Zitto Kabwe adai amenyetishwa na vyombo vya Usalama Bungeni kuwa atakamatwa kwa Uchochezi

Kimenuka maeneo ya bunge
 

Attachments

  • IMG-20170207-WA0001.jpg
    IMG-20170207-WA0001.jpg
    65 KB · Views: 29
SI WALITOKA HAWA SASA KAINGIAJE TENA NDANI, HEBU ATOLEWE KWA NGUVU AKAKIMBIZIWE KULE KAHAMA ALIPO ROPOKA.
 
Huu Ni uonevu WA wazi,na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Uma,utazidisha umaskini kwa watanzania wanyonge na wala sio kukijenga Chama Tawala,
Kumlazimisha mtu akupende Ni ubakaji..huu sasa Ni ubakaji wanachofanyiwa kina Lema Ni ubakaji.
 
Taarifa kutoka ACT Wazalendo zinaeleza kuwa Polisi (wenye silaha) wamelizingira jengo la bunge mjini Dodoma, kwa lengo la kumkamata Kiongozi Wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge Wa Kigoma mjini Mhe.Zitto Kabwe.

Kufuatia hali hiyo Zitto amekataa kutoka ndani ya ukumbi wa bunge. Hivyo bado yupo ndani na Polisi wamezingira maeneo mbalimbali nje ya Bunge wakimsubiri atoke ili waweze kumkamata..
Mhhhh
 
Mungu Utusaidie, Mungu Utuhurumie ! Twahitaji Amani.
Mungu sio kipofu kusema haoni yanayotendeka.

Tusubiri ghadhabu yake hakika hakuna atakayepona kwa wale wote waonevu kwa wenye haki.

Ghadhabu ya Mungu ni kubwa kuliko unavyofikiri.
 
Wanadai wanataka wakifika mbinguni wawe viongozi wa malaika huku wanayo yafanya mmiliki wa malaika yana muhuzunisha...tuache kujificha kwenye kivuli cha Mungu wakat hatutendi ya Mungu.
Mbinguni ipi hio wanayoiamin wataendan kwa haya wanayoyafanya ?? labda wana yao wameitengeneza
 
nadhani ifike wakati kesi za wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani zipelekwe kwenye MAHAKAMA YA UFISADI maana fujo zao zinafanya nchi isiendelee miaka yote tangu tumepata uhuru,nchi ilioza hii kwasababu yao,kila sehemu ilikuwa ni dili tu,sasa ni bora wapelekwe huko kwenye mahakama ya ufisadi ili kuwe na kesi angalau wafanye kazi maana hatuwezi kuwa na watu hawafanyi kazi lakini wanalipwa mishahara hii itakuwa ni sawa na JIPU LA WAFANYAKAZI HEWA.

Matapishi
 
Hahahah kwa hiyo aliingiaje? Alikuwa Ulaya alitutumia picha yuko na Wazungu hivyo boda zetu alivukaje kama Askari wetu walikuwa na lengo la kumkamata? Kweli takataka kama hawa Bara letu la Afrika ni ngumu sana kuja kuendelea!
Unamwita binadamu mwenzio takataka wewe ndo binadamu, hongera sana mzee.
 
Niishauri serikali,kama inahisi ni kosa la jinai kwa watanzania kuwa na itikadi tofauti za vyama,ifanye sensa ya kiitikadi,iwabaini wote walio kinyume na matendo maovu ya serikali,iwanyonge.

Kuwalazimisha watu waishi kikondoo huku wakishuhudia mafisadi waliojivika utukufu wakikataa kujadiliwa kwa kukimbilia kuuficha ufisadi wao chini ya kivuli cha jeshi,ni jambo lisiloweza kuvumilika kwa kila mtanzania mwenye akili timamu.

Tuueni tu ili dunia nzima ifahamu kuwa hii ni nchi ya ccm.Tunaomba na lile ghorofa alilohongwa kidosho,ligeuzwe kuwa hostel ya jeshi(Liwe handaki),ili atakayelijadili hekalu lile akanyee debe.Hii nchi ilipofika inatia hadi kichefuchefu.
Halafu jamaa linafiki kweli, kila Siku eti tuliombee, ni Lucifa tu atasikia maombi ya kuombewa jitu katili hivyo.
 
Wabunge ndo wanatunga sheria lkn nao wanakamatwa kama kuku anavyokamatwa na mwewe! Why? Je sheria inarusu?
 
Back
Top Bottom