figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
ukiivuta chini unaumia, ukivuta kwa juu unaumia. ukisema itulie hapo hapo ilipo nasa unaumia. ushaonja maumivu ya zip iliyo nasa kwenye ngozi ya mdudu?. mia
Mkuu kwa ushauri uwe unavaa c.hupi.
Zamani wakati c.hupi zilikuwa shida ndo tulikuwa tunabanwa.
ukiivuta chini unaumia, ukivuta kwa juu unaumia. ukisema itulie hapo hapo ilipo nasa unaumia. ushaonja maumivu ya zip iliyo nasa kwenye ngozi ya mdudu?. mia
Mh...maumivu yake usipime mkuu!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nishawahi,lol!
I can imagine, ila nadhani ukijimiminia mafuta mepesi (glycerin, olive oil ama hata mafuta ya kupikia), vuta pumzi then vuta zipu chini.
na ngozi ya mdudu ilivyo laini...................
na vip ukishika pilipili halafu ukaisafisha k???????
Mkuu kwa ushauri uwe unavaa c.hupi.
Zamani wakati c.hupi zilikuwa shida ndo tulikuwa tunabanwa.
Hahaha! Smart one! Sikufikiria hii! Atakuwa amekumbuka VIP yake ya kuvaa kanisani
Lala chali inaachia.
Ucpime ni balaa, hata sitaki kuzikumbukia hizo gud old days.
Inakuaje hapo? hajavaa Chup*?
mie huwa namwita kifaa chochote kilichopo karibu kinisaidie kuikwamua baada ya hapo uspime!