Zitto, acha Ubishi wa Kijinga... Sikiliza anachosema Rais. Yeye ndo anajua

Wakati tunakua ilikuwa ni jambo baya sana kusema kuwa Mtu mzima muongo, ni mbaya zaidi hata akitoa gesi kusema ni yeye ametoa gesi na kuchafua hali ya hewa. mpaka sasa naamini ni vivyo hivyo.

Zitto ndugu yangu una ubishi wa kijinga sana. Wewe humsikilizi kabisa Rais. Msikilize Rais anachosema kama Rais kasema ni gawio basi nawe anza kuamini kuwa hilo ni gawio. sasa wewe unakuja na ubishi wako kuwa si Gawio ni Maduhuli. why do you do that? acha ubishi bwana. Rais akisema amesema nawe inabidi usikilize anachosema.

kuna mama mmoja alikuwa na mumewe wanapendana sana. ikatokea siku moja mumewe alianguka toka kwenye mnazi akazimia. yule mama kwa haraka akaita usafiri na kumpeleka mumewe hospital. daktari alimwangalia yule bwana haraka haraka akiwa amelazwa kitandani. akasema "mama huyu mumeo ameshafariki nenda tu ukamzike"
yule bwana bahati nzuri akawa naye ndo ameshtuka akimsikia daktari anampa maelezo yule mama kuwa "kutokana na kudondoka kule huyu mumeo amesababisha utumbo mwembamba huko tumboni uvunjike na hivyo kuzuia damu kwenda kwenye ubongo na kusababisha mumeo afariki,mchukue tu akazikwe"

jamaa akasikia akashtuka na kusema kwa sauti ya chini kuwa

Mume :"daktari mimi sijafa nipo hai"
mkewe alimfuata mumewe kwa ukali kidogo na kumkemea huku akilia kwa kwikwi.

Mke: "mume wangu acha ubishi msikilize mtaalamu anachosema.kama kasema umeshakufa basi umekufa subiri tu tukakuzike.siyo unaanza kubishana na wataalam"
kweli fasihi ngum jaman, hapa kuna watu wamejaa upepo kwa kutokuelewa huu uzi umelenga nini hata mfano ulivyowazi wameshindwa kuuelewa jamani!!!!
 
Ukiwa unasoma tuu kuyapendezesha macho bila kufkiria hadi vilivyofichika kwa comments za watu utatoka patupu, kweli huku ndo kwa ma gr8 thin cars.
 
Wakati tunakua ilikuwa ni jambo baya sana kusema kuwa Mtu mzima muongo, ni mbaya zaidi hata akitoa gesi kusema ni yeye ametoa gesi na kuchafua hali ya hewa. mpaka sasa naamini ni vivyo hivyo.

Zitto ndugu yangu una ubishi wa kijinga sana. Wewe humsikilizi kabisa Rais. Msikilize Rais anachosema kama Rais kasema ni gawio basi nawe anza kuamini kuwa hilo ni gawio. sasa wewe unakuja na ubishi wako kuwa si Gawio ni Maduhuli. why do you do that? acha ubishi bwana. Rais akisema amesema nawe inabidi usikilize anachosema.

kuna mama mmoja alikuwa na mumewe wanapendana sana. ikatokea siku moja mumewe alianguka toka kwenye mnazi akazimia. yule mama kwa haraka akaita usafiri na kumpeleka mumewe hospital. daktari alimwangalia yule bwana haraka haraka akiwa amelazwa kitandani. akasema "mama huyu mumeo ameshafariki nenda tu ukamzike"
yule bwana bahati nzuri akawa naye ndo ameshtuka akimsikia daktari anampa maelezo yule mama kuwa "kutokana na kudondoka kule huyu mumeo amesababisha utumbo mwembamba huko tumboni uvunjike na hivyo kuzuia damu kwenda kwenye ubongo na kusababisha mumeo afariki,mchukue tu akazikwe"

jamaa akasikia akashtuka na kusema kwa sauti ya chini kuwa

Mume :"daktari mimi sijafa nipo hai"
mkewe alimfuata mumewe kwa ukali kidogo na kumkemea huku akilia kwa kwikwi.

