli ya viongozi wa chadema sababu za kumvumilia kwa kipindi kirefu hivi bila kumchukulia hatua!
 
kuwa na list siyo tija kwa sheria za uswisi .Tija ni pale mahakama zote mbili ya tanzania na ile ya uswizi kuthibitisha pasipo shaka kuwa kuna wamiliki wapesa kwenye mabenki yao zikiwa ni haramu. Lazima kesi zifunguliwe watuhumiwa wahojiwe na wawe convicted.

Nakubaliana na wewe, na najua kinachofanywa na Zitto ni usanii tu, lakini ni watanzania wangapi wanajua hivi. Leo hii hata akitoka na listi tu (bila hatua zozote kuchukuliwa) utaona jinsi atakavyosifiwa....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom