Elections 2010 Zitto azushiwa kupata ajali, asema "am alive and well"

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Zitto Kabwe katika twiter and Face Book "just finished my rally in Kahama please ignore the malicious rumour going round that I've been involved in an accident am alive and well"

Amepikea sms isemayo, "Poleni wapinzani wenzangu kwa kumpoteza zito kabwe kwa ajali ya gari."..

My Take: Hii si mara ya kwanza na si dalili nzuri, vyombo vya dola viwe makini visiwe chanzo cha vurugu katika nchi hii, usalama wa wananchi na viongozi wa vyama vyote, CCM na wapinzani uko mikononi mwao kwa sasa.
 
hawana cha kuongea majukwaani wanabakia kuzusha mambo..mbona ile ya jangwani hawakuisema na kutumia meseji watu
 
wamechemka, nakumbuka ile ajali iliyomuondoa mama salome mbatia...........zito anaielewa vizuri.
 
Ni waongo maana jioni ya leo nilipigiwa na jamaa yangu aliyeko Kahama kuwa alihudhulia mkutano wa Zitto ingawa anasema alifika amechelewa sana wakati wao walikuwa wamesubiri tangu saa 7 mchana.
 
acheni hizo

hayo ni mambo yenu wenyewe mnaleta propaganda za kitoto mnataka mpate sympathy za wananchi

hamna lolote
 
Binafsi nilipigiwa simu na watu kadhaa wakitaka kujua juu ya jambo hilo, ikabidi nimpigie simu Zitto mwenyewe ambapo alinieleza kuwa alikuwa amemaliza mkutano wa Kampeni Kahama. Alisema amepigiwa na waandishi wengi wa Habari wakimuuliza juu ya jambo hilo. Ila wa kwanza kumpigia alikuwa mwandishi wa TBC
 
Back
Top Bottom