Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

Mie nimeuliza swali sijapata, CHACHA alikuwa mpigania demokrasia ama alikuwa fisadi aliyekutana na RA ktk hoteli ya kempiski ili kuihujumu chadema kama tulivyoambiwa na Slaa, Tundu Lisu na Mbowe?

Kuhujumu CDM kwa kuhoji matumizi ya pesa? Kuhujumu CDM kwa kuhoji uongozi wa Mboe? Kwa nini kila watu wanapotofautiana na Mboe ndio wanageuzwa kuwa mzozo? Wanaonekana matrator.

Kiongozi bora yoyote duniani anatakiwa kutumia kila njia awezayo kuhakikisha migogoro yoyote inayoigawa chama inatatuliwa kwa haki na mwisho wasiku chama kinaungana na kuwa na msimamo zaidi ya mwanzo. Kiongozi bora lazima afahamu kunamuda ndani ya uongozi lazima compromise ifanyike sababu ndio njia ya kupunguza tension ndani ya members wako. Kiongozi bora lazima ajue kusoma nyakati, na lazima ajifunze kuondoa tetezi za uchonganishi. Niambie Jee Mboe ana character gani ya uongozi?

Ni Mboe na Mkwewe ambao wana run chama kwa policies zao ambazo ni special interest policy period.
 
Who is waberoya?
Here is...
Originally Posted by Waberoya
However, we all know JK ni mdini, maana alianza harakati za udini tangu akiwa UDSM miaka hiyo….na hili fuatilieni

Originally Posted by Waberoya
utaona PhD za akina Kitila na Slaa zinawekwa mfukoni kila wakati wakikutana na mtoto wa mjini Mbowe ambaye ni mkwe wa Mtei. matumbo haya ..unaweza kuuza utu wako.
Originally Posted by Waberoya
Nani anayejua Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto na alipata tender ya barabara ku-supply kokoto? Is he defending his interest indirectly?

Ukiwaweka kwenye mizani Zito na degree yake na ukampima Kitila na mkurupukaji Slaa utaona tofauti kubwa sana.

quote_icon.png
Originally Posted by Waberoya
Kitila is another silent killer and 'yes man' in chadema! he fall in the category of Slaa blind, 'academician'

quote_icon.png
Originally Posted by Waberoya

I mean we should be careful na watu kama Zitto yes they are bright, mmh! But they might be dangerous for the opposition existence.
quote_icon.png
Originally Posted by Waberoya
Zito angekuwa mroho wa madaraka au vyeo angekuwa mbali kupitia hata CCM!!
 
Kuhujumu CDM kwa kuhoji matumizi ya pesa? Kuhujumu CDM kwa kuhoji uongozi wa Mboe? Kwa nini kila watu wanapotofautiana na Mboe ndio wanageuzwa kuwa mzozo? Wanaonekana matrator.

Kiongozi bora yoyote duniani anatakiwa kutumia kila njia awezayo kuhakikisha migogoro yoyote inayoigawa chama inatatuliwa kwa haki na mwisho wasiku chama kinaungana na kuwa na msimamo zaidi ya mwanzo. Kiongozi bora lazima afahamu kunamuda ndani ya uongozi lazima compromise ifanyike sababu ndio njia ya kupunguza tension ndani ya members wako. Kiongozi bora lazima ajue kusoma nyakati, na lazima ajifunze kuondoa tetezi za uchonganishi. Niambie Jee Mboe ana character gani ya uongozi?

Ni Mboe na Mkwewe ambao wana run chama kwa policies zao ambazo ni special interest policy period.
Asante mkuu
 
Pole sana Mdanganyika unajichosha bure kwa kutetea mafisadi, wenyewe saa hizi wanakula usingizi wewe unakesha JF,

masahihisho kidogo siyo Mboe ni Mbowe nafikiri hutakosea tena ni sawa na kuita Kiwete badala ya Kikwete.
 
Kuhujumu CDM kwa kuhoji matumizi ya pesa? Kuhujumu CDM kwa kuhoji uongozi wa Mboe? Kwa nini kila watu wanapotofautiana na Mboe ndio wanageuzwa kuwa mzozo? Wanaonekana matrator.

Kiongozi bora yoyote duniani anatakiwa kutumia kila njia awezayo kuhakikisha migogoro yoyote inayoigawa chama inatatuliwa kwa haki na mwisho wasiku chama kinaungana na kuwa na msimamo zaidi ya mwanzo. Kiongozi bora lazima afahamu kunamuda ndani ya uongozi lazima compromise ifanyike sababu ndio njia ya kupunguza tension ndani ya members wako. Kiongozi bora lazima ajue kusoma nyakati, na lazima ajifunze kuondoa tetezi za uchonganishi. Niambie Jee Mboe ana character gani ya uongozi?

Ni Mboe na Mkwewe ambao wana run chama kwa policies zao ambazo ni special interest policy period.

Kwanza alipewa uongozi, quality hiyo ya pili hana! na ndio unaona matatizo

Chadema ili kipendwe na wenye akili timamua ebu waruhusu uchaguzi ndani ya chama! wakiruhusu uchaguzi tutakiona kweli kimedhamiria si hizi porojo
 
Mhh chadema, mhhhh eti nasikia wamekifuta kile cheo ni kweli? Hawa jamaa bwana uchaguzi wa mwenyekiti walishindwa, uchaguzi wa vijana walishindwa, uteuzi wa wabunge nacho kimeo, unaibu spika kambi ya ukinzani nako tatizo.

Hivi hawa jamaa esnshubiri DEMOKRASIA IPI? na KATIBA ipi? ya chama tu kimeo. Kinachonishangaza kabisa ktk hiki chama ni kwamba Rais JK wa CCM ktk matukio mengi huwa anaunda kamati kutatua mambo yao yaki ccm na hawa CHADEMA huwa wanalipigia kelele sana swala hilo. LAKINI maajabu hakuna jambo la chadema linaloamuliwa bila KAMATI, mara kamati ya wazee mara kamati ya Kitila.Hivi huo mbadala wa kinafiki unaohubiriwa ni upi huo?
 
Kwanza alipewa uongozi, quality hiyo ya pili hana! na ndio unaona matatizo

Chadema ili kipendwe na wenye akili timamua ebu waruhusu uchaguzi ndani ya chama! wakiruhusu uchaguzi tutakiona kweli kimedhamiria si hizi porojo

Ha ha ha kwa hiyo wote wanaokipenda CHADEMA hawana akili Timamu?
 
ZZK ameisaliti CHADEMA muda mrefu sana Jamani... Hakuwahi kuwa na CHADEMA katika Uchaguzi wa 2010!!! Leo hii kufanya kazi ya CCM hadhani kulitarajiwa muda mrefu sana ... Wapambe wake na wale wote ambao hawajitambui ifike mahala wazinduke kuwa ACT ipo kwaajili ya kudhoofisha Upinzani nchini ...

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamemweka kikaangoni Mbunge wa Kigoma Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya chama hicho, Zitto Kabwe, katika kikao chao kilichokaa jana mjini Bagamoyo.

Habari kutoka ndani ya kikao cha ndani cha wabunge hao kilichokaa juzi na jana mjini humo mara baada ya semina ya wabunge wa chama hicho, wabunge hao walipiga kura ya kutokuwa na imani na uongozi wa Zitto na pia wamemtaka ajieleze kwanini asichukuliwe hatua kwa kutataa kuunga mkono uamuzi wa pamoja wa kususia hotuba ya Rais wakati yeye naye alishiriki katika kuufikia uamuzi huo.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ndani ya kikao hicho, wakati uamuzi huo ukipitishwa, Zitto hakuwa katika kikao hicho ingawa alihudhuria kikao cha juzi.

“Tumeamua kuwa hatuna imani na uongozi (Zitto),” kimesema chanzo hicho. “Tumepitisha uamuzi wa pamoja. Ujumbe utamfikia, autafakari, kisha aamue mwenyewe.”

Habari zaidi zinasema ingawa Zitto alikuwa Bagamoyo wakati kikao hicho kinafanyika, hakuhudhuria kwa sababu inadaiwa kuwa kutwa nzima ya jana alikuwa amepumzika akidai kuwa anaumwa.

Chanzo kingine ndani ya kikao hicho kimeliambia gazeti hili kuwa Zitto amekuwa mwiba kwa chama hicho.

“Apokee uamuzi wa kikao halali cha chama. Apime mwenyewe na achukue uamuzi,” amesema mbunge mmoja katika chama hicho ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini.

Gazeti hili lilipowasiliana Zitto, simu yake ya kiganjani haikupatikana.

Miongoni mwa nyadhifa ambazo Zitto ameshikila lakini akapigiwa kura ya kutokuwa na imani naye ni ile ya Umakamu wa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Kiongozi wa kambi hiyo ni Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Novemba 17, mwaka huu, wabunge wa CHADEMA, wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, walitoka ndani ya ukumbi wa bunge mara tu Rais Jakaya Kikwete alipoanza hotuba yake ya kulizindua Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano.

Ingawa wabunge hao walitoka wakati Rais akianza kuhutubia, Zitto hakuwa Bungeni siku hiyo. Wengine ambao hawakuwa bungeni ni pamoja na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, ambao wanadaiwa kuwa walikuwa wanaumwa siku ya tukio, na mwingine ni Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo ambaye alikuwa safarini Dar es Salaam.

Kwa mara ya kwanza katika historia ya vyama vya siasa tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi, Chadema ilitangaza kutotambua matokeo ya uchaguzi wa rais kwa madai kuwa taratibu na sheria nyingi zilikiukwa, ikiwa ni pamoja na ujumlishaji wa kura na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kuingilia zoezi hilo kwa lengo la kumbeba mgombea wa chama tawala.
 
Back
Top Bottom