palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,455
Ni suala la muda tu, nadhani hamumjui ZZK vizuri. Hapa kuna kitu kakitega kwa maadui wa chama chake na serikali. Ukitaka kugundua hili kumbukeni statement yake kuwa hii ni vita yake na maadu zake ndani ya chama na nje ya chama.....nasema tena More issues are coming away,stay tunned
hakuna lolote ukisha kula kiapo.huwezi kula kiapo kwa kusema hili si sahihi halfu kesho yake unasema ni sahihi. mbona kwenyec mkutano tabora alisema mmoja ni mwanajeshi mstaafu na mwingine ni waaziri wa ulinzi mstaafu. ni dhahiri anawajua kwa majina sasa iweje ndani ya kiapo ashindwe kuwataja kwa majina? acha utoto wewe zitto is finished na siasa zake za majitaka