Zito Kabwe katumwa na JK?

Status
Not open for further replies.
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?

Kwani Kikwete na Zitto wanashare Urais wa Tanzania mpaka Msanii amtume Zitto amfanyie kazi ambazo Kikwete alistahili kuzifanya? Huyu jamaa kama kiongozi wa nchi anatia aibu sana. Tuliandika hapa kwamba magamba wamtafute mgombea mwingine katika uchaguzi wa 2010 lakini kuna watu wakampigia debe la nguvu akiwemo Malecela na kudai kwamba Magamba wana utamaduni wao wa kuachiana Kiongozi akae madarakani kwa awamu mbili (miaka 10) hivyo kusingekuwa na mgombea mwingine yeyote toka magamba zaidi ya Kikwete. Pamoja na kuvurunda sana katika awamu yake ya kwanza bado magamba wakampitisha kama mgombea wao, sasa wamevuna walichopanda wanahaha huku na kule katika kutaka kuwahadaa Watanzania baada ya kuona kifo chao kinakuja kwa kasi ya kutisha. Kigumu chama cha magamba!!!! Kigumu!!!
 
Kwani ZZK hana utashi wa kufanya hayo mwenyewe?
 
Ni kweli Zitto ametumwa kuiua serikali ya Jk na wananchi waliokereka na utawala mbovu wa ccm
 
Kwani Kikwete na Zitto wanashare Urais wa Tanzania mpaka Msanii amtume Zitto amfanyie kazi ambazo Kikwete alistahili kuzifanya? Huyu jamaa kama kiongozi wa nchi anatia aibu sana. Tuliandika hapa kwamba magamba wamtafute mgombea mwingine katika uchaguzi wa 2010 lakini kuna watu wakampigia debe la nguvu akiwemo Malecela na kudai kwamba Magamba wana utamaduni wao wa kuachiana Kiongozi akae madarakani kwa awamu mbili (miaka 10) hivyo kusingekuwa na mgombea mwingine yeyote toka magamba zaidi ya Kikwete. Pamoja na kuvurunda sana katika awamu yake ya kwanza bado magamba wakampitisha kama mgombea wao, sasa wamevuna walichopanda wanahaha huku na kule katika kutaka kuwahadaa Watanzania baada ya kuona kifo chao kinakuja kwa kasi ya kutisha. Kigumu chama cha magamba!!!! Kigumu!!!

Jk hana ubia na mtu yeyote, lakini ana ubia na wezi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?

Unatuambia kwamba sio juhudi za upinzani katika hili. Jk hana utambuzi huo
 
Jk hana ubia na mtu yeyote, lakini ana ubia na wezi

...Ni kweli kabisa na ndio maana hata baada ya kuanikwa hadharani na Dr Slaa katika ile list ya mafisadi nchini hakutia neno.
 
Hatimae zitto ghafla kawa shujaa ndani ya chadema leo,nadhani ni wakati muafaka kwa zitto sasa kugombea uenyekiti wa chadema na pia kupitishwa kuwa mgombea urais kwa tkt ya cdm.Anafaa
 
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?

Be a critical thinker na uwe unafuatilia habari. Kwanza hoja hii ilianzia kwa Tundu Lisu wakati anachangia akawaomba wenyeviti wa kamati wakati wanahitimisha walete hoja ya kutokuwa na imani na serikali. Cha msingi hapa ni watu kuwajibika, rais wa ajabu huyo ambaye anaweza kujibomoa mwenyewe kiasi hicho sidhani km yupo.
 
Hii ripot alipewa yy kabla ameisoma na alijua inaenda bungen kujadiliwa na itakuwa moto ye akajitungia safar ya brazil ili awe anazipata kwa mbali.huyu jamaa ni mjanja sana .ishu ya jairo na ngeleja alikimbilia south.imekuwa kawaida sasa mamb mazit kukimbia nchi.
 
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?
Kwani yeye mkuu wa kaya si mbadhilifu?
Ile hotel na airport iliyoko ktkt ya mbuga moja ya wanyama si ni mali yake?kwanini asijenge shule za bording kwa mabinti zetu wanaoishi tegeta lakini wanapangiwa shule za day chanika?
 
Hatimae zitto ghafla kawa shujaa ndani ya chadema leo,nadhani ni wakati muafaka kwa zitto sasa kugombea uenyekiti wa chadema na pia kupitishwa kuwa mgombea urais kwa tkt ya cdm.Anafaa
Si lazima awe mwenyekiti ndio agombee urais,cha msingi ni kuchukua form na kuomba nafasi ya kukiwakilisha chama chake,wasiwasi wangu ni jee Slaa na Mbowe watampitisha?
Ikitokea bahati nzuri akapitishwa basi ndani ya family yangu kuna kura zake 4.But akigombea slaa kuna kura yake1 tuu.
 
Hivi Mkuu bado unadhani JK anaujasiri wa kumuwajibisha mshikaji wake yeyote? The only way anayoweza kufanya kitu kama hicho ni kwa kuwatumia baadhi ya watu. JK ni muoga sana kukosana na washikaji kuliko kuiokoa nchi na wizi. mbona ushahidi ni mwingi tu mkuu! ukifuatilia EPA, RICHMOND-DOWANS, JAIRO, LUHANJO nk. Angalau Pinda alishawahi kusema angekuwa na madaraka angemfukuza kazi Jairo straight away - (If you can read between the lines this statement has a lot to tell)
Mkuu salaam,Uraisi wa nchi sio kazi ndogo mkuu kama wewe na watu wengi wanavyo fikiria.Nchi haiendeshwi kinadharia.Hivyo Raisi haendeshi nchi kwa kusikiliza comments za watu.kuna umakini wa hali ya juu sana ambao ndio unaomfanya afikie maamuzi.kuna secret service na washauri kibao ambao wako kwa ajili hiyo.suala la kusema kwamba Raisi anawaogopa marafiki zake nalo halipo.labda mkuu hujui nguvu na mamlaka yanayoambatana na cheo cha Uraisi wa nchi.JK angekuwa anawaogopa hao jamaa,sidhani kama bado wangekuwepo mpaka leo.kwamba kutokana na mamlaka aliyonayo Raisi lilikuwa ni suala la yeye kutoa order,basi kazi imekwisha.kama kagame alivyokuwa anaagiza vijana wake kwenda kuwapoteza maadui zake waliokuwa wamekimbilia nchi za nje.kwahiyo JK ni kwasababu ya utu na sababu nyingine anazozijua yeye ndio maana mambo yako kama yalivyo.Maadam hatujui mipango yake hatutakiwi kumbeza Raisi kwa kudhania solution yake ni kuwafukuza tu then kazi imekwisha.Mambo hayako simple namna hiyo Mkuu.Be blessed!
 
Mnataka kuanza kumpa credit JK za bure tu; atakuwa na udhaifu wa kiasi gani wa kutaka kumtumia mpinzani kufanya jambo ambalo yeye mwenyewe ana uwezo wa kulifanya bila kulazimishwa na yeyote? mpeni credit Zitto kwa hili na wenzake

naona watu wanataka kufaya porojo za alinacha .. kuna sababu gan jk atumie upinzani ??? ni kweli mkuu MM credit zitabaki kwa ZZK na chadema team kwani wameonyesha ushirikiano wakaribu sana na waliona wamweke zito kama team leader
 
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?

Kama kutumwa, katumwa na chama chake makini (cdm) na wanachadema wote na wasikuwa na vyama wapenda nchi yao
tanganyika. V.Gama hamtume Zitto kama nani, mangapi yametokea na ameshindwa kuyasimamia. Ndani ya miezi minne yametokea ya Madktari uliona akichukua hatua. Si alipaa nje kama kawaida yake akiwaacha watanganyika wakifa hospitalini. Na hata juzi si amepaa baada ya kupokea ripoti wala hakujali, ripoti inaonyesha matrilioni yameibiwa utakuwa hata na raha ya kupanda ndege. Nilitegemea akitua Brazil na huku tanganyika mawaziri hawana kazi, lakini yeye kaendelea na starehe zake za kuuza sura kwenye luninga aonekane duniani kote. Katika misafara/mikutano yote, mara nyingi uwaoni marais wa afrika wa nje zingine ila ni yeye kila mkutano hata ambao apashwi kuwepo lazima yeye awepo. Hapo utasema tuna rais yeye na waziri wake wa fedha ni sawa tu.
 
kumtuma mtu jambo fulani ni lazima ww mwenyewe ujue ni jambo gani unamtuma. jamani huyo Vasco da Gama anajua hata ni kitu gani kinaendelea hapa Bongo yetu? Mambo yamekuwa moto sas utamsikia akiingilia kati as if alikuwepo toka mwanzo!
kumbukeni ya katiba mpya. hakuwa ktk picha hadi alipoona waziri wake na mwanasheria wake wanaropoka na kuleta chaos kwa wananchi ndo akaamka. sleep walker huyo hawezi kumtuma kijana kama ZZK. labda amtume waziri wa usingizi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom