Zitto/Filikunjombe wajitosa kuwatetea madereva wa wabunge Dodoma

jamani tuache utani; kama wabunge wanataka hawa madereva wawe na maslahi mazuri; si lingeingizwa hili kwenye bajeti? au kufanya mabadiliko ya sheria ya utumishi wa umma ili madereva wa wabunge wawe ni watumishi wa serikali ili kwamba hata mbunge akipoteza kiti chake dereva asibadilishwe kirahisi? Hili ni suala la Bunge kufanya mabadiliko ya sheria na kuwatengea fedha madereva.

Binafsi ningefurahi kuwaona wabunge wanaotaka madereva wawe na maslahi mazuri wakubaliane kuleta mswada wa sheria au mabadiliko ya sheria ili kuwatengenezea madereva ajira rasmi za serikali.
 
wabunge wako so greedy aisee..yani posho wanayopewa ya madereva wanakula wao alafu wanajiendesha wenyewe..daahh
 
wabunge wako so greedy aisee..yani posho wanayopewa ya madereva wanakula wao alafu wanajiendesha wenyewe..daahh

Bora serikali kufuta kabisa mishahara ya madereva wa wabunge, maana wabunge ni wepesi kuwatumbulia macho wengine lakini wenyewe hawalioni boriti jichoni mwao.
 
Back
Top Bottom