Zitto, acha Ubishi wa Kijinga... Sikiliza anachosema Rais. Yeye ndo anajua

Hahaha dah kweli hupaswi kumbishia Daktari kama kashasema umekufa na upo hai kubali kufa tu

Shida ni pale Daktari wa Makorosho anavyotaka kujifanya Neuron Surgeon
 
GuDume ukiacha mambo ya kipuuzi we jamaa ni kichwa sana.sema tu unapenda kujichetua sometime.but wewe akili unazo sana tu... nmesoma mara ya kwanza nikaishia paragraph ya kwanza nikawaza huyu jamaa mabhangi yake yanampeleka vibaya sana.. lakin tu nikasema nisome tena.... nmecheka sana.tena sana....na kujiona kumbe mimi nlitaka kuwa fala. nmekuelewa hongera sana.vijana wengi hawajakuelewa kabisa.
 
Leo nimeamini watu wengi hasa watz,au wavivu kusoma au hua hawaelewi kilicho andikwa,

Pia labda kwasababu hatujuani umri wetu humu,Tungekua tunajuana umri unaweza sema huyu mtoto achana nae au ukasema hili kubwa jinga

Yaani huu uzi asilimia kubwa ya walio comment hawajaelewa mwandisha yupo upande upi,au ujumbe wake ni nini?

Mungu tusaidie
Mihemuko inafanya watu wanashindwa kuelewa na "kudigest" mada!
 
Kuna kitabia kamejitokeza mtu akiandika mambo ya hovyo yasioelewaka basi anasifiwa eti ameandika kifasihi zaidi.
Kama hujaelewa wewe na wenzio kadhaa haimaanishi watu wote hawajaelewa au kilichoandikwa ni jambo la ovyo.

Bali inamaanisha hapo ndipo kikomo cha uelewa wako.
 
Cjawah kuona watu wanaobaka uz kama leo... Tulizen akili, uzi wa kifasihi huu... NAKUUNGA MKONO. LEO NDO NIMEJUA WHY WATANZANIA WENGI WANADAI WANAUNGA MKONO JUHUD ZA RAIS...Wakurupukaji tu
 
Kuna watu wanatoa povu zito kwa kutomwelewa Gudume..these days bongo za vijana wa leo zimelala fofofo
 
GuDume,

Kama kuna watu wajinga basi wewe ni nambari wahedi..!!
Ulichoongea pamoja na mfano wako vinachekesha na kukuumbua kuwa wewe ni mjinga sana na huwezi kupingana na ZZK kwa hoja yoyote. Maana kwa mfano wako huu wa mke na mmewe kuanguka kwenye mnazi na daktari kusema jamaa kafa huku yuko hai basi AAMINI KUWA KAFA KWASABABU KASEMA DAKTARI??? KWA HIYO NA WEWE UNATAKA KUWAAMBIA WATANZANIA MAGUFULI AKISEMA WATANZANIA WAMEKUFA, WAJINGA, HAWANA AKILI, WAPIGA DILI n.k. LAZIMA WAKUBALI KWA VILE KASEMA RAIS.....!!!Huu ni uzezeta uliopitiliza.....!!!
Unatakiwa ukachunguzwe afya yako inaonekana wewe NI MAREHEMU na naomba uamini maneno yangu...!!

Kwa maandishi yako inaonekana unamkubali sana Zitto na unamfuata kama bendera inavyofuata upepo. Lakin huenda umefeli darasa la nne au la saba au form 4 ; Make Thread ya Huyo mpinzani mwenzako kaiandika Kinafiki Zaid lakini umejibu kwa kukurupuka kama brother K ;hata hujaelewa alichomaanisha. Duh duh ! usiwe bendera ndugu .Fata mtu kwa ufahamu!

Note: mi sina CHAMA hata KURA huwa sipigi make huwa naogopa kumchagua mtu then nkajutia KURA yangu .
 
Back
Top Bottom