Zitto asafishiwa njia mbio za urais 2015 na wabunge vijana akiwemo Nasaari na Filikunjombe

Hapa naona ccm wanacheza soka la kulpwa kutaka kuanzsha makundi ndan ya cdm na i thnk they ar getng there ila kwa sisi waelewa 2mewasoma na hatuwez jiunga kwenye mjadala huu wenye lengo la kukvuluga cdm kwa hv vjmijadala vsvyo na mshko kwa sasa.
 
Naamini zito anaweza ila muda haujamruhusu mda ukifika hakuna wa kubisha viva m4c, viva dr slaa viva zitto mungu atutangulie katika maamuzi yasiwe kama ya magamba a na b
 
Mnafiki Zitto may be agombee Kigoma na hiyo kigoma all starz yake, awe Rais KAS.
 
kwa hoja ya utumishi serikalini, mgombea wetu 2010 hakuwa nayo. Slaa kafanya kazi kanisani na bahati mbaya hakuondoka vizuri katika utumishi wa bwana. Labda tubaki na msimamo wetu kwamba cdm ni cha kaskazini.
ni nani kakuambia hakuondoka vizuri!! Kwani kujiuzulu ni kubaya ????kama ni cha kaskazini mbona wabunge wanatoka mbeya kigoma kwa tiketi ya hicho cha kaskazini??????????????
 
Hata kama atanunuliwa kurasa za mbele za magazeti na kupambwapambwa kila mara,bado Zitto Zuberi Kabwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii.Namheshimu sana Zitto Kabwe.Namkubali kwa uwezo wake wa kiuongozi.Lakini kwa la Urais,bado hajakomaa. Kuchagua kijana/handsome tumekoma. Zitto labda anafaa kuwa Waziri au Naibu Waziri.Basi.Nasisitiza,urais hauwezi.Hafai.

CCM watajitahidi kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani,hasa CHADEMA,vinasimamisha wagombea dhaifu ili wao apite hata kwa kuchakachua tena. Huu ndio mtego pekee ulibakia kwa CCM. Chokochoko ndio zimeanza hizo...
 
Hata kikwete tulimshadadia tukidhani kwa nchi kupata kijana tutasonga mbele kwa haraka .Na kweli kikwete akaja na sera ya ARI MPYA NGUVU MPYA NA KASI MPYA matokeo yake akashindwa kufikia rekodi ya mzee mkapa tuliemuona mzee.Zitto hawezi tena kwa taarifa yeniu zitto hataweza kwani hata utaratibu tu wa movement ya documents ofisini hajui yeye kaanza na ubunge hajawahi kutumwa na boss yeyote, zitto hajui kazi za mhudumu nini kwani hajawahi kufanya kazi ofisini.Atakachofanya ni kuvuruga utaratibu mzima wa utendaji kazi serikalini na matokeo yake mabaya sana.

Kithibitisho ni juzi alipotaka kuitisha kikao cha POAC kutka kumtetea mhando wa TANESCO eti kwa kigezo kuwa kamati yake haikuridhishwa na jinsi alivyosimamishwa.Swali dogo kwa zitto je anajua kama ana kazi ya kuisimamia serikalikama mbunge??? haoni kwa kumtetea mhando ni kuingilia kazi za kila siku za serikali.na je ikija kuonekana kweli mhando ana makosa zitto atapata wapi nafasi ya kuishauri seikali???

Ndioyo maana nasema zitto si mzuri sana kwani kuna step aliiruka ni ile ya utumishi ajue system ya serikali inafanyaje kazi>
Yeye hajui hata kwa nini kuna fungu la chai ofisini.
Nawashauri wanaompigia debe wafikirie mara dufu Zitto ni tatizo kama ataingia ikulu ni bora akabaki back benchers tuuuu.vinginevyo watanzania tutalia

Kagame alifanya kazi ofisi ipi kabla ya kuwa rais wa Rwanda? Museveni je?
 
Zito ataweza kuwa waziri lakini sio waziri mkuu wala sio Rais,watanzania tusifanye makosa yatakayotugharimu tena,miaka 10 ya kikwete ni mingi sana halafu tuweke tena mtu mwingine wa kutuharibia zaidi,naona ccm wanajitahidi sana kutafuta serikali ya umoja wa kitaifa,but is too late!
 
Ukitaka kujua mtu ni mdini 1.Ukimwambia serikali ya sasa ni tofauti na ya awamu ya 1,2 na 3.Atakwambia kivipi wakati Jk kachukua nchi haina shule nyingi,wahitimu shule za juu sasa large in number..Ukimwamibia katika utawala wa Nyerere palikuwepo uhadirifu kazini.ATABISHA.
2.Ukimuuliza mwanasiasa gani msomi na mwenye uwezo wa kuitoa Tz hapa ilipo baada ya Jk.Atakwambia Lipumba,ukimuuliza sababu,utasikia Mwanauchumi bora,aliwahi kusema kila mtz anatakiwa kila mwezi kuwa analipwa takribani 4laki kila mwezi.Lakini ukiuliza kuhusu Slaa na sela ya cement 5000 atakwambia muongo.
3.Mwanasiasa gani unamkubali Chadema? Atakwambia Zitto Zuber Kabwe.
4.Vipi mwamuko wa watanzani katika siasa na jinsi walivyo kipokea chama cha CHADEMA? Atakwambia,tuliwahi kumwona Kaburu,Cuf na Mrema

ubarikiwe na tumbo lililokuzaa libarikiwe pia! Una akili za kutosha, wachache sana ambao naweza kuwafananisha na wewe. Asante sana.
 
"ZITTO hawezi kuwa Rais wa NCHI HII" Nachukia sana kauli za iana hii. Ingawa mimi sio Pro Zitto lakini kwanini usema kwamba Zitto hawezi kuwa Rais wa nchi hii? Wewe ni nani afterall? Kwani Zitto sio Mtanzania?

Mbona CCM wakisema kauli kama hizi tunachukia? Dr. Slaa hawezi kuwa Rais wa nchi hii? Rais ajae hatatoka Kasikazini?

Tuacheni watanzania na CDM ndiyo tutaamua nani atakuwa Rais wetu. Zitto kama Mtanzania anao uhuru wa kugombea kiti cha URAIS wa JMT.
 
Mimi nilipatwa na mshangao siku nilipomsilikiliza NASARI pale viwanja vya NMC arusha aliporusha kombola kuwa kama vipi kaskazini itajitenga nilijua ni bahati mbaya mdomo uliteleza lakini juzi aliposikika akipiga debe kuwa zitto atakuwa rais soon nikapitisha kuwa vijana wa CDM wasipodhibitiwa wataleta maafa.Na siamini kama kweli wanasukumwa na uzalendo au pesa za mafisadi zimepenya na kuwachanganya.Haiingii akilini chama kama CDM kuruhusu vijana kuanzisha taflani ndani ya chama ambacho watanzania wameanza kuwekeza mitaji yao kwa kukiamini.Nadhani kuna haja CDM wakadhibiti hii hali.Tatizo la URAIS ndilo linakitafuna CCM kwa sasa na ugonjwa umekorea kiasi cha kukosa dawa.Nitashangaa kama CDM makao makuu wataruhusu hili gonjwa likishambulie pia CDM.uras kwa wanasiasa wa TZ imeonekana kama ndiyo dieal kuliko nafasi yoyote na TAASISI YA URAIS imeshuka sana hadhi hadi wapiga debe wantaka kuwania urais .
MARANDO,SLAA, MBOWE LISSU na wengine tafadhali msiruhusu ugonjwa wa URAIS uingie CDM mtakwisha.Ugonjwa khuu kwa sasa unalitafuna taifa kwani baadhi ya mawaziri hawaongei wala kupigiana cm, sasa nchi itakwenda kweli???? SISI wananchi kwa sasa tunatamani CCM iondoke madarakani kwa sababu ya vurugu za urais.
Hebu jiulize swali hili:
  • Kwa sasa yawezekana Membe na Lowasa wakakaa meza moja kuongelea maendeleo ya nchi??? jibu HAWAELEWANI
  • sITTA na lowasa je!!! HAIWEZEKANI
  • Magufuri na wana CCM je!! jibu haiwezekani!!!!!
hAYO machache tu,
kwa cdm wanataka baadae zitto na slaaa au mbowe na zitto , au mdee na mnyika wasikae pamoja ktk kujenga cdm????
TAFAKARINI MTATUMALIZA.
BORA ZANZIBAR IJITENGE
 
kuna uhusiano gani kati ya uhandsome na urais, acha mawazo ya ajabu eti rahis handsome kama 'jk na zitto 'jenga hoja
 
Kama Mungu kamuandikia kua rais basi atakua hata iweje...mtapanda nakushuka.....
 
Kwani Mwalimu Nyerere aliiongoza Tanzania akiwa na miaka mingapi? Vipi kimtazamo na kiahiba, Zitto na Mwalimu wakoje? Kwa wale wanaojua vizuri uchambuzi linganishi (comparative analysis) nisaidieni.....!!
 
so mwenye maono na busara ni nani?umetumia criteria zipi kupima uwezo wa zito kuforecast na kujua wisdom yake?ama mvi ndio sifa pekee ya busara na maono,tumia kichwa kufikiri sio kutunzia nywele

Zito ni public figure, celebrity, hivyo matendo yake, kauli zake, deeds zake tulio kando tunaziona kuwa hana busara, anahitaji mtu wa kukaa naye pembeni vinginevyo chombo kitazama. Anaonekana kama power monger, na mtu anayekimbilia Ikulu /madaraka mougope kama ukoma!
 
Back
Top Bottom