Mke: "mume wangu acha ubishi msikilize mtaalamu anachosema.kama kasema umeshakufa basi umekufa subiri tu tukakuzike.siyo unaanza kubishana na wataalam"
Kwa hiyo rais akikuita we muongo we kaa kimya kwa kuwa anajua zaidi.siku akimchukua mkeo unacheka kizuzu kisa yeye anajua mechi zaidi!?Kwa akili ya kujua mambo zitto anamzidi kwa mbali sana huyo bwana.yeye kapewa tu madaraka na watu wapumbavu sasa kawafanya misukule yanashangilia hata yakipokwa mke sawa na akili yako ilivyo
 
GuDume,

Kama kuna watu wajinga basi wewe ni nambari wahedi..!!
Ulichoongea pamoja na mfano wako vinachekesha na kukuumbua kuwa wewe ni mjinga sana na huwezi kupingana na ZZK kwa hoja yoyote. Maana kwa mfano wako huu wa mke na mmewe kuanguka kwenye mnazi na daktari kusema jamaa kafa huku yuko hai basi AAMINI KUWA KAFA KWASABABU KASEMA DAKTARI??? KWA HIYO NA WEWE UNATAKA KUWAAMBIA WATANZANIA MAGUFULI AKISEMA WATANZANIA WAMEKUFA, WAJINGA, HAWANA AKILI, WAPIGA DILI n.k. LAZIMA WAKUBALI KWA VILE KASEMA RAIS.....!!!Huu ni uzezeta uliopitiliza.....!!!
Unatakiwa ukachunguzwe afya yako inaonekana wewe NI MAREHEMU na naomba uamini maneno yangu...!!
Mbona povu limekutoka sana! huyu Jamaa tokea kitambo tunafahamu kuwa ni mwana comedian mzuri tu.
 
GuDume,

Kama kuna watu wajinga basi wewe ni nambari wahedi..!!
Ulichoongea pamoja na mfano wako vinachekesha na kukuumbua kuwa wewe ni mjinga sana na huwezi kupingana na ZZK kwa hoja yoyote. Maana kwa mfano wako huu wa mke na mmewe kuanguka kwenye mnazi na daktari kusema jamaa kafa huku yuko hai basi AAMINI KUWA KAFA KWASABABU KASEMA DAKTARI??? KWA HIYO NA WEWE UNATAKA KUWAAMBIA WATANZANIA MAGUFULI AKISEMA WATANZANIA WAMEKUFA, WAJINGA, HAWANA AKILI, WAPIGA DILI n.k. LAZIMA WAKUBALI KWA VILE KASEMA RAIS.....!!!Huu ni uzezeta uliopitiliza.....!!!
Unatakiwa ukachunguzwe afya yako inaonekana wewe NI MAREHEMU na naomba uamini maneno yangu...!!
Hahahaaa! Dah! Fasihi ni ngumu sana
 
Hii ni fasihi wenye kuielewa ni wachache

Call a SPADE a SPADE and not a BIG SPOON....!!!!
Tuache kutetea ujinga bhana.....Hii biashara ya kaongea ati ki-FASIHI naona ni upuuzi na kupoteneaa muda!!Just go straight to the point and be as transparency as possible ili watu WAKUELEWE kama unatetea ujinga au hoja.
Mimi sikubaliani asilan kusema eti MKUBWA akichafua hali ya HEWA CHAFU(kujamba) ati tunyamaze tu huku tukiendelea kuumia na harufu....kwa vile ni mkubwa!!!

Ati uende kwa Daktari na mgonjwa wako amezimia halafu Dokta anakuambia mgonjwa huyo keshafariki we kazike tu.....basi huyo siyo Dokta ni kanjanja na kama mtaruhusu aendelee kuhudumia wagonjwa wenu basi mtazika wengi sana...!!Kinachotakiwa ni huyo Daktari mbambaishaji na kanjanja atimuliwe kazini waingie watu wanaoijua taaluma....swala la kudai usibishane na mtaalamu kwa vile yeye anajua kila kitu ni UZEZETA NA KUTOJITAMBUA...!
 
Last edited:
GuDume siku nyingine ukitaka kuandika hebu wafikirie watu wako. Ona sasa umeambulia lugha zisizofaa wakati ujumbe wako uko sawa kabisa.

Naamini ungeanzia mwisho kupanda juu kisha uwaachie members kuweka tittle wanayoitaka,wengi wangepata na inawezekana majibu yangefanana.Hongera kwa kuwa ume'score' out out of 100%
 
Wakati tunakua ilikuwa ni jambo baya sana kusema kuwa Mtu mzima muongo, ni mbaya zaidi hata akitoa gesi kusema ni yeye ametoa gesi na kuchafua hali ya hewa. mpaka sasa naamini ni vivyo hivyo.

