Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

hatimaye zitto kabwe amevuliwa unaibu kiongozi kambi ya upinzani bungeni, tukio hili pengine la kihistoria limetokea huko bagamoyo, katika semina ya wabunge wa chadema inayofanyika huko. mnamo majira ya mchana jana, yeye mwenyewe aliwasilisha paper na katika paper hiyo alijitetea kwa mengi yanayosemwa juu yake.

baadaye wabunge wa chadema walikutana kwa dharura na katika kikao hicho wabunge 28 walipiga kura ya kutokuwa na imani naye, wakati wabunge 8 wakibakia bila kuwa na msimamao, na mmoja akiwa amepiga kura ya kuwa na imani na zitto

nafasi yake bado iko wazi

chanzo, semina ya wabunge wa chadema inayoendelea huko bagamoyo

Inatakiwa uwe na Imani ya kidini ili uamini Loyalty ya Zitto katika Chama chake!
 
Chanzo cha habari hakieleweki. Tutaamini vipi kama habari imetoka kwenye iyo semina? You are being a great whisper instead of being a great thinker.
 
kwa bahati mbaya sana, anaumwa tangu jana, amelazwa agha khan , huenda chadema wanaficha habari hizi ili pia kumngoja apate nafuu
 
huyu ni wa kufukuza kabisa...hizo paper aka present kwenye vikao vyake na CCM sio CHADEMA..hana upeo kabisa huyu bwana mdogo
 
kwa bahati mbaya sana, anaumwa tangu jana, amelazwa agha khan , huenda chadema wanaficha habari hizi ili pia kumngoja apate nafuu

asiishie kuumwa tu afe kabisa ..ananikera sana sana huyu mtu
 
kwa bahati mbaya sana, anaumwa tangu jana, amelazwa agha khan , huenda chadema wanaficha habari hizi ili pia kumngoja apate nafuu
Hii hoja hapo juu ukiijumlisha na hii hapa chini ninatia mashaka kauli zako Mkuu............

hatimaye zitto kabwe amevuliwa unaibu kiongozi kambi ya upinzani bungeni, tukio hili pengine la kihistoria limetokea huko bagamoyo, katika semina ya wabunge wa chadema inayofanyika huko. mnamo majira ya mchana jana, yeye mwenyewe aliwasilisha paper na katika paper hiyo alijitetea kwa mengi yanayosemwa juu yake.
Swali la msingi hapa ni kuwa aliwezaje kuwasilisha paper yake na kujitetea kwenye kikao hicho kama alikuwa anaumwa na hakukihudhuria kikao hicho? Something is terribly serious wrong in this reportage......................
 
ni kweli kalazwa maana nimemuona mbowe sasa hivi agha khan hosp akienda kumuangalia
 
Sorry Mwikimbi......................I have just withdrawn my vote of thanks......................I find the story untruthful.............
 
ni kweli kalazwa maana nimemuona mbowe sasa hivi agha khan hosp akienda kumuangalia

Kauli yathibitisha ya kuwa Zitto Kabwe hakushiriki kwenye kikao tajwa na hivyo hakuweza kujitetea kwa paper kama ilivyodaiwa awali na hivyo asingeweza kuhukumiwa bila ya kusikilizwa....hadithi hii siyo ya kweli hata kidogo................................
 
Hiyo haitoshi inabidi madaraka yote aliyobnayo ndani ya CHADEMA apokonywe
 
Sasa niwakata mwafaka kwa Chadema kujitokeza na kutolea tamko hizi taarifa ambazo Zitto mwenyewe anasema ni uvumi. Zitto hasipokuwa makini upo uwezekano wa kuwa majeruhi wa kisiasa na kuleta mtafaruku ndani ya Chadema.
 
Kauli yathibitisha ya kuwa Zitto Kabwe hakushiriki kwenye kikao tajwa na hivyo hakuweza kujitetea kwa paper kama ilivyodaiwa awali na hivyo asingeweza kuhukumiwa bila ya kusikilizwa...

Mmeanza kuhukumiana? tunasubiri...
 
jana alihudhuria morning session, na akawasilisha vema paper yake, lakini baadaye alipata matatizo ya afya karudi hotelini kuhudumiwa, wakati huo huo ratiba ya vikao haikusimama. jioni ndo kikao cha ubunge kikawa kimefanyika kikamvua huo uongozi kama ilivyokuwa kwenye ratiba. agha khan kapelekwa jana usiku
 
Hivi wakimvua hicho cheo,hata kumfukuza kabisa inakipandisha chati CHADEMA au inakiporomosha?

Hili swali ndilo wametumia kufikia uamuzi huo?

Je sisiu tunaonaje?
 
Back
Top Bottom