Mzee Wasira alishatabiri
Kwa akili yako unadhani hawajui huyo yuko uchi long time ago ndio maana watu wake wa karibu including his own biologial mummy intervened onceCha kujiuliza nyie wapiga tarumbeta wa CHADEMA, kama intelijensia ya chama chenu ina uwezo wa kugundua njama za kukihujumu chama chenu, vipi kinashindwa kujua hii mikakati ya Zitto?
nawe uache ulimbukeni. Hiyo ni habari kuu ambayo kila mtu anaiona. Ku kot yote bila hoja za msingi ni ujuha.
Unasumbua watumia simu bure kwa ujinga wako.
Elimika basi.
kama huna elimu ya nini kuingia jf great thinkers
We umegundua njama gani? Hakuna mkakati wowote la zitto angekuwa kishachomolewa siku nyingiCha kujiuliza nyie wapiga tarumbeta wa CHADEMA, kama intelijensia ya chama chenu ina uwezo wa kugundua njama za kukihujumu chama chenu, vipi kinashindwa kujua hii mikakati ya Zitto?