Zitto ndugu yangu una ubishi wa kijinga sana. Wewe humsikilizi kabisa Rais. Msikilize Rais anachosema kama Rais kasema ni gawio basi nawe anza kuamini kuwa hilo ni gawio. sasa wewe unakuja na ubishi wako kuwa si Gawio ni Maduhuli. why do you do that? acha ubishi bwana. Rais akisema amesema nawe inabidi usikilize anachosema.

kuna mama mmoja alikuwa na mumewe wanapendana sana. ikatokea siku moja mumewe alianguka toka kwenye mnazi akazimia. yule mama kwa haraka akaita usafiri na kumpeleka mumewe hospital. daktari alimwangalia yule bwana haraka haraka akiwa amelazwa kitandani. akasema "mama huyu mumeo ameshafariki nenda tu ukamzike"
yule bwana bahati nzuri akawa naye ndo ameshtuka akimsikia daktari anampa maelezo yule mama kuwa "kutokana na kudondoka kule huyu mumeo amesababisha utumbo mwembamba huko tumboni uvunjike na hivyo kuzuia damu kwenda kwenye ubongo na kusababisha mumeo afariki,mchukue tu akazikwe"

jamaa akasikia akashtuka na kusema kwa sauti ya chini kuwa

Mume :"daktari mimi sijafa nipo hai"
mkewe alimfuata mumewe kwa ukali kidogo na kumkemea huku akilia kwa kwikwi.

Mke: "mume wangu acha ubishi msikilize mtaalamu anachosema.kama kasema umeshakufa basi umekufa subiri tu tukakuzike.siyo unaanza kubishana na wataalam"
tanzania tuna majizi wengi
 
GuDume,

Kama kuna watu wajinga basi wewe ni nambari wahedi..!!
Ulichoongea pamoja na mfano wako vinachekesha na kukuumbua kuwa wewe ni mjinga sana na huwezi kupingana na ZZK kwa hoja yoyote. Maana kwa mfano wako huu wa mke na mmewe kuanguka kwenye mnazi na daktari kusema jamaa kafa huku yuko hai basi AAMINI KUWA KAFA KWASABABU KASEMA DAKTARI??? KWA HIYO NA WEWE UNATAKA KUWAAMBIA WATANZANIA MAGUFULI AKISEMA WATANZANIA WAMEKUFA, WAJINGA, HAWANA AKILI, WAPIGA DILI n.k. LAZIMA WAKUBALI KWA VILE KASEMA RAIS.....!!!Huu ni uzezeta uliopitiliza.....!!!
Unatakiwa ukachunguzwe afya yako inaonekana wewe NI MAREHEMU na naomba uamini maneno yangu...!!
Povuu limekutoka na kuelewa hujaelewa
 
Wakati tunakua ilikuwa ni jambo baya sana kusema kuwa Mtu mzima muongo, ni mbaya zaidi hata akitoa gesi kusema ni yeye ametoa gesi na kuchafua hali ya hewa. mpaka sasa naamini ni vivyo hivyo.

Zitto ndugu yangu una ubishi wa kijinga sana. Wewe humsikilizi kabisa Rais. Msikilize Rais anachosema kama Rais kasema ni gawio basi nawe anza kuamini kuwa hilo ni gawio. sasa wewe unakuja na ubishi wako kuwa si Gawio ni Maduhuli. why do you do that? acha ubishi bwana. Rais akisema amesema nawe inabidi usikilize anachosema.

kuna mama mmoja alikuwa na mumewe wanapendana sana. ikatokea siku moja mumewe alianguka toka kwenye mnazi akazimia. yule mama kwa haraka akaita usafiri na kumpeleka mumewe hospital. daktari alimwangalia yule bwana haraka haraka akiwa amelazwa kitandani. akasema "mama huyu mumeo ameshafariki nenda tu ukamzike"
yule bwana bahati nzuri akawa naye ndo ameshtuka akimsikia daktari anampa maelezo yule mama kuwa "kutokana na kudondoka kule huyu mumeo amesababisha utumbo mwembamba huko tumboni uvunjike na hivyo kuzuia damu kwenda kwenye ubongo na kusababisha mumeo afariki,mchukue tu akazikwe"

jamaa akasikia akashtuka na kusema kwa sauti ya chini kuwa

Mume :"daktari mimi sijafa nipo hai"
mkewe alimfuata mumewe kwa ukali kidogo na kumkemea huku akilia kwa kwikwi.

Mke: "mume wangu acha ubishi msikilize mtaalamu anachosema.kama kasema umeshakufa basi umekufa subiri tu tukakuzike.siyo unaanza kubishana na wataalam"
Alichokiandika muandishi si cha kusoma haraka haraka tafkari inahitajika sana,nashukuru nimemulewa,Hamaanishi alichokiandika kama wengi wanavyodhani,fasihi imetumika tena kali sana,huyu bwana mkubwa hataki kukosoloewa,kwake kukosolewa ni sawa na kumtukana tena tusi zito,ili kulinda uhai wako ni kumkubalia tu ili mradi hakudhuru japo ni makosa ila ndio hvy utafanyaje,ukosoe usahaulike au uwe ndiyo mzee maisha yaende
 
Back
Top Bottom