Zitto Kabwe adai amenyetishwa na vyombo vya Usalama Bungeni kuwa atakamatwa kwa Uchochezi

Nimesikiliza hoja ya zito juu ya haki za bunge na bunge kama muhimili kuto ingiliwa na mihimili mingine.

Alijikita juu ya wabunge kukamatwa na bila spika kupewa taarifa na wala wabunge wengine kupewa taarifa rasmi na spika.

mfano mbunge wa arusha kawekwa jela hadi leo hakuna taarifa bungeni iliyo tolewa. Pia mbunge wa kilombero amefungwa miezi 6 lakini hadi leo spika hajatoa taarifa bungeni juu ya kifungo cha mbunge huyo..

Pia Tundu lissu amekamwatwa Jana bila kibali cha spika na spika hajatoa taarifa bungeni juu ya kukamatwa kwake.

Kwa mtazamo rahisi ni kama hakuna muhimili wa bunge, maana hata vibaka wanaingia na kufanya chochote na mwenye nyumba anaona sawa tuu.

Kwa sheria za mabunge ya Jumhia ya madola, mbunge hawezi kukamatwa bila kibali cha spika, na akikamatwa basi spika atatoa taarifa bungeni ..

Cha ajabu Naibu spika kapotezea , niwashauri wabunge wa ccm , ni wakati wa kuwa na akili, Leo upinzani wanakamatwa kesho hakuna aijuaye. ni vyema wabunge kwa ujumla wao washikamane kulinda haki za bunge.

Blah blah blah tumeshasikia sana hayo maneno nafikiri mpaka leo hii hakuna ambacho hamjakisema na mnarudia rudia tu yale yale, semeni mnaamuaje sasa? Kwa maana hakuna jipya!
 
Wako kwa maslahi ya matumbo yao na familia zao wanaona hakuna cha kupoteza ili mradi ya kwao yanawaende, yaani ndio maana mimi husema kuwa mwanachama wa chama cha makima yahitaji ujitoe Akili kwanza
 
Nimesikiliza hoja ya zito juu ya haki za bunge na bunge kama muhimili kuto ingiliwa na mihimili mingine.

Alijikita juu ya wabunge kukamatwa na bila spika kupewa taarifa na wala wabunge wengine kupewa taarifa rasmi na spika.

mfano mbunge wa arusha kawekwa jela hadi leo hakuna taarifa bungeni iliyo tolewa. Pia mbunge wa kilombero amefungwa miezi 6 lakini hadi leo spika hajatoa taarifa bungeni juu ya kifungo cha mbunge huyo..

Pia Tundu lissu amekamwatwa Jana bila kibali cha spika na spika hajatoa taarifa bungeni juu ya kukamatwa kwake.

Kwa mtazamo rahisi ni kama hakuna muhimili wa bunge, maana hata vibaka wanaingia na kufanya chochote na mwenye nyumba anaona sawa tuu.

Kwa sheria za mabunge ya Jumhia ya madola, mbunge hawezi kukamatwa bila kibali cha spika, na akikamatwa basi spika atatoa taarifa bungeni ..

Cha ajabu Naibu spika kapotezea , niwashauri wabunge wa ccm , ni wakati wa kuwa na akili, Leo upinzani wanakamatwa kesho hakuna aijuaye. ni vyema wabunge kwa ujumla wao washikamane kulinda haki za bunge.

Kale kajamaa (Tundu Lissu) kalikamatwa nje ya Bunge ndipo wakamtia ndani ya tenga na kumpeleka DSM. Na Zitto nasikia anaviziwa ili atiwe ndani ya tenga na kupelekwa DSM pia, mbona hakuna tatizo? Yeye Zitto anasema hivyo kwa sababu anataka kulindwa maana alishaona tenga nje ya viwanja vya bunge linamsubiri. We, fikiria....nani anataka awekwe ndania ya tenga masaa 8 kwenda DAR?
 
Blah blah blah tumeshasikia sana hayo maneno nafikiri mpaka leo hii hakuna ambacho hamjakisema na mnarudia rudia tu yale yale, semeni mnaamuaje sasa? Kwa maana hakuna jipya!
Hakuna jipya kwani wazazi wako katerero usiku huu wamemaliza
 
Kale kajamaa (Tundu Lissu) kalikamatwa nje ya Bunge ndipo wakamtia ndani ya tenga na kumpeleka DSM. Na Zitto nasikia anaviziwa ili atiwe ndani ya tenga na kupelekwa DSM pia, mbona hakuna tatizo? Yeye Zitto anasema hivyo kwa sababu anataka kulindwa maana alishaona tenga nje ya viwanja vya bunge linamsubiri. We, fikiria....nani anataka awekwe ndania ya tenga masaa 8 kwenda DAR?
mkuu mbona unakurupuka kuchangia wakati hujaelewa mada.
 
Waziri wa mambo ya ndani si muda mrefu alikuwa kazi ya kupambana na hoja za wapinzani majukwaani na kila siku walikuwa wanabezana. Sasa atuambie nini kimebadilika siku hizi kuikosoa serikari ni uchochezi walianza kwa wananchi sasa tena wanahamia kwa wale waliochaguliwa kwa kazi hiyo kwani CCM awatoshi na raia wanaona hatua njema za serikari awatoshi kusifia mpaka iwe kila mtu. Lazima kuwe na upande wa pili wa hoja.
 
Ni nani alikwambia Adolf Hitler alikuwa Kiongozi mbaya? Tafiti zilifanywa sehemu nyingi Duniani kuanzia India, Asia na hata USA kwenyewe watu wengi wanamchukulia Adolf Hitler kama Kiongozi bora na mzuri na ndiyo maana nguvu nyingi sana inatumika kuwaaminisha watu vinginevyo!
ZERO.
 
TAARIFA

Mpaka sasa Kiongozi Wa chama cha ACT Wazalendo,Zitto Kabwe,ambaye pia ni Mbunge Wa Kigoma mjini bado hajakamatwa na jeshi la Polisi

Muda wote askari Wa jeshi la Polisi wamezingira maeneo mbali mbali ya ukumbi Wa Bunge kwa ajili ya kumsubiri atoke na waweze kumkamata
...
Kiongozi Zitto Kabwe yupo Salama ndani ya Bunge na kama itatokea kuwa amekamatwa tutautaarifu umma juu ya madhila hayo yanayofanywa na jeshi la Polisi kwa viongozi mbali mbali Wa kisiasa wasiotokana na chama cha Mapinduzi

Abdallah Khamis

Afisa Habari ACT Wazalendo
07/2/2017

-----
Mi sijajua Session si inaendelea mda huu ambapo zitto yumo ndani ya Bunge. Je atafanikiwa Ku escape tena? This man is pure magician.

Kujadili mpango wa kukamatwa Zitto ili ionekane umevuja ni ujinga mtupu, ishu iko pale pale kama ilivyopangwa!! Sijui ni vipi lakini
 
Waziri wa mambo ya ndani si muda mrefu alikuwa kazi ya kupambana na hoja za wapinzani majukwaani na kila siku walikuwa wanabezana. Sasa atuambie nini kimebadilika siku hizi kuikosoa serikari ni uchochezi walianza kwa wananchi sasa tena wanahamia kwa wale waliochaguliwa kwa kazi hiyo kwani CCM awatoshi na raia wanaona hatua njema za serikari awatoshi kusifia mpaka iwe kila mtu. Lazima kuwe na upande wa pili wa hoja.
Hii nchi tutairudisha kwenye mstari kwa gharama kubwa, kwa sasa nchi imepotoka. Kila MTU ana hofu,
 
FB_IMG_1486209575859.jpg
 
Back
Top Bottom