GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Hata kama atanunuliwa kurasa za mbele za magazeti na kupambwapambwa kila mara,bado Zitto Zuberi Kabwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii.Namheshimu sana Zitto Kabwe.Namkubali kwa uwezo wake wa kiuongozi.Lakini kwa la Urais,bado hajakomaa. Kuchagua kijana/handsome tumekoma. Zitto labda anafaa kuwa Waziri au Naibu Waziri.Basi.Nasisitiza,urais hauwezi.Hafai.
CCM watajitahidi kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani,hasa CHADEMA,vinasimamisha wagombea dhaifu ili wao apite hata kwa kuchakachua tena. Huu ndio mtego pekee ulibakia kwa CCM. Chokochoko ndio zimeanza hizo...
Mbona anaonekana Zitto ndio anae faa kuwa rais wa nchi hii , hakuna mwingine ndani ya cdm , licha ya wengine kuwa wazee ila hawana fikra mbadala zaidi ya ubabe na kutishiana. Na walio sema urais wa Zitto ni wabunge wa CDM wenyewe wakina Mdee, Nassari, sasa hapo CCM inahusikaje